06/02/2026
Stop cervical cancer meru county
Mama, dada, shosh, binti afya yako ni muhimu sana!
Cervical cancer inaeza kuzuiwa na inaeza kutibiwa mapema ukichukua hatua leo.
1. Screening ni rahisi, salama, na inaokoa maisha
2.HPV vaccine inalinda wasichana wetu kuanzia miaka 10+
3.Usingoje dalili jipime mapema
Wanawake wakilindwa, jamii nzima inalindwa
Tuchukue hatua leo kwa ajili ya familia zetu na kizazi kijacho.
Tunapatikana kwa AWARENESS PROGRAMS bila malipo (Mashule, makanisa, vikundi vya kina mama, youth groups & jamii kwa ujumla)
Book nasi leo: 0725 538 876
Elimu. Kinga. Uchunguzi wa Mapema.
Pamoja tunaweza KUMALIZA CERVICAL CANCER Meru County .