Tanuru La Fikira

Tanuru La Fikira Search A Nurser On This Page

01/09/2021
05/06/2019
30/05/2019

Umemkopesha rafiki yako wa karibu Tshs 400,000 mwaka jana, lakini tokea wakati huo amekuwa mgumu kulipa deni hilo, kitu kilichochangia kudorora kwa urafiki wenu. Unamuomba akulipe basi walau Tshs 200,000 tu alafu umsamehe hiyo nyingine kwakuwa kwa sasa una ukata na matatizo na una uhitaji na hiyo hela.

Rafiki yako huyo anakuambia anaweza kukupatia tu Tshs 150,000 kwasababu ndio kiasi alichonacho. Unaona huna namna zaidi ya kukubali tu kiasi hicho. Unampatia details zako za benki na account namba akutumbukizie humo.

Kuamka asubuhi unatizama kwenye account yako unakuta kuna Tshs 1,500,000 (Milioni moja na Nusu).

Unatizama tena kwa makini huamini unachokiona lakini bado kweli ni Milioni moja na nusu (Tshs 1,500,000).

Unatizama vizuri simu yako unakuta missed calls 53 na meseji 27 akiomba umrudishie Tshs 1,350,000 kwasababu alitaka kutuma tu Tshs 150,000 lakini akakosea akaongeza 0 moja.

Wewe ungechukua maamuzi gani?

1. Utamrudishia kiasi anachoomba urudishe Tshs 1,350,000?

2.Utachukua zile zako unazomdai Tshs 400,000?

3.Utachukua zote Tshs 1,500,000?.

28/05/2019

Voulez Vous Qu'on Vous Montre Quelques Types Des Malformations Plus Rare Cliquez Like(j'aime)

25/05/2019

Am Elly gp Marley on facebook

25/05/2019

Legend was born in May

How to be a docter
25/05/2019

How to be a docter

Many days no see my fans,today is my birth day.Elly gp Marley.the admn
25/05/2019

Many days no see my fans,today is my birth day.

Elly gp Marley.the admn

Search A Nurser On This Page

06/11/2017

Sambaza Ukurasa Huu Kadli Uwezavyo Ujipatie Fursa Yakujishindia Iphone 6.

Address

Rohero
ELIASNYANDWI

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanuru La Fikira posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tanuru La Fikira:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram