Robina rozy

Robina rozy Official page

Good Night Fam I love you all ❤️😍😋
11/02/2026

Good Night Fam I love you all ❤️😍😋

Mtu aniambie ananipenda
11/02/2026

Mtu aniambie ananipenda

Mechi original ni 90mins izi zenu ni try and attempt🥵😂
11/02/2026

Mechi original ni 90mins izi zenu ni try and attempt🥵😂

First day Erick Omondi has managed to walk 63km.From Nairobi to Machakos.13 more days remaining afike Mombasa.But kufika...
10/02/2026

First day Erick Omondi has managed to walk 63km.
From Nairobi to Machakos.
13 more days remaining afike Mombasa.
But kufika Mombasa atakua amejaribu sana

Nikikupea chance ya kuniomba kitu sai Utaniomba nn 🤔
10/02/2026

Nikikupea chance ya kuniomba kitu sai Utaniomba nn 🤔

Utamu wa mechi ni 🙄
10/02/2026

Utamu wa mechi ni 🙄

Weka Mawe 😹
10/02/2026

Weka Mawe 😹

Kati ya mechi ya usiku 🌌 na mchana 🌄 gani ndio hubamba 😂
09/02/2026

Kati ya mechi ya usiku 🌌 na mchana 🌄 gani ndio hubamba 😂

Uki comment picha yangu nitakutongoza walai 🙄🤣
07/02/2026

Uki comment picha yangu nitakutongoza walai 🙄🤣

07/02/2026

K**a uko free drop account yako tukufollow 👌

🔥THE TENANT 🔥SEASON 01🔥EPISODE 01Nilikua nimetembea tao mzima house hunting hadi nimechoka. Kila place unaenda unaambiwa...
06/02/2026

🔥THE TENANT 🔥

SEASON 01🔥

EPISODE 01

Nilikua nimetembea tao mzima house hunting hadi nimechoka. Kila place unaenda unaambiwa hakuna keja vacant zote zimejaa💔. Caretaker mjinga naye anakushow umlipe 2k so that mse akihama akucall😂💔. Hakuna kitu hukua tiresome ka kusaka hao walahi 😂💔. Unazungukaga unapigwa na vumbi adi unataii. So nikacheki kuna makeja flani hapo zinakaa fiti zikanibamba. Ilikua gated community. Nikafika. Wacha kwanza nicheki soldier na laptop 😂💔 hapa nikajua I'm in the wrong place

Me : Niaje mkubwa
"How may i help you young man"

Soldier kwanza anabonga English of the nose nikajua nimepotea njia😂💔

Me : Naweza pata vacant?
Soldier : Yeah we have vacant houses, two bedroom. There's a swimming pool, 24/hrs WiFi and reserved parking

Mimi mwenyewe natembea miguu mbili napack gari gani?

Soldier : Rent ni 70k per month. Additional you'll be paying 40k service fee kila mwezi

Niliskia hivo hata sikusimama. Niliendelea na safari

Soldier : hello?.. kijana?.. we kijana unaenda? 🤔

Sikuangalia nyuma. Nilipotea nikipotea kabisa. Kisubmarine nikagive up nikasema wacha nirudi kwa hao nitajaribu siku ingine💔. Nikaingia route flani nikacheki kuna makeja flani spacious zinakaa fiti maze nikasema wacha niulizie nijaribu bahati nikishiaga kwa hao. Nikafika kwa gate. Kuangalia hakuna soldier nikaingia. Kwanza kuangalia perimeter wall iko sawa nikajua hapa security iko fiti sitaibiwa, another thing kuna maji hakuna kubuy maji. Wifi iko nikajua baas hapa wacha nijaribu bahati.

Kugonga tu mlango ya kwanza hivu milango zote zikafunguliwa💔. Madem flani wakajaa nje. Alaa kwani nimekuja hostel ama nini

Me : Sasa
"Poa sana"
Me : Naweza bonga na landlord wa hapa ama anyone? Caretaker?
"It's a landlady. Unataka aje?"
Me : Natafuta nyumba

Like

Kati yangu na punda utachagua nani 🤣
17/01/2026

Kati yangu na punda utachagua nani 🤣

Address

Nairobi West

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Robina rozy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram