23/11/2022
MISCARRIAGES
ZIJUE SABABU ZA MIMBA KUHARIBIKA.
Mimba yenye Iko chini ya wiki 28 au chini ya hapo huharibika au kutoka na Kwa mtoto aliye tumboni Kwa umri huu hataweza Kuishi nje ya tumbo la mama.
80% ya mimba uharibika katika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito na baada ya hapo , uwezekano wa mimba kuharibika hupungua.
Siku za karibuni wanawake wengi wamekua wakipatwa na changamoto hizi mara Kwa mara Hali inayo sababisha baadhi Yao kukosa matumaini ya kupata watoto.
JE! HULETWA NA NINI?
Chanzo kikubwa zaidi ni ubadilishaji wa mfumo wetu wa maisha ( lifestyle) k**a utumizi wa upangaji uzazi, Pombe, sigara nk.
(2) Umri wa MIMBA husika etc
Mimba imegawanyika katika vipindi vi tatu. Ile miezi 3 ya mwanzo ambapo mtoto hujishikiza. Miezi tatu ya katikati na Ile ya mwisho ya kumaliza miezi Tisa.
KILA KIPINDI KIKO NA SABABU ZAKE huku sababu kubwa katika kipindi Cha kwanza zipo zaidi ya tatu zenye husababisha .
*ITAENDELEA
KWA USHAURI, ELIMU NA TIBA WHATSAPP US 0750267826.