Health Catch Power-HQs

Health Catch Power-HQs We have solutions for all your needs!!
(2)

Best Alternative Treatment Company in Kenya ✨ Health Catch Power — Your Health, Your Story, Your Power.🌿 Your best healing place — safe, drug-free therapies for balance, strength & wellness.

15/03/2026

Follow us across our handles
Health Catch Power - Kasarani Branch

Wishing all our valued clients a relaxing and refreshing weekend.Thank you for trusting Health Catch Power with your wel...
14/03/2026

Wishing all our valued clients a relaxing and refreshing weekend.

Thank you for trusting Health Catch Power with your wellness journey. Take time to rest, recharge, and care for your body.

We look forward to welcoming you again on Monday.

Stay well.

12/03/2026

🔥 UMATI WAFURIKA KUMSHUHUDIA CEO NA UONGOZI WA JUU!

Kulikuwa na msisimko mkubwa wakati mamia ya watu walikusanyika kumuona CEO na top management wa Health Catch Power walipofika katika kituo chetu.

Ilikuwa zaidi ya tukio — ilikuwa ishara ya imani ya watu kwa maono ya kuleta afya bora na teknolojia ya kisasa ya tiba mbadala karibu na jamii.

Nguvu ya watu.
Nguvu ya maono.
Hii ndiyo safari ya Health Catch Power. 🚀

11/03/2026

🔥 TULISEMA TUTAFANYA… NA TUKAFANYA.

Kituo kilifunguliwa.
Watu wakaanza kuingia.
Na hadithi za nafuu zikaanza kusikika kila siku.

Hii ndiyo nguvu ya Health Catch Power.

Sio maneno.
Ni matokeo.

K**a bado hujafika…
labda ni wakati wako sasa. 👀

11/03/2026

🚨 UKWELI AMBAO WATU WENGI HAWATAKI KUSEMA…

Watu wengi wanaishi na maumivu ya mgongo, uchovu wa mwili na stress kila siku…
lakini wanaamini ni kawaida.

Sio kawaida.

Miaka iliyopita tulifungua kituo chini ya Health Catch Power kwa sababu moja tu —
kuonyesha watu kwamba mwili unaweza kupata nafuu bila kuishi na maumivu kila siku.

Wengine walitilia shaka.
Wengine walicheka.

Lakini leo hii watu wengi wanakuja wakisema kitu kimoja:

“K**a ningejua mapema, ningekuja kitambo.”

Swali langu ni moja tu:

❗ Utangoja hadi maumivu yawe makali zaidi…
au utachukua hatua leo?

Karibu ujionee tofauti mwenyewe.

With Catch Power Africa Limited – I'm on a streak! I've made it onto their weekly engagement list 3 weeks in a row. 🎉
10/03/2026

With Catch Power Africa Limited – I'm on a streak! I've made it onto their weekly engagement list 3 weeks in a row. 🎉

Najua wengi wanajiuliza Juja Kalimoni Plaza iko wapi?Ni rahisi sana kuipata.Angalia picha, halafu ukifika Kalimoni Plaza...
09/03/2026

Najua wengi wanajiuliza Juja Kalimoni Plaza iko wapi?
Ni rahisi sana kuipata.
Angalia picha, halafu ukifika Kalimoni Plaza, shuka Ground Floor upande wa Ecomatt.
Hapo ndio Health Catch Power tuko.

Karibu upate huduma zetu za afya na ustawi wa mwili.
Usisumbuke kutafuta sana — ukiona Ecomatt ama Equity Afia , umefika.
Piga simu Kwa 0792729863

09/03/2026

Big shout out to a brand new week! 🔥

New week, new energy, new decisions about your health.
Usianze wiki ukiwa na uchovu, maumivu ya mgongo, au mwili uliokaza.

At Health Catch Power, tunaamini kila wiki ni nafasi mpya ya ku-reset mwili wako kupitia alternative wellness therapies zinazosaidia mwili kujirekebisha na kurudisha balance yake.

Chukua hatua mapema:
✔️ Tembelea centre yetu kwa weekly session
✔️ Ama place your order for home wellness solutions

Kumbuka — afya nzuri sio bahati, ni maamuzi ya kila wiki.

Have a powerful, healthy and focused week ahead.
Karibu Health Catch Power.

💪✨

08/03/2026

Karibu Health Catch Power kwa Weekly Treatment Sessions.

Mwili hauhitaji dawa pekee ili kurecover.
Unahitaji balance, stimulation sahihi ya misuli, na joto la tiba.

07/03/2026

Watu wengi wanaishi na maumivu kimya kimya.
Mgongo unauma… joints zinakaza… mwili umechoka kila siku. Lakini bado unasema “nitashughulikia baadaye.”

Ukweli ni huu:
Afya haisubiri.

Kuna sehemu ya kurekebisha mwili wako — Health Catch Power.
Mahali ambapo watu wanarudisha balance ya miili yao na kuanza maisha mapya bila maumivu ya kila siku.

K**a unaweza kufika centre, tembelea tupime hali ya mwili wako.
K**a huwezi kufika, order kifaa chako tukuletee mpaka ulipo.

Usiishi na maumivu k**a ni kawaida.
Mwili wako unahitaji attention, sio ahadi za “baadaye.”

Hatua ni moja tu:
Tembelea ama place your order leo.

Afya yako… uamuzi wako.

07/03/2026

Disclaimer!!! HCP completements conventional treatment!

Address

Juja Kalimoni Highway Plaza Ground Floor
Juja
4192900100NAIROBI

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health Catch Power-HQs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram