Best Afyahelp

Best Afyahelp Best Afyahelp kwa ajili ya maradhi yanayosumbua mara nyingi na kukosesha amani kwa mtu binafsi na familia na jamii.

Hasa maradhi yasiyoambukizwa na yanayoambukizwa hata yaliyoshindikana maranyingi kabla ya hapa na ambayo huko nje wengi hawaamini kupona.

08/11/2021

NJIA ZA KUOKOA MIMBA YA WIKI, NA MIMBA YA MWEZI MMOJA
Hivi unajua tafiti za madaktari bingwa duniani zinabainisha mimba nyingi kuharibika na kutokuwa za kawaida katika wiki moja hadi miezi 3 tu?
Baada ya kutambuwa sku sahihi ya kutafuta ujauzito sasa ninakwenda kukufahamisha k**a mimba iliingia, k**a harakati zako zilifahamika. Dalili nitakazokutajia unaweza kuzishuhudiandani ya wiki ya mwanza mpaka wiki ya nne. Hata hivyo k**a utakuwa makini unaweza kugundua ndani ya siku chache tu k**a sio siku moja ama mbili.

Kabla ya kuendelea ningependa utambuwe kuwa mimba huleta mabadiliko makubwa sana kwenye mwili wa mwanamke. Hivyo ni lazima mabadiliko haya yaonyeshe dalili zozote punde tu inapoingia. Hivyo kwa mwanamke akiwa makini na mwii wake anaweza kugundua mabadiliko haya mapema sana. Kuna mwanamke mmoja alinieleza kuwa yeye anaweza kugundua ujauzito k**a umetunga ndani ya masaa machache toka akutane kimwili. Nilistaajabu ila nilishindwa kumuuliza anatumia njia gani.

Dalili za mimba changa ni pamoja na:-
DALILI ZA MIMBA KATIKA WIKI YA KWANZA NA PILI (SIKU 7 MPAKA 14)
1.Kuendelea kwa joto la mwili. K**a ulikuwa makini na siku ambayo joto la mwili wako lilikuwa kubwa, k**a ulishiriki tendo siku moja ama mbili kabla ama siku ile, basi endapo joto la mwili litakuwa endelevu hii huashiria huwenda ulibeba ujauzito. Kwa nini, ni kwa sababu joto la mwili hutokea baada ya mabadiliko ndani ya mwili hususani homoni mpya huzaliwa kwa ajili ya kuandaa ukuaji wa ujauzito. Mabadiliko haya ya joto yasifananishwe na joto la homa.

2.Katika wiki hii ya kwanza unaweza kuona mabadiliko ya majimaji kwenye uke. Majimaji yaliyokuwa siku za nyuma kidongo yanaweza kuanza kuchukuwa sura ya mfanano wa majimaji meupe ya yai lililovunjwa. Halikadhalika matarajio ni kuwa uke unatakiwa urudi katika hali ya ukavu baada ya kupita siku hatari. Lakini k**a ujauzito ulitungwa uke hautarudi katika hali yake ya kawaida ya ukavu hivyo huanza kuzalisha majimaji kwa wingi. Mabadiliko haya si rahisi kuyaona ila endapo utakuwa manini zaidi unaweza kugundua.

3.Kutokwa na damu kidogo (implantation bleeding). damu hii inaweza kutokea mwishoni mwa wiki ya kwanza ama katikati ya wiki ya pili. Damu hii ni kidogo na inaweza kuwa ni matone kadhaa. Haifanani na damu ya hedhi na wala haitoki na maumivu. Damu hii si endelevu inaweza kutoka kwa muda mchache na kukata. Mwanamke anaweza kuona nguo yake ya ndani inamadoa ya damu. Kwa damu hii mwanamke hatahitai kuvaa pedi.

4.Maumivu ya kichwa ama kichwa kuwa chepesi. Hali hii inaweza kuandamana na kizunguzungu. Hali hii si lazima kuipata, hata hivyo wanawake wengine wanaipata ila hawafikirii kuwa ni tatizo kwani hutokea na kuondoka bila ya kuathiri mwili kwa muda mrefu. Hapa anaweza kuona ni hali ya kawaida k**a hatatilia maanani mabadiliko haya.

Kumbuka dalili hizo tajwa hapo juu ni ngumu kuziona mpaka uwe makini sana kwani zinaweza kuathiriwa na hali nyingine za kiafya. Kwa mfano joto la mwili linaweza kusababishwa na mambo mengi k**a maradhi, uchovu na stress. Majimaji ya ukeni yanaweza kuongezeka kwa sababu ya njia za uzazi wa mpango ama mabadiliko ya homoni.

DALILI ZA MIMBA KATIKA MWEZI WA KWANZA (Ndani ya siku 30)
Dalili hizi huweza kuonekana kwa urahisi kuliko hizo ambazo zimetajwa hapo juu. Ijapokuwa dalili hizi zinatokea ndani ya mwezi mmoja lakini zinaweza pia kutokea nje ya mwezi mmoja, yaani mpaka miezi mitatu. Sasa hebu tuzione dlili hizo:-
1.Kukosa hedthi.
K**a ujauzioto ulishika mwanamke hataweza kupata siku zake. Hii ni dalili ambayowanawake wengi wamekuwa wakiamini k**a ndio dalili pekee. Yes hii ni katika dalili kubwa ambazo wanawake wengi wameitaja kuwa ndio dalili yao ya kwanza. Unajuwa ni kwa nini? Ni kwa sababu ndio ya pekee wanayoweza kuigundua. Ukweli ni kuwa kukosa hedhi pekee sio dalili ya ujauzito, hedhi inaweza kukosekana kwa sababu kadhaa k**a zifuatazo:-
A.Mabadiliko ya homoni
B.Ujauzito
C.Maradhi
D.PID
E.Vyakula
F.Stress na misongo ya mawazo
G.Matumizi ya madawa
H.Mabadiliko ya hali ya hewa.

Nini mwanamke afanye baada ya kukosa hedhi?.
Yes hili ni swali zuri sana. Mwanamke aliyekosa hedhi kwanza aanze kufikiria k**a alishiriki tendo la ndoa katika siku hatari ama laa. Kisha aangalie uwepo wa dalili nyingine k**a nitakavyozitaja hapo chini. K**a hana dalili yeyote basui aangalie k**a anapata maumivu sehemu yeyote, ama uwepo wa maradhi. K**a vyote hana ni vyema apime ujauzito. Kipimo cha mkojo kinaweza kuchelewa kutoa majibu, hivyo k**a atapima wiki ya kwanz na asione kitu basi ni vyema akarudia tena wiki inayofata. Maelezo zaidi juu ya kutumia kipimo nitayataja hapo chini.

2.Maumivu ya mat**i na chuchu, kujaa kwa mat**i na mabadiliko ya rangi za chuchu.
Dalili hii huwapata wanawake wengi, hata hivyo wapo ambao hawaipati kabisa. Hebu tuanze kuona kwa ufupi dalili hii. Mabadiliko ya rangi ya chuchu na eneo la kuzunguka chuchu. Hii ipoje ni kuwa mwanamke aliyebeba ujauzoto chuchu zake zinaweza kubadilika na kuweka ukiza na weusi. Inaweza kuwa chuchu pekee na na eneo la chini kuzunguka chuchu.

Kwa baadhi ya wanawake wao mat**i yanauma na yanakuwa k**a yamejawa na kaugumu flani. Wakati mwimgine inaweza kuwa t**i moja ama yanaweza kuwa yote ama yakapeana zamu. Ila maumivu haya ni maumivu ambayo yanavumilia si makali kiasi cha kushindwa kufanya shughuli za kawaida. Kwa wanawake wengine maumivu haya hutokea pale anapoyaminya mat**i yake.

Hata hivyo maumivu ya mat**i pekee sio dalili ya moja kwa moja kuthibitisha ujauzito. Maumivu ya mat**i yanaweza pia kusababishwa na maumivu ya kifua, shida katika homoni ama maradhi mengine. Hivyo bado itahitajika kupuma kupata uhakika.

3.Kukojoa mara kwa mara.
Wiki kadhaa zimepita toka kuingia, homoni mbalimbali zimezalishwa ndani ya mwili,kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa mama na mtoto. Homoni hizi zinapelekea mabadiliko mbalimbali ndani ya mwili wa mama, hivyo kusababisha mapigo ya moyo kuongezeka, mchujo wa damu kuwa mkubwa na uzalishwaji wa mkojo kuongezeka. Hapa mama mjamzito ataanza kuhisi mabadiliko katika kukojoa kojoa. Dalili hii kwa baadhi yao inachelewa kuonekana hadi miezi ya mbele.

4.Mapigo ya moyo kuongezeka.
Hapa mwanamke anaweza kujihisi moyo kwenda mbio. Ukweli nikuwa kuna ongezeko la mapigo ya moyo kwa ajili ya kuhakikisha maendeleo ya mtoto aliyetumboni hayaathiriki. Dalili hii pia inaweza kuchelewa kuonekana ndani ya mwezi wa kwanza. Kwa baadhi ya wanawake watajihisi lamda ana presha lakini ukweli ni kuwa hii sio presa ni ongezeko tu la mapigo ya moyo.

5.Maumivu ya tumbo.
Dalili hii inaweza kutokea hata katika wiki kadhaa za mwanzo. Ila mara nyingi hutokea ndani ya mwezi wa kwanza na ni endelevu. Yaani dalili hii inaweza kuendeea mpaka mtoto atakapozaliwa. Mwanamke awe makini sana na maumivu haya. Maana yanaweza kusababishwa pia na mambo mengine ikiwemo maradhi. Maumivu haya hayawezi kuwa makali kiasi cja kushindwa kufanya kazi za kawaida. Yanaweza kufanana na ya hedhi ama kuwa na uafadhali kidogo.

DALILI NYINGINE ZA UJAUZITO
1.Uchovu wa mara kwa mara
2.Maumivu ya tumbo mara kwa mara
3.Kichefuchefu
4.Tumbo kukuwa.
5.Mtotockucheza
6.Kuongezeka kwa uzito
7.Kupata kiungulia mara kwa mara
8.Kukosa choo
9.Maumivu ya mgongo
10.Hasira za mara kwa mara
11.Maumivu maeneo ya nyonga
12.Kuharisha

NIKO TAYARI KUKUSAIDIA KWA TATIZO LOLOTE UNAWEZA KUPIGA SIMU MOJA KWA MOJA 0788512033

30/09/2021

HUNA HAJA YA KUTOKULA...KWASABABU YA VIDONDA VYA TUMBO
πŸ‘‰πŸ»Kwanini ukubaliane kutokula maharage wakati ni chanzo kizuri cha amino acid kisa una Madonda ya Tumbo
πŸ‘‰πŸ» Kwanini ulie mbele ya wanao au rafiki zako kwa maumivi makali ya tumbo kisa una Madonda ya tumbo
πŸ‘‰πŸ» Kwanini ushindwe kulala usiku kucha kwasababu ya maumivu makali ya Madonda ya Tumbo
πŸ‘‰πŸ» Kwanini ushindwe kushiriki shughuli za kijamii mtaani kwako kwasababu Madonda ya tumbo yanaamka na unaogopa kupata tabu mbele yao na kuwasumbua wenzio wakati unaweza kutibu kabisa
πŸ‘‰πŸ» Usichokijua ni sababu gani unaishia kuambiwa usile dagaa na hupati dawa ya kukutibu kabisa kwasababu ya wewe mwenyewe na dawa unayotumia.
Tumbo la kila mtu lina acid ya HCL ndo maana ni ngumu kupona ila nimeenda mbali zaidi na kukuandalia SULUHISHO la kipekee ambalo utapona kabisa maana likishaanza kuwa chronic utakuwa unakohoa damu na utapata kansa ambayo itakugharimu zaidi.
KIKUBWA TUWASILIANE 0788512033
AU TUMIA LINK HII MOJA KWA MOJA KWA WHATSAPP
https://chat.whatsapp.com/EJ33gJ8UO7a3LUgMlETxJK

07/09/2021

MUHANGA WA UZAZI(FUNGUA KIZAZI UPYA)!
USISHANGAE KUONA LICHA YA KUSAFISHA KIZAZI BADO:
πŸ‘‰πŸ» Unashindwa kupata kwasababu hukujua kwamba kusafishwa yani kutoa uchafu/damu/vinyama au mabonge ya damu kwenye kizazi yanayokuwa yamebaki hakuna uhusiano na kilichosababisha hivo vitu viwepo kwaiyo hakumaanishi kufungua uzazi
πŸ‘‰πŸ» Unashindwa kupata kwasababu katika kusafishwa ni rahisi kupata maambukizi ya bacteria na kukuongezea tatizo lako badala ya kuisha
πŸ‘‰πŸ» Unakosa kwa kuwa kusafishwa wakati mwingine hupelekea madonda(mikwaruzo)/ makovu kwenye kizazi na hivo mimba zinakuwa hazishiki tena au zikishika kizazi kinakuwa dhaifu unakuwa unapoteza ujauzito kila baada ya muda flani na kwa kufanya hivi mara kadhaa mfululizo(wengine mara moja au zaidi) kizazi kinadhoofu zaidi unapotea.
πŸ‘‰πŸ» Kusafisha hakuondoi hormone imbalance ambayo ndo kikoseshi kikubwa cha ujauzito kwa kupelekea hayo mengine kutokea k**a ya uvimbe au mirija kuziba au mayai kutopevushwa kikamilifu.
NDO MAANA VEMA KUTIBU KWANZA KABLA YA KULAZIMISHA UPATE MIMBA HALI UNA TATIZO BADO.
Sasa msaa wako kamili uko hapa, gusa link uje whtasapp moja kwa moja au upige simu 0788512033. NI KWA UZAZI TU
https://chat.whatsapp.com/DK5Ffi4teSr3IssYuWDWQj

25/05/2021

HII NI KWA MUHANGA WA UZAZI TU!. BILA KUJALISHA UMEKUWA MUHANGA SANA KIASI GANI, UTAJISKIAJE?
Maana ili mwanamke ashike ujauzito kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yake hasa katika mfumo wa uzazi kwa ujumla. Mambo makubwa ni
πŸ‘‰πŸ»Lazima mzunguko wa mwezi ukae sawa (perfect menstral circle)
πŸ‘‰πŸ»Homoni zinazochochea kupevushwa kwa mayai na kuchochea mabadiliko wakati wa kushika mimba ziwe zinatolewa kila moja kwa kiwango stahiki
πŸ‘‰πŸ» Mirija ya uzazi isiwe na matatizo.
Ukuta wa mji wa mimba usiwe na tatizo lolote mfano kutokana na kusafishwasafishwa kwa mimba kutoka eidha kwa tatizo la homoni au kwa maksudi ya kutoa
Ukiona hayo mambo hayako sawa labda kwa sababu
@ uliwahi kutumia njia za Uzazi Wa mpango za kisasa zikakudhuru
@ uliwahi kufanya abortion (kutoa mimba) ikakuathiri
@ Umewahi kutumia madawa kwa muda mrefu yakakuathiri
@ umewahi kuugua sana haijalishi PID ya kutokana na fangasi au UTI kubwa ya muda mrefu na ikakuathiri
@ Unaambiwa kizazi kiko mbali
@ Unaambiwa kizazi kimegeuka au unaambiwa una uvimbe ( Fibroids/Myoma au cyst)
@ Unajiona k**a period yako haina tatizo lakini bado unaendelea kuwa muhanga wa uzazi
@ Umesafishwa maranyingi mpaka umepata makovu yanayosababisha mimba zisishike tena kirahisi
@ Ushafanya matibabu ya uvimbe au mirija lakini bado tu mimba zinatoka au hazishiki kabisa. Hii ni ili usiendelee kujaribu yasiyofaa yanayoweza kukuza zaidi ghafla tatizo
Unaweza kujikuta tu hivo kwamba hayo mambo hayajaa sawa bila kujua sababu nini inaweza kuwa kijenetiki pia
Nimekuandalia msaada wa uhakika na hutokuwa disappointed kwa namna yoyote kikubwa gusa liki kujiunga na group la wenzako kwa lengo hilo tu basi. KIKUBWA TUKUSAIDIE WEWE NA KUPITIA WEWE WENGINE PIA WAPONE
https://chat.whatsapp.com/DK5Ffi4teSr3IssYuWDWQj
K**a tatizo lako ni tofauti na uzazi nifikie kivingine 0756516383 ila usitumie hiyo link ni special.

KWA WAHANGA WA UZAZI TU!. UTAJISKIAJE?Ili mwanamke ashike ujauzito kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yake....
13/05/2021

KWA WAHANGA WA UZAZI TU!. UTAJISKIAJE?
Ili mwanamke ashike ujauzito kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yake. Mambo makubwa ni
πŸ‘‰πŸ»Lazima mzunguko wa mwezi ukae sawa (perfect menstral circle)
πŸ‘‰πŸ»Homoni zinazochochea kukomaa kwa mayai na kuchochea mabadiliko wakati wa kushika mimba ziwe zinatolewa kila moja kwa kiwango stahiki
πŸ‘‰πŸ» Mirija ya uzazi isiwe na matatizo.
Ukiona hayo mambo hayako sawa labda kwa sababu
@ uliwahi kutumia njia za Uzazi Wa mpango za kisasa zikakushuru
@ uliwahi kufanya abortion (kutoa mimba) ikakudhuru
@ Umewahi kutumia madawa kwa muda mrefu yakakudhuru
@ umewahi kuugua sana na ikakudhuru
@ Unaambiwa kizazi kiko mbali
@ Unaambiwa kizazi kimegeuka au unaambiwa una uvimbe ( Fibroids/Myoma au cyst)
Unaweza kujikuta tu hivo kwamba hayo mambo hayajaa sawa bila kujua sababu nini inaweza kuwa kijenetiki pia
Nimekuandalia msaada wa uhakika na hutokuwa disappointed kwa namna yoyote kikubwa gusa liki kujiunga na group la wenzako kwa lengo hilo tu basi
https://chat.whatsapp.com/JG0hGQkqNZGK7JmuGCq0tg
K**a tatizo lako ni tofauti na uzazi nifikie kivingine 0756516383 ila usitumie hiyo link ni special.

WhatsApp Group Invite

KWA WAHANGA WA UZAZI TU!. UTAJISKIAJE?Ili mwanamke ashike ujauzito kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yake....
08/04/2021

KWA WAHANGA WA UZAZI TU!. UTAJISKIAJE?
Ili mwanamke ashike ujauzito kuna mambo ambayo ni lazima yawe kamilifu ndani yake. Mambo makubwa ni
πŸ‘‰πŸ»Lazima mzunguko wa mwezi ukae sawa (perfect menstral circle)
πŸ‘‰πŸ»Homoni zinazochochea kukomaa kwa mayai na kuchochea mabadiliko wakati wa kushika mimba ziwe zinatolewa kila moja kwa kiwango stahiki
πŸ‘‰πŸ» Mirija ya uzazi isiwe na matatizo.
Ukiona hayo mambo hayako sawa labda kwa sababu
@ uliwahi kutumia njia za Uzazi Wa mpango za kisasa zikakushuru
@ uliwahi kufanya abortion (kutoa mimba) ikakudhuru
@ Umewahi kutumia madawa kwa muda mrefu yakakudhuru
@ umewahi kuugua sana na ikakudhuru
@ Unaambiwa kizazi kiko mbali
@ Unaambiwa kizazi kimegeuka au unaambiwa una uvimbe ( Fibroids/Myoma au cyst)
Unaweza kujikuta tu hivo kwamba hayo mambo hayajaa sawa bila kujua sababu nini inaweza kuwa kijenetiki pia
Nimekuandalia msaada wa uhakika na hutokuwa disappointed kwa namna yoyote kikubwa gusa liki kujiunga na group la wenzako kwa lengo hilo tu basi
https://chat.whatsapp.com/DhTSCQ8wbow1VG9A4RiOCv
K**a tatizo lako ni tofauti na uzazi nifikie kivingine 0756516383 ila usitumie hiyo link ni special.

WhatsApp Group Invite

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Best Afyahelp posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Best Afyahelp:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram