Afya ya uzazi

  • Home
  • Afya ya uzazi

Afya ya uzazi TUNATOA ELIMU BURE KUHUSU MAGONJWA YA P.I.D, U.T.I FIBROIDS, HORMONAL IMBALANCE KWA MWANAMKE , USHAURI NA TIBA

28/07/2021

Habari za asubuhi

K**a unatumia hz Product kipindi hiki, nakushauri usiache jivunie maana tayari zimefanya maajabu sana kwa watu wenye COVID-19.

Ni Kinga madhubuti

23/07/2021

MATUMIZI YA DAWA AU VIPANDIKIZI VYA
uzazi wa mpango hutoa homone inaitwa Patroid amabayo huziba mirija ya fallopian na kuzorotesha mayai hivyo hupelekea homone za uzazi kutokuwa na uwiano pH wakati mwingine unajikuta UNAKOSA UTE WA UZAZI hamu ya mapenzi au TENDO LA NDOA KUPOTEA, mvurugiko wa Hedhi, hedhi isiyoeleweka nyepesi au yenye mabonge bonge (HOMONE IMBALANCE) maambukizi kwenye mirija ya uzazi( PID) hupelekea Kutokwa na uchafu mzito wenye harufu na kupatwa na maumivu ya tumbo hasa chini ya kitovu na sababu nyingine nyingi japo hutofautiana mtu na mtu. Lakini sababu hizi hufanya mtu kutoshika ujauzito.

K**A UNACHANGAMOTO HIZO USISITE KUWASILIANA NASI

0753406586

OFISI ZETU ZIPO MAKUMBUSHO BUS STENDI-DAR- ES SALAAM WAWEZA FIKA

*S***matozoa* ni kitendo cha Kuwa na Shahawa ambazo zinafanya Kazi kwa ufanisi; Maana,Kuwa na umbo la kawaida (S***m mor...
07/07/2021

*S***matozoa* ni kitendo cha Kuwa na Shahawa ambazo zinafanya Kazi kwa ufanisi; Maana,

Kuwa na umbo la kawaida (S***m morphology), mwendo wa kawaida au haraka (S***m motility), au utendaji kazi wake (S***m Mobility).

➡️Inapotokea Umbo lake (Kichwa au kifua au mkia wa Shahawa/Mbegu) haujakamilika utaambiwa una tatizo la *S***m Morphology*

➡️K**a mwendo wake au kuogelea/speed ni hafifu au Hazitembei utaambiwa *Poor* or *No S***m Motility*

➡️K**a uwezo wa kurutubisha yai ni mdogo au haupo utaambi *Poor/No S***m Mobility*

✍🏻Na hizi Sababu ndio hubeba Upungufu Wa Nguvu za Kiume *(Low S***m Count)* na Zinasababisha Ugumba Hadi Utasa.

Unaweza zalisha mbegu, Ila k**a kuna Hitilafu miongoni mwa hayo niliyoyataja,huwezi tungisha mimba
Wanawake wengi hawajui hali za waume wao k**a mbegi zao zinaweza kubebesha mimba au hapana.
K**a mme wako ana mbegu nyepesi mkimaliza kus*x mbegu zote hutoka nje jua hana uwezo wa kukupa mimba nione nikupe Virutubisho ambavyo vitafanya mbegu zake ziwe nzito na ziwe na uwezo wa kutungisha mimba
Wasiliana na mimi sasa hivi 0699354523

*Sababu za Mwanaume Kushindwa Kumpa Mimba Mwanamke*WATU wengi wamekuwa wakidhani kuwa mwanamke pekee ndiye mwenye wajibu...
05/07/2021

*Sababu za Mwanaume Kushindwa Kumpa Mimba Mwanamke*
WATU wengi wamekuwa wakidhani kuwa mwanamke pekee ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha anapata mimba na ikitokea akakaa muda mrefu kwenye ndoa bila hilo kutokea, basi jamii inamtupia lawama wakiamini tatizo ni lake na siyo mumewe.

Ukweli kitaalamu ni kwamba tatizo linaweza kuwa kwa mwanaume au mwanamke au wote kwa pamoja
*MWANAUME KUSHINDWA KUMPA MIMBA MWANAMKE*

Mara nyingi mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke kunatokana na matatizo ya kuzaliwa nayo k**a vile korodani kushindwa kushikana vizuri Undrescended test, hii hutokea baada ya vichocheo (Hormone) kupata hitilafu na kuweza kuleta matatizo ya uzalishaji wa mbegu za kiume ambazo kitaalamu huitwa S***matogensis ingawa vitu k**a mrija wa kutolea mbegu unakuwepo lakini huwa hakuna mbegu zinazozalishwa.
Tatizo lingine ni la kimaumbile ambapo kwenye mrija wa kutolea mbegu, pamoja na mkojo, yaani Urethra huota sehemu ya chini ya uume, hivyo kusababisha mbegu kutoweza kufika sehemu ya ndani ya uke, tatizo hili kitaalamu huitwa Hypospadias.
Tatizo lingine linalofanya mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke ni korodani kupata joto sana, kitaalamu huitwa Termal Factor.

Hali hiyo huleta hitilafu kwenye korodani na kusababisha mbegu zisitoke zikiwa na afya nzuri. Tatizo hili huwakumba zaidi madereva wanaosafiri safari ndefu kwa zaidi ya siku mbili.
Sababu nyingine ni magonjwa ya zinaa k**a yale yanayosababishwa na bakteria aina ya Chlamydia na kusababisha tatizo la uzazi kwa mwanaume au tatizo la tezi za shingoni Mumps ambazo huathiri korodani na kusababisha mbegu kutozalishwa, hivyo kusababisha tatizo la uzazi kwa mwanaume.
Lakini pia matatizo yanayodhoofisha mwili k**a utapiamlo, pia husababisha hitilafu ya uzalishwaji wa mbegu mwilini. Vilevile matatizo ya kurithi ambayo kitaalamu huitwa Chromosomal huweza kusababisha mwanaume asiweze kumpa mimba mwanamke kwani mbegu za kiume huwa chache na hazitoshelezi kusababisha mimba.
Wanaume ambao wamepigwa miale k**a ya Ex ray, CT Scan, matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, dawa za presha, dawa za kuzuia degedege pia huathiri utengenezwaji wa mbegu za kiume.
Tatizo lingine ni ukosefu wa nguvu za kiume ambao kitaalamu huitwa Erectle Dysfunction au mwanaume kuwa hanithi Impotence kunaweza kusababisha ashindwe kumpa mimba mwanamke.
*K**a wewe una tatizo la kutopata Ujauzito Au mumeo hawezi kukupa Ujauzito nione nikutatulie tatizo lako*
WhatsApp/ call 0753406586

24/06/2021

Wadada someni hii inawahusu
Raha ya mwanamke kuitwa mama
Tuanze na shida ya kutokwa uchafu k**a maziwa ya mgando huko chini.... wengine wanatoa harufu mbaya k**a shombo la samaki plzz plzz hilo tatizo lina madhara makubwa nitafte ya uzazi ni mkombozi wa wanawake Nitakusaidia
Twende kwa wale wenye period isiyoeleweka. Mwezi huu damu inamwagika k**a bomba next Month vitone tuu. Plzz plzz ongea na ya uzazi nitakusaidia
Wale wanakuwa very dry huko kwa bibi ( ukavu ukeni), wale wanaumia wakati wa s*x plzz kimbia upate tiba hautakuwa disappointed
Wale wenye uvimbe kwenye mayai na kizazi ( Ovarian cyst na Fibroids) Suluhisho limepatikana
Mirija kuziba , kujaa maji, kujaa uchafu kimbia chapu ukipata dozi moja utakuja kunishukuru
Ushauri na tiba WhatsApp 0699354523

FAIDA KUMI NA TATU(13) ZA KULA TIKITI MAJI LIJARIBU TUNDA HILI UJIONEE HAYA MACHACHE...Tunda hili lina faida nyingi pamo...
17/06/2021

FAIDA KUMI NA TATU(13) ZA KULA TIKITI MAJI

LIJARIBU TUNDA HILI UJIONEE HAYA MACHACHE...

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.

Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la damu.

Faida 13 za tikiti maji kiafya

• Asilimia 92 yake ni maji
• Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
• Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili,
• Huponya majeraha,
• Hukinga uharibifu wa seli
• Huboresha afya ya meno na fizi
• Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
• Hubadilisha protin kuwa nishati
• Chanzo cha madini ya potasiamu
• Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la damu
• Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
• Huondoa sumu mwilini
• Huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume

NB: Tikiti halifai kutumika katika program ya kupunguza uzito/kitambi kutokana na kuwa na sukari nyingi japo ni sukari ya asili, lakini sisi tuna-discouraged sukari zote kwa tatizo la uzito

Kwa ushauri na tiba piga Simu 0753406586

UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS). FIBROID NI NINI?Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe...
05/05/2021

UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS).

FIBROID NI NINI?
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama
ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Kuna Aina Kuu Zifuatazo Za Fibroids:
1. Submucosal fibroids(ndani ya kizazi).
2. Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi).
3. Subserosal(nje ya kizaz)
Watu Wafuatao Wako Hatarini Kupatwa Na Ugonjwa Huu Fibroids.
1. Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa.
2. Miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma.
3. Kurithi.
4. Unene.
5. Kuingia hedhi mapema.
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini.
Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.
DALILI ZA FIBROIDS.
1. Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2. Kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3. Maumivi ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe...wengi hupata maumivu makali sana.
4. Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5. Hedhi zisizokuwa na mpangilio.
6. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
7. Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
8. Maumivu makali wakati wa hedhi.
Uvimbe Unapokua Mkubwa Unaweza
Kusababisha Dalili Zifuatazo.
1. Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo.
2. Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo.
3. Haja kuwa ngumu.
4. Miguu kuvimba.
5. Kupungukiwa damu.
Jinsi Fibroids Zinavyoweza Kuzuia Kupata Mtoto:
1. Fibriods zikikua sana zinakandamiza
mishipa ya kupitisha mayai kutoka
kwenye mfiko wa mayai yaani ovari.
2. Uvimbe pia unazuia yai
lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi...hasa fibroids.
3. Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
MATIBABU.

WhatsApp 0753406586

01/05/2021

*May Day*
Kwa kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani tunatoa OFA punguzo la bei kwa 50% kwa bidhaa zetu zote kwa wagonjwa na followers wetu wote

Offer hii spesho kwa watu 10 tuu wa kwanza wenye hamu ya kupona matatizo yao kiafya.

Ni punguzo la bei kwa asilimia 50% kwa kila bidhaa yaaani unaipata kwa nusu bei .

WhatsApp number 0753406586 kupata offer yako sasa hivi

20/04/2021

Wamama fuatisheni masomo ninayowapa nawaambia mtaitwa mama. Ondoeni maambukizi kwenye via vya uzazi, zingatieni kula, tumieni dawa za kubalance homoni, narudia mtaitwa mama.

Mimi napokea shuhuda nyingi mno mno, inafika muda yani nafurahi mpaka nahisi Mungu k**a ananipenda sana, najiuliza Mungu kwa nini umenichagua mimi niwe daraja la kuondoa matatizo ya wamama hawa!! Kwa kweli sifichi inanitafakarisha sana sana. Ila siachi kuendelea kumuomba Mungu aendelee kuonyesha miujiza yake nami niendelee kufarijika.

Ila nafikiri ni kwa kuwa ninapotaka kumtibu mama namuhoji sana ili kujua chanzo au vyanzo vya tatizo lake, namsaidia mama kuviondoa vyanzo vya tatizo lake kwanza ndio tunatumia dozi kwa usahihi na hatimaye tunapokea uponyaji kwa haraka sana, yani kuna watu uwa wananitumia shuhuda mimi mwenyewe at first nazikataa yani napata Denial. Namuuliza lakini wewe dawa ujamaliza ata nusu mwezi imekuwaje sasa na haya unayoniambia kuwa umebeba mimba?? Uwa najiuliza ina maana mlo dhaifu kweli ndio ulikuwa unamtafuna huyu mama? ni kweli maambukizi sugu aliyokuwa nayo ndio yalikuwa yanamfunga asibebe mimba?? Homoni je?? Maswali mengi sana. Lakini all in all Namshukuru Mungu kwa yote tu

Ipo siku nawe utakuwa na raha k**a alivyo sasa dada huyu, mateso, masimango, kunyanyapaliwa, dhiki, shida, mashaka vyote...
20/04/2021

Ipo siku nawe utakuwa na raha k**a alivyo sasa dada huyu, mateso, masimango, kunyanyapaliwa, dhiki, shida, mashaka vyote vimekoma nyumba yake imejaa nuru, upendo umeongezeka maradufu, mawifi na mama mkwe vizabozabina wamebaki macho kodo, hawana jinsi sasa upendo umetaradi. Utukufu kwake Mungu tu, kazi inaendelea ya kuhakikisha wamama wengi iwezekanavyo wanaitwa mama kwa uwezo wake Mungu wetu. Amiiiiin

Contact 0753406586

JINSI YA KUACHA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO KWA WANAWAKE NA WANAUMENAKUSIHI SOMA MPAKA MWISHO.Hebu niambie…umeshawahi kuj...
19/04/2021

JINSI YA KUACHA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO KWA WANAWAKE NA WANAUME

NAKUSIHI SOMA MPAKA MWISHO.
Hebu niambie…umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? Najua unaona aibu, hasa k**a una tabia hiyo. Usiogope rafiki yangu, leo nitazungumza na wewe taratibu halafu mwisho kabisa nitakuacha na tabasamu la nguvu!
Ndugu zangu, wakati mwingine kuna mambo magumu kidogo ambayo baadhi ya watu wanayaonea aibu, lakini yanaendelea kuwa tatizo kwa watu wengi. Leo tutazungumza. Amini usiamini, asilimia 90 ya wanaofanya mchezo huo, hawapendi hata kidogo.
Kila wanapomaliza kujiridhisha huahidi kuacha, lakini baada ya saa kadhaa kupita, wanarudi kule kule. K**a una tabia hiyo, utakuwa unanielewa vizuri zaidi juu ya kile ninachokizungumzia hapa. Hebu twende tukaone.

KUJICHUA NI NINI HASA?
Kwa Kiingereza tendo hili linaitwa ‘’ likiwa na maana ya kupiga punyeto. Hapa nimetumia kwa ulaini kabisa; kujichua. Lugha nyepesi na rahisi kufikika kwa wengi ni kujiridhisha! Ni kitendo cha mtu kujichezea kimahaba huku akivuta hisia za mapenzi kwa mtu ambaye yupo mbali naye hadi anapomaliza haja zake.
Namna ya ufanywaji inategemea zaidi na jinsi ya mazoea. Wapo wanaotumia vifaa bandia (artificial) na wengine vifaa halisi k**a aina mbalimbali za matunda ambazo zinafanana na sehemu pacha!
Wengine wanatumia njia wanazojua wenyewe, lakini wanaume wengi wanatumia sabuni lengo hapa ni moja tu, unatakiwa kufahamu kwamba namaanisha kujiridhisha.

INAWEZEKANAJE KUJIRIDHISHA?
Ni rahisi sana kumaliza tendo la huba kwa kujifanyisha mwenyewe. Silaha kubwa inayotumiwa na waathirika ni kuwavutia hisia watu wa jinsi pacha wakati tendo husika likiendelea kufanyika.
Habari mbaya kwa watu wenye mchezo huu ni kwamba, kwanza wakishaanza, inakuwa vigumu sana kuacha. Inashindikana kwa sababu ni jambo la aibu. Si rahisi kupata ushauri kutoka kwa watu maana ni aibu pia kumweleza rafiki yako juu ya mchezo huo.
Kutokana na hilo sasa, kinachotokea ni kwamba ‘waumini’ wa mchezo huu wanaendelea kuwa watumwa kwa maisha yao yote. Hapa chini tutaona kwa undani jinsi tatizo hili linavyoumiza vichwa vya wengi.
Ni kweli hutaki kuwa mtumwa wa mchezo huu hatari? Zipo athari nyingi sana rafiki yangu ambazo nitazieleza hapa chini.

CHANZO NI NINI HASA?
Jambo la kushangaza ni kwamba, hakuna mdau wa mchezo huo ambaye amefundishwa jinsi unavyofanywa. Wengi wameanza wenyewe, tena wengine bila kujua nini kitakachotokea, lakini baada ya matokeo kuonekana, ndiyo mwanzo wa kutopea huko.
Kwa vijana wa kiume, wengi huanza tabia hii wakiwa kwenye umri wa kubalehe. Mara nyingi hutokea asubuhi wakati wa kuamka, usiku wakati wa kulala au bafuni wakati wa kuoga.
Kwa kawaida, mtu anapokuwa katika sehemu ya utulivu kwa maana ya kupumzika, wakati mwingine mkono unaweza kutembea huku na huko kwenye mwili na mwisho wake bila kutegemea mhusika anajikuta ameshaingia kwenye mchezo huo.
Huwa k**a mzaha, akiwa hajui hatma yake, lakini msisimko anaoupata ndiyo unaomchanganya na mwisho wake anashangaa kila kitu kimemalizika. Unajua atakachosema? Sikia: “Mh! Kumbe ndiyo mwisho wake ni hivi? Lakini k**a nimesikia starehe hivi…”
Hiyo hutokea pia wakati wa kuoga, ambapo wakati wa kujisugua kwa dodoki, msisimko ukitokea, madhara yanakuwa k**a nilivyoeleza hapo juu.
Wenye umri mkubwa au wa kati, huanza tabia hii hasa baada ya kuanza mchezo wa kuangalia video za kikubwa wakiwa peke yao. Kwa sababu wanachotazama kinahusisha msisimko wa mapenzi, basi bila kutarajia hujikuta tayari!
Hii inafanana pia na kwa watoto wa k**e, vyanzo nilivyoeleza hapo juu pia husababisha kwa karibu sana.
Sababu nyingine ni kunyimwa au kutotoshelezwa kimahaba na mwenzake.Wengi imewagusa, lakini kuna makundi mawili; wapo waathirika ambao wanatamani kuachana na utumwa huu na wengine wameathirika zaidi, kiasi kwamba hawana mpango wa kuacha.
Wengine wameenda mbali zaidi, kwa vile hawafikirii kuachana na mchezo huu, wamefikia hatua wanasema kwamba hakuna madhara kwa mtu anayejichua! Watu wanatetea wazi wazi, kwamba kujichua hakuna madhara. Sikia rafiki yangu, hata anayevuta sigara anajua kwamba ina madhara kwa afya yake, lakini ili kujifariji, atajenga hoja kwamba, haimdhuru na badala yake inamsaidia sana kuondoa baridi na haina kilevi.
Wakati mvuta sigara akisema hivyo, mlevi naye atakuja na hoja kwamba, pombe inamsaidia sana kupunguza mawazo. Kila mmoja atatetea upande wake. Ni jambo la kawaida kabisa.
Nikiwa naelekea kuendelea na mada yetu, rafiki yangu mpendwa k**a wewe ni ‘muumini’ wa tabia hiyo, unatakiwa kufahamu kwamba unafanya jambo HATARI sana, si tu kwa afya yako, kisaikolojia na dhambi ya uzinifu ambayo hiyo itatokana na uhusiano wako mwema na imani ya dini yako, NDOA yako ipo/itakuwa hatarini.
Nadhani mnakumbuka wiki iliyopita nilieleza maana ya kujichua, namna tendo linavyofanyika na jinsi mtu anavyoanza mchezo huo bila kutegemea. Sasa rafiki, hebu tuendelee kwenye namna tatizo linavyokua.

UKUAJI WA TATIZO
Mwathirika akishazoea, hufanya tendo hilo k**a sehemu ya maisha yake. Alianza bila kujua matokeo yake, lakini sasa amejikuta akianza kuupenda na idadi ya ufanywaji wa tendo huanza kupanda, baada ya siku tatu, siku mbili, kila siku na hatimaye kwa siku zaidi ya mara moja.
“Kaka Shaluwa, najichukia sana, yaani nimekuwa mtumwa kabisa wa kufanya huu ujinga.
Kwa siku nafanya mara mbili au zaidi, lakini si chini ya hapo,” alisema rafiki mmoja, aliyenipigia simu baada ya kusoma sehemu ya kwanza ya mada hii wiki iliyopita.
Ukweli ni kwamba, mfanyaji kwa vile ameshapata ‘mteremko’ wa kutimiza haja zake, kwanza ataanza kuwadharau wanawake/wanaume, kwamba hawawezi kumtisha, kwa sababu ana njia za kujifurahisha mwenyewe.
Pili, hufikia hatua ya kuwachukia watu wa jinsia pacha, akiwaona k**a ‘wanaringa’ hasa k**a atakuwa amemshawishi kimapenzi na kukatawaliwa.

ATHARI ZAKE
Zipo athari nyingi sana ambazo mwathirika anaweza kuzipata kwa kuendekeza mchezo huu. Hapa nataka nizungumze kwa herufi kubwa kabisa kwamba, ndugu zangu usidanganyike kwamba hakuna madhara kwa kufanya mchezo huu.
Yapo MADHARA makubwa sana ambayo yanapatikana kwa mchezo huo. Achana na propaganda za mitaani, zenye utafiti hewa.
Sikia nikuambie rafiki yangu, hasa wewe ambaye unafanya mchezo huo. Upo kwenye hatari kubwa ya kushindwa kufurahia mapenzi, kwa vile mazoea ya kiungo siri chako ni kwenye vitu ‘artificial’ zaidi ya ‘natural’.
Mwanaume aliyezoea kujiridhisha mwenyewe, akikutana na mwanamke, hana muda mrefu sana, kila kitu kinamalizika.
Siyo hivyo tu, uwezo wa kurudia tendo unakuwa mdogo au unakosekana kabisa. Kinachotokea ni kwamba, kiungo siri chake kinakuwa kimeshazoea, aina nyingine ya ‘hali ya hewa’ hivyo kinapokutana na sehemu siri za k**e, ambazo ni laini na zenye ute mwepesi, inakuwa rahisi kumaliza ‘biashara’ mapema wakati wateja bado wanahitaji!
Kiungo Siri Cha Mwanaume Huwa Kigumu, hivyo kusababisha maumivu kwa mwanamke kutokana na sugu aliyoitengeneza bila kujua. Kwa kawaida viungo siri vyote ni laini sana na vinatakiwa kubaki katika hali hiyo ili kuleta msisimko wenye usawa.
Mazoea yoyote tofauti na yale ambayo yanatakiwa hupunguza msisiko na kusababisha mmoja wa washiriki wa tendo la ndoa kubaki na kiu na mwenzake.
“Najuta kuufahamu huu mchezo, kila siku ninapokutana na mume wangu, ananiacha nikiwa sijatosheka. Kiukweli tangu amenioa, sijawahi kufurahia tendo la ndoa. Nilianza huu mchezo zamani sana, tangu nikiwa kidato cha tano.
“Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa nakaa naye bweni moja alinifundisha. Sikujua k**a madhara yake ni makubwa kiasi hiki. Ilikuwa ni shule ya wasichana tupu, kwa hiyo akanidanganya kwamba tuachane na wanaume tujichue…kumbe alikuwa ananisaga!” hii ni sehemu ya ushuhuda mwingine wa mchezo huo.
Athari nyingi ambayo mtu anaweza kuipata kwa kujichua ni kumaliza ‘kazi’ mwenyewe bila hata kwenda kazini. Akipita mtu wa jinsi pacha, ambaye ana mvuto, kazi inaishia hapo hapo!

UPO KUNDI GANI?
Uko wapi rafiki yangu? Nazungumza na wewe ambaye unafanya mchezo huo, bado unataka kuendelea nao au unatamani kuacha? Shika maneno yangu, kwamba ni HATARI kujichua, halafu weka nia ya kutaka kuacha huu utumwa.

Mtu ambaye anaendekeza kazi hii, hupata mfadhaiko. Anayepata mfadhaiko, huwa mwepesi sana wa kuwa na matamanio kwa jinsia ya upande wa pili.
Si ajabu mtu mwenye mchezo huo, kutembelea akimwangalia mwanamke kuanzia Magomeni hadi Manzese! Amefadhaika. Ameshazoea kumaliza kazi nzima akiwa peke yake, kwa hiyo raha yake inabaki kuwa katika picha tu na si kitu halisi.
Macho yanakuwa juju juu, si kwa kupenda, ni kwa sababu tayari ameshaathiriwa na tatizo hilo. akitoka hapo, ujue moja kwa moja faragha, anaanza mambo yake. Kelele nyingi, kumbe yupo peke yake!8
Mfadhaiko hauishii hapo, hata akiwa kwenye vyombo vya usafiri au mkusanyiko wa watu, mwathirika huweza kumaliza ‘kazi’ kwa macho tu, tena wakati mwingine bila kuwa na taarifa. Anakuja kugungua baadaye sana, kwamba kumbe kila kitu kilishafanyika bila hiyari yake.

KUSHINDWA TENDO LA KAWAIDA
Mwenye mchezo huo, pamoja na uhodari wake wa kujifurahisha akiwa peke yake, anapokutana na mwenzi wake faragha, kazi inakuwa si ya kiwango cha kuridhisha. Kuna athari nyingi ambazo hujitokeza.
Kwanza, anakosa ujasiri, hayupo tayari kuandaliwa, kumuandaa mwenzake. Kishazoea kufanya kila kitu haraka haraka, tena kwa kutumia hisia zaidi kuliko uhalisia wa tukio lenyewe.
Anakuwa goigoi, anachelewa kuwa tayari, hata akiwa tayari anafika safarini mapema zaidi. Mbaya zaidi, akifika hawezi kuanza safari nyingine. Hata k**a akianza, kuna uwezekano mkubwa wa kuishia njiani.
Baadhi yao, hubaki wakiwa baada ya wahusika wao kuwagomea katikati ya safari. Zipo athari nyingi zaidi ya hizo, kutegemea na namna tatizo lilivyokomaa na aina ya jinsia.

KUFEDHEHEKA
Baada ya hayo hapo juu kujitokeza kwenye ndoa/uhusiano wa mwathirika, kinachofuata sasa inakuwa ni kufedheheka. Kwa bahati mbaya sana, unaweza kufanya siri mchezo wako, lakini athari zikawa wazi kwa mwenzako.
Hata k**a hatagundua chanzo cha tatizo, lakini atagundua kwamba huna msisimko, huwezi kazi au vyovyote vile. Wengi husema kwa hisia, humaanisha kwamba hakuna wanachopata kutoka kwa wenzao, lakini mambo yakizidi kuwa hovyo, wanafunguka: “Mwenzangu kila siku unaniacha na kiu, una tatizo gani?”
Kauli hiyo rafiki yangu, inatosha kabisa kukufanya ushindwe kazi moja kwa moja. Unajua nini? Utaanza kuwaza: “Kumbe siwezi kitu…halafu mwenzangu ameshagundua. Nitafanyaje mimi? Mbona nahadhirika?”
Ndugu yangu, ikifikia hapo utakuwa unamkimbia mwenzako na kwenda chemba kumaliza biashara zako mwenyewe. Furaha ya moyo itatokea wapi? K**a ndiyo mnaishi kinyumba au mpo ndani ya ndoa ndiyo kabisaaa!
Umeona kazi hiyo?

UNATAKA KUACHA?
Hakuwa dawa kubwa sana ya kuacha mchezo huu. Najua wengi walikuwa na hamu ya kutaka kusikia, wataachaje huu mchezo. Ndugu zangu.Usitarajie kwamba nitakuja kuingia kwenye nafsi yako na kukuambia ACHA KUJICHUA! Mimi nitakusaidia kuondoa athari za kujichua k**a uume kuregea kutokana na kudhoofika kwa mishipa katika uume na kurejesha heshima yako ya familia. Ndugu zangu, nitawapa dondoo chache sana, lakini kubwa ni kwamba ATHARI nilizotaja hapo juu zinatosha kabisa kukubadilisha!
Hebu nikuulize, utakuwa na hamu ya kuendelea na haya mambo k**a ndoa yako itakuwa hatarini? Nani atakubali kufedheheka? Nani atakubali kupoteza heshima yake? Bila shaka hakuna. Pitia dondoo zifuatazo;
(i) Badilisha utaratibu wa kulala, lala kifudifudi, badala ya chali (rejea maelezo yangu ya awali kuhusu chanzo cha tatizo)
(ii) Acha kuangalia mikanda ya kikubwa ukiwa peke yako.
(iii) Kaa mbali na simulizi zinazohamasisha mapenzi, mazungumzo ya aina hiyo na kampani za watu wanaopenda kusimulia mambo ya faragha.
(iv) Acha mazoea ya kujishika sehemu zako za siri.
(v) Fanya mazoezi ya viungo angalau robo saa tu kwa siku.
(vi) Juu ya yote haya, FUTA kabisa mawazo ya jambo hilo. AMUA kwa dhati ya moyo wako, tambua na ogopa athari ambazo unaweza kuzipata, kisha ACHA KABISA mchezo huo ili kulinda heshima yako na kujipa furaha ya maisha

WATU WENGI WAMEKATA TAMAA WAKIAMINI TIBA HAIPO KUTOKANA NA KUTUMIA DAWA NA LISHE NYINGI BILA KUPATA MATOKEO YEYOTE,
UNGEPENDA KUPATA TIBA YA UHAKIKA???
1⃣ ACHA KUJICHUA
2⃣ ZINGATIA VYAKULA BORA
3⃣ TIBA.

Pata tiba yenye uwezo wa kufanya yafuatayo:

1.Huongeza hamu ya mapenzi kwa kina mama na kina baba, stamina na nguvu.

2.Inasaidia kuondoa depression - (msongo wa Mawazo)

3.Inasaidia kuondoa madhara ya kukoma hedhi k**a mvurugiki wa homoni na kusikia joto kali endapo itatumiwa na mwanamke.

4.Inarutubisha mayai.

5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume ,na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri.

6.Inaweka sawa kiwango cha chuma Kwenye damu.

7.Inasaidia kupromote matumizi ya glucose Kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.

8: Ni bidhaa bora ambayo husaidia katika kuondoa changamoto ya mwanaume kuwa kufika kileleni mapema na kutorudia tendo.

9: Huboresha misuli ya usafirishaji mbegu ya uume na kuifanya kuwa imara hasa kwa walioathirika na changamoto ya kujichua kwa mda mrefu.

10: Huboresha tatizo la kusinyaa kwa uume na kutorudia tendo.

11: Husaidia kuondoa athari za kujichua kwa mda mrefu na kukufanya kuwa imara zaidi.

12: Huboresha mfumo wa mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya katika mishipa ya damu.

Hivyo ni bidhaa bora kwa matumizi na afya ya uzazi.

KWA ANAYEHITAJI USHAURI NA TIBA WASILIANA NAMI KUPITIA NAMBA 0753406586

14/02/2021

HATA USIPOFUNGA NA MKANDA KIZAZI KITARUDI HALI YAKE NDANI YA WIKI 6. HAKUNA KITAMBI CHA MIMBA.
Wamama wengi Ukimuuliza mbona Tumbo hilo umelipalilia? Atakujibu Nimejifungua kwa Upasuaji Sikufunga tumbo.
Ufunge au usifunge kizazi cha mwanamke aliyetoka kujifungua hupungua kwa spidi ya gram 500 kwa wiki. Baada ya wiki sita huwa kimerudi kwenye uzito wake unaotakiwa gram 40 mpaka 80 sawa na uzito wa kizazi cha mwanamke ambaye hana mimba.
Wewe Hilo tumbo la chini sio la kizazi ni KUKOSA ELIMU YA LISHE BORA wakati Unanyonyesha Mwanao. Wengi tunakula hovyo "Tunatupia lawama Uzazi"
Upasuaji Hauwezi kuzuia kizazi Kurudia Uzito wake k**a Mwanamke ambaye hana Mimba. Kwa hio hicho kisingizio ni KICHAKA CHA KUENDELEA KULA VIBAYA WAKATI UNANYONYESHA MTOTO.
Mwanamke Anapokuwa na Mimba kuna mabadiliko kadha wa kadha huyapata ya Homoni kwa kuanza kuchagua vyakula. Ingawaje Ukipata Mimba ukiwa ni Mlaji wa Vyakula Hovyo Hovyo Bila kujali Ubora ndivyo utakavyopata taabu kubwa sana wakati wa Mimba. Ina maana Ukipata mimba k**a ulikuwa umejiandaa unakula vizuri kabla hakika utaweza kula kiafya huku ukiwa unalea mimba.
Hakika unaweza ukawa unakula kiafya huku ukiwa Una nyonyesha mtoto.
Mwanamke ili Upate maziwa yakutosha unacho hitaji ni KUSHIBA NA MWILI USIONE UMEPUNGUKIWA KITU.
Na Nakuhakikishia Ukifuata sayansi ya Mapishi Kitabu hiki kinakupa karibia aina mbalimbali ya Vyakula ambavyo UTAKULA UTASHIBA NA BADO UTALEA MIMBA AU UTANYONYESHA MWANAO.
Wanawake wengi Wanaangamia kwa:-
1. Kukosa Maarifa ya Maana Halisi ya Lishe bora. Wengi hufikiri kula vizuri ni Kuwa na Vyakula Vingi Mezani na Ujilie hovyo lakini ukweli ni kwamba MIMBA ITAKUA SALAMA ukila chakula kwa kuzingatia UBORA na Kigezo cha Pili ni Kushiba. Wengi wanalenga Kushiba bila Kuzingatia UBORA WA WANACHOKULA.
2. Kubeba Mimba bila Maandalizi ya Kula kiafya kwanza miezi kadhaa kabla ya mimba
3. Vyakula Vimewadhuru na kuwapa Uteja. Wanashindwa kuacha Vyakula vilivyo waletea UTEJA.
4. Mabadiliko ya Homoni kwa mtu ambaye ni TEJA wa Vyakula LAZIMA UNENEPE KWA KASI SANA WAKATI WA MIMBA.
Pata program ya KUTHIBITI TUMBO BAADA YA UZAZI NDANI YA WEEK 3 TUU. Mwanamke NILIKUANDALIA ULINDE UMARIDADI WAKO MWONEKANO WAKO.
TUMA UJUMBE WHATSAPP 0753406586 kupata program hii

Address

Sinza, Bukoba Street, Plot No. 24

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya uzazi:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram