14/02/2026
WENGI HAWAONGEI KUHUSU HILI…
Uzazi wa mpango husaidia kupanga maisha — lakini pia wengine hupitia mabadiliko k**a uzito kubadilika, hedhi kuvurugika, maumivu ya kichwa, mood swings au athari nyingine.
👉 Wewe umetumia njia gani?
👉 Ilikufaa ama ilikuletea changamoto?
👉 Ukweli ambao ungependa mtu akuambie kabla hujaanza ni upi?
Tuambiane ukweli kwenye comments 👇
Uzoefu wako unaweza kuokoa mtu asifanye uamuzi bila taarifa.