24/02/2022
Habari wapendwa
Ni mimi Zainab
VYAKULA ORODHA YA KIJANI
Mboga za majani
Kabeji sukuma wiki
Kisamvu
Brokoli
Kauliflawa
Spinachi
Mnafu
Letusi
Majani ya kunde
Kilinganya
Nyanya chungu
Nyanya
Seleli
Kotimiri
Karoti
Kitunguu
Uyoga
Mboga aina yoyote ya majani bamia mchicha
Viungo
Tangawizi
Karafuu
Mdalasini
Limao
Bizali
Pilipili aina yoyote
Mayonnaise
Myama
Kuku
Bata
Ndenge
Ng'ombe
Kware
Mbuzi
Viungo vya ndani
Maini
Utumbo
Kongoro
Mkia nk
Mayai
Kuku wa kienyeji
Bata
Ndenge
Kware
Kuku wa kisasa kula kwa nadra unapo kuwa hauna chaguo
Vinywaji
Tumia vinywaji vyote ulivyo ruhusiwa
Coffee
Maziwa ya wanyama
Maziwa ya korosho
Maziwa ya almond
Maziwa ya n**i
Maji
Kinywaji cha tangawizi mchaichai
Chai ya viungo
Mbegu
Korosho
Almond
Mbegu za maboga
Frexseed
Chia seed
Walnut
Pistachio
Hazelnut
Bidhaa za maziwa
Maziwa fresh
Mtindi(yoghurt full fat)
Siagi (buttermilk)
Jibni (cheese uliyo tengeneza nyumbani)
Mafuta
Mafuta ya n**i
Mzeituni(Extra Virgin Olive oil)
Siagi (butter)
Samli ya ng'mbe(Ghee)
Matunda
Parachichi
Tango
Zabibu
Stroberi
Haya jamani hivi ndivyo vyakula rafiki kwetu wenye maradhi ya lishe ndo vya kwetu