PHARMCARE SURGICALS AND LABORATORY SUPPLY

PHARMCARE SURGICALS AND LABORATORY SUPPLY Suppliers Laboratory,Hospital and School equipments, chemicals and diagnostics

18/05/2022
07/03/2022

New stocks harry up as stocks lastπŸ™Œ

New arrivals at good price
24/04/2021

New arrivals at good price

01/10/2020

Dispensing chemist

πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘ŽBwana watu wanaogopa cancer, hiv idogo tu siku hizi TB hawaogopi ulcer imeleta stress kwa wamama, hepatitis ndi...
25/10/2019

πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
πŸ‘Ž
Bwana watu wanaogopa cancer, hiv idogo tu siku hizi TB hawaogopi ulcer imeleta stress kwa wamama, hepatitis ndio hiyo inatisha.

Ile kitu watu wamesahau ni Kwamba Malaria is a number one Killer disease. Bwana malaria inaua, Halafu kaa chonjo Pneumonia ndio Adui ya watoto sana sana na Chunga Tena TB. Ukiona wewe uko mzima healthy with no pains lakini Una sweat Jasho Mingi kweli kweli wakati watu wamejikunja kwa kusikia baridi, nawe joto Mingi Joto Mingi Mwilini inaweza kuwa dalili ya TB, Kwa hivo ukiona hizi dalili usikawie kimbia kwa Daktari manelia inaua within minitues.

Na ukirushiwa boils na wale wachawi k**a wale walinirushia juzi in Both Armpits usiambie mwenzako akufinye maji yake k**a umefinya macho k**a mtu anakunywa Chang'aa ile ya ikolomani ya Asubuhi kabla hawajaongeza Maji. Inaweza kuwa dalili za Cancer. Kimbia kwa Daktari akufanyie minor surgery.

Basi na Ukikaa na wale watu huogopa kwenda hospitalini au kumeza dawa eti dini yao imekataza. Hakuna cha dini hapo hiyo ni cult ya ushetani, Watu k**a hao k**ata peleka kwa chief wachapwe tu viboko ishirini ishirini publicly hawatawahi rudia Tena. Hapana cheza na malaria.

Hata k**a umesoma usikae tu na ile wazee husema uko tu na masomo ya vitabu pekee lakini ndani ya kichwa ni empty na ujinga mwingi tena ubongo unaweza kuwa ume expire k**a yule mama Teacher wa university of Nairobi aliyewacha mtoto akafa kwa sababu Dini yake ya Kishetani imekataza kupeleka watoto sivitali.

HAYA UJUMBE MPYA NAKULETEA.
Sisi PHARMCARE SRURGICALS AND LABARATORY
SUPPLIES wafanyi biashara Experts professional as we lead others follow in the market tunakuletea vifaa vya maabara vya kupima magonjwa k**a Hiv, Cancer, Malaria, Syphilis, Gonorrhea, Pregnancy, Hepatitis A,B,C and E, Hpylory ya Ulcers both antigen na antibody, PSA ya colony cancer, Widal na salmonella za Typhoid both antibody na antigen ,Blood Sugar, Blood Pressure, Brucella, Rhematoid Factor, Assot, etc

Tunakuletea Kila aina ya Machines ya Maabara k**a Microscopes, Centrifuge, Autoclaves, Incubators, Dental, etc,

All types of hospital Furniture including delivery Beds, Hospital Beds,Wheelchairs, etc, and all Sugical Scissors and Forceps, Plus both medical and School laboratory Chemicals, including Formalin, Alcohol, Sulphuric Acids, Nitric Acids, Hydrochloric Acids, Hydrogen Peroxide, etc,
Medical Training Schools training Robotts or Samanthas k**a yule love talking Samantha.

HALAFU
Ukitaka kufungua Clinic yako Tunakupea free Advice ya Vifaa thabilti vya kununua ndio ukiita sasa wangwana wakuje kukagua wakupe certificate wanafurahia vyombo ulizonunua.

Usikimbilie kununua vifaa fake halafu ukiita wangwana wa Health kuja kukagua wanakuta umenunua vyombo fake wanakataa kukupacertificate na umeenda hasara kisha unaanza kuonea wafanyi biashara wenzako competitors wamekurushia majuju na sio hivyo. Ni vile hukutafuta advice. Kuja tukupe Free advice.

Ukitaka kutupata Fanya tu simu zetu, 0721480233, 0702494788 etc na tutawasili kwako na mahitaji yako.

Chunga huo Mwili wako ni Hekalu la Mungu. Usidanganywe dini yako hairuhusu kutafuta matibabu,

Baadhi ya vifaa zetu ni hizi

23/10/2018

Electrical centrifuge machines 6 tube square type now available @ kshs. 8,000 hurry before its late. For more details contact us on 0721 480233

....!?.......
13/10/2018

....!?.......

29/06/2018

Brucella ni ugonjwa unaoletwa sana sana na maziwa na red meat

we have test devices for brucella going as from kshs 850.per packet

13/06/2018

Zama zile K**a tungali tunapenda Ujana

KITALE WEEKEND EXCITEMENT
Mikono juu.....Mikono juu... Everybody dance....Songa Mbele....Geuka...🎡🎡🎢🎢

Tuko Njiani tunakujah Yoh you...Tuko njiani tunaimba aaah aaah....Tunawaletea Ujumbe wetu Mpya...Tunawaletea Bidhaa Zetu Mpya...Afya Njema ni Kwa ujenzi wa Taifa....Kuishi kwingi ni kujifunza Mengi....

Mumiasi, Bungoma, Webuye Kitale Kakamega Junction,...
Turbo, Mois bridge, Kitale City, Likuyani, Matunda, Kona Mbaya, Tongarren, Maili Tisa, Kiminini, Lazima Tutafika.....Yoh yoh...Lazima Tutafika
Kakamega, Kapsabet, Kaimosi, Vihiga, Majengo, Luanda, Bondo Junction, Siaya Dala , Tunakuja hapo...

For all your Hospital and Laboratory Solutions.
Supplies of Hospital Beds, Delivery Beds, Dental Machines sets/Chais, Ward cutains, Doctors gowns, Nursecaps, Surgical instuments, forceps and scissors, Delivery sets, Suture sets, Dental forceps, MVA Kits,

Hospital and school chemicals, surgical spirits Spirits, Crepe bandages, Syringes, Needles, Gloves, etc

Test devices for Hiv, Syphilis, Gonohoea, Haemoglobin, Brucella, Rhematoid Factor, Assot, Blood Grouping, Malaria, Typhpoid, Cancer, Ulcers, Pregnancy, Tuberculosis,Hepatitis, etc.

Laboratory machines, microscopes, Centrifuge Machines, Oscillators or Blood roller mixers, vdrl shakers, Autoclaves, Incubators, aboratory fridges,etc.Syringe/Needle Destroyers, Dental lights, Surgical Lights, Blood Pressure, Monitors, Blood Sugar machines or Glucometers.Compression and Pressure stockings.

For more informaton Fanya tu Simu 0721 480233, 0729 821672 halafu sisi tafika kwa mlango yako ya workstation.

PHARMCARE SURGICALS AND LABORATORY SUPPLIES We lead others follow. If you cant beat us Join us. Pharmcare, your life and Health matters. Did you know that Kuishi kwingi ni kujifunza mengi, i thought you shoul know. TUNZA AFYA YAKO UIKIMBILIE KWA WAGANGA ETI AFYA YAKO UMEROGWA.

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

LAKINI TUSISAHAU BARABARA YETU YA KWENDA MBINGUNI Manake Moto Unakuja wa Milele Bwana.Mpokeeni Christo Maishani na sote tutakaa kwa Amani. Meru na Embu ni Next week.

04/04/2018

Also available
MVA kits
Baby weighing scales
Bathroom scales
Adult Weight and height scales
Dental forceps and full kits
Compression stockings all sizes now available
All syzes of syringe
All sizes of nedle

04/04/2018

All types of scissors and forceps now available
Nurse scissors/5 '' scissors
6'scissors
7'scissors
8'scissors
10'scisors
alligator/crocodile forceps
ear forceps
ear syringe
norse forceps
sponge forceps
tenaculum forceps
tweezers
vaginal speculum both metalic and plastics

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PHARMCARE SURGICALS AND LABORATORY SUPPLY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram