07/06/2022
SANA
Ili mwili wa binadamu ukae sawa unategemea virutubisho vitano ,ili uendelee kuwa na afya njema.
Kuna virutubisho vingine mwili wako unazalishe wenyewe na pia vingine mwili hauwezi kutengeneza Wenyewe,unapata kupitia vyakula tunavyokula au jua.
K**a unakula vyakula ambavyo havina virutubisho, matokeo yake virutubisho hivyo itabidi upate kupitia kidonge (Supplement).
Vidonge vya virutubisho vipo vingi sana vinauzwa, hii ni kutokana na watu kutokula vyakula vyenye virutubisho.
Maana yake k**a huvipati inabidi upewe kupitia Kidonge ununue kidonge chenye virutubisho na nadhani mnaviona wanavitangaza karibu kila siku mitandaoni sasa kweli wewe umefikia Hali hiyo ya kuwa boosted na vidonge vinatoka nje wakati wewe hapa Mnalima kila kitu na kipo natural.
Mwili wa bianadamu Unahitaji virutubisho hivi muhimu zaidi Kuliko vyote 👇🏾
1.Mafuta 👉🏾mafuta hapa nazungumzia mafuta asilia ya n**i, samli, siagi, parachichi.
Mafuta yanazalisha Nishati ya Mwili mara tisa 9 kwa kila gramu moja.
Mafuta Asilia yana nguvu sana .yana uwezo wa kujenga seli upya ,na mishipa .
Ni lazima ule mwili hauwezi kutengeneza Wenyewe.
2.Protini 👉🏾kazi ya protin ni kujenga mwili, misuli na tishu .vyakula vya Protini Ni Nyama,Mayai,Samaki kiujumla hizi main dish ni muhimu sana Ndio maana ata ukienda hotelin utaulizwa unataka chakula gani chakula ni samaki, mayai au nyama na cha Kusindikizia Ndio zinakuja wali au chips maana yake si muhimu sana 😂
Protini Ni muhimu Sana Mwilini.
Mwili ukikosa misuli inasinyaa 👉🏾show haiendi WALE WAZEE WA SHO SHO 🤣.
3.Vitamins 👉🏾muhimu pia kwenye Mwili wako ,zinasaidia katika ukuaji wa seli mfano vitamin A kwenye kujenga seli na kurepea seli
vyakula vya vitamins ni matunda Parachichi, Tango, Papai n.k
4)Vitamini D ndio mwili unatengeza Wenyewe kupitia Mwanga wa Jua.
Pia vitamini K ambayo inatengenezwa na bakteria kwenye utumbo mdogo. .
5)Madini .Madini Ni vichocheo vizuri katika kazi mbali mbali za mwili.
Vyakula ambavyo vitakupatia madini Mboga za majani Aina Zote. .Maji ,Asilimia kubwa ya Damu Ni maji , Hivyo maji Ni muhimu Lakini kunywa ukihisi kiu tu.
Ugali,wali,ndizi, viazi,chipsi,Tambi,ngano nk Havisaidii chochote mwilini Mwako ndio Mana hapo havijatajwa!!
Huwa vinazalisha Nishati kidogo Sana ambayo huisha Ndani ya muda mfupi.
Unahitajika Tena kula Ndio maana ukiwa mlevi wa hivyo vyakula unakuwa mtu wa kula hovyohovyo K**a fukwe
Ni wewe kuchagua kusuka au kunyoa!
REJEA:Kitabu Cha Robert H.Lusting,MD.(Uk 38-40) 🙏🏾
kwenye Afya yako