25/09/2022
Epuka kunywa pombe na methadone kwani huongeza madhara ya dawa kwenye ini na inaweza kusababisha matatizo makubwa ya ini. Methadone na pombe ni vitu viwili ambavyo havipaswi kutumiwa Pamoja, na madhara ya kuchanganya yanaweza kuwa makubwa. Inakadiriwa, karibu nusu ya wagonjwa wanaotafuta matibabu ya uraibu wa dawa za kulevya ambao wamejiunga kwenye matibabu ya methadone wanauzoefu wa unywaji wa pombe....
Nesi J4 Hatari: Usinywe pombe ikiwa unatumia methadone.