Nutraceticals medicines Bf suma.

  • Home
  • Nutraceticals medicines Bf suma.

Nutraceticals medicines Bf suma. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nutraceticals medicines Bf suma., Medical and health, .

𝐂𝐄𝐋𝐄𝐁𝐑𝐀𝐓𝐈𝐍𝐆 𝐓𝐇𝐄 𝐀𝐈𝐑𝐖𝐀𝐕𝐄𝐒 𝐌𝐀𝐑𝐒𝐇𝐀𝐋𝐋!To the Airwaves Marshall. A man sent from God.A force to Reckon with. Happy Birthday P...
07/12/2024

𝐂𝐄𝐋𝐄𝐁𝐑𝐀𝐓𝐈𝐍𝐆 𝐓𝐇𝐄 𝐀𝐈𝐑𝐖𝐀𝐕𝐄𝐒 𝐌𝐀𝐑𝐒𝐇𝐀𝐋𝐋!
To the Airwaves Marshall.
A man sent from God.
A force to Reckon with.
Happy Birthday Pastor Sir We Salute you sir!🕺🤍🙏🏻

Happy new month my potential clients🫧🔥Napenda kukutaarifu kuwa kuanzia tar 1 mpaka tar 9 ya mwezi huu wa kumi k**a Campu...
01/10/2024

Happy new month my potential clients🫧🔥Napenda kukutaarifu kuwa kuanzia tar 1 mpaka tar 9 ya mwezi huu wa kumi k**a Campuni tutakuwa offer maalum kwa ajili yako karibu sana upate Huduma zetu bora kwa ajili ya Afya yako!
*NB*:kumbuka huduma zetu si kwa ajili ya mgonjwa tu hata kwa wewe unayeijali Afya yako unaweza kuwa mtumiaji kwa ajili ya kukulinda na kuimasha Afya yako karibu sana🙏🏻
Kwa ushauri na maswali zaidi 📞0672050765📲_ ✍🏻

You derseve the best mama🫧✊🔥
27/09/2024

You derseve the best mama🫧✊🔥

*GLUZOJOINT Ultra Pro* *Imetengenezwa kwa PROTESYLYCAN pamoja na glucosamine ambazo kazi yake ni kuzalisha synovial flui...
24/09/2024

*GLUZOJOINT Ultra Pro*

*Imetengenezwa kwa PROTESYLYCAN pamoja na glucosamine ambazo kazi yake ni kuzalisha synovial fluid mwilinin ambayo nayo huzalisha uteute kwenye maungio pamoja na maumivu ya maungio*

*Gluzo Joint ni maalum kwa ajili ya maungio zaidi. Binadam anayo maungio takriban Nane yakiwemo Magoti, na mengine. Katika hivi viungio vinayao uteute, huu uteute ukiisha au kukauka ndipo viungio huanza kuuma.*

*Bf Suma wameleta suluhisho bila upasuaji kwa kuongeza uteute mwilini. Nayo ni Gluzojoint.*

*Gluzojoint imetengenzwa kwa Glucosamine Hydrochloride maalum kwa kuongeza uteute kwa samaki aina ya papa/ shark.*

*-KAZI YA GLUZOJOINT:-*
-Kuongeza uteute kwenye maungio hasa magoti. hivyo huwafaa wote wenye shida hizo.
-Huondoa maumivu kwenye maungio. (URIC ACID)

*Dosage : Pamoja na chakula 1x2 pamoja na chakula.*
📞0672050765📲

Kindly contact us for more details/Piga simu kwa taarifa zaidi ili upate huduma bora kabisa kwa gharama nafuu📞0672050765...
18/09/2024

Kindly contact us for more details/
Piga simu kwa taarifa zaidi ili upate huduma bora kabisa kwa gharama nafuu
📞0672050765📲

🧠*MADHARA YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO* 🔊✍️ *DAMU KUVUJA TUMBONI*  Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea had...
17/04/2024

🧠*MADHARA YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO* 🔊

✍️ *DAMU KUVUJA TUMBONI*

Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja. *Hali hii ni hatari sana na inahitaji tiba ya dharura.*

✍️ *KUTOBOKA KWA UKUTA WA TUMBO*
Vidonda vya tumbo huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.
Aidha, kuenea huko kunaweza pia kuathiri tezi kongosho na kusababisha madhara katika tezi hiyo, ugonjwa unaojulikana k**a pancreatitis.

✍️ *KUATHIRI VIUNGO VINGINE VYA MWILI*

Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease)

✍️ *KUVIMBA KWA UKUTA WA TUMBO KWA NDANI* yanayosababishwa na vidonda hivi huweza kusababisha kuziba kwa njia ya kupitishia chakula kutoka kwenye tumbo (stomach) kwenda sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenum) hali ambayo kitaalamu huitwa gastric outlet obstruction.

✍️ *TATIZO LA KANSA*

Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata kansa ya tumbo (stomach cancer).

✍️ *TATIZO LA NGUVU ZA KIUME*
Hali itakayomuathiri mwanaume kupata hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kabisa kufanya tendo, kuwahi
kufika kileleni pamoja na kushindwa kutungisha Mimba.

✍️ *MWANAMKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA*
Hali inayopelekewa kwa homoni kuvurugika na mwisho MWANAMKE anakoswa hamu ya tendo la ndoa kushindwa kupata hedhi vizuri na kwa asilimia chache hupelekea MWANAMKE kutopata ujauzito📞0672050765📲

UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA TIBA YAKENini maana ya shinikizo la damu?Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko ...
17/04/2024

UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA TIBA YAKE

Nini maana ya shinikizo la damu?

Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza damu,virutubishi,vitamin,protein,madini, oksijeni N.K Kuvipeleka sehemu mbali mbali za mwili nakutoa uchafu.
SABABU ZA MTU KUUGUA UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA JUU LA DAMU)
☑Uvutaji sigara
☑ Unene na uzito kupita kiasi
☑Unywaji wa pombe
☑Upungufu wa madini ya potassium
☑ Upungufu wa vitamin D
☑Umri mkubwa
☑Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
☑Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin

*Uanishaji wa shinikizo la damu
☑Presha ya kawaida

*FAIDA ZA KUTUMIA DETOXILIVE*☑️Huboresha mzunguko wa damu, kuzibua mishipa midogo midogo ya damu, hivyo kusaidia  kuondo...
17/04/2024

*FAIDA ZA KUTUMIA DETOXILIVE*

☑️
Huboresha mzunguko wa damu, kuzibua mishipa midogo midogo ya damu, hivyo kusaidia kuondoa changamoto ya presha na dalili zake.
☑️
Husaidia kunyonya na kuyeyusha mafuta mwilini.. kuondoa tatizo la uzito uliopitiliza
☑️
Huboresha utendaji kazi wa mishipa ya fahamu na usafirishaji wa taarifa hivyo kutibu tatizo la kusahau na kupoteza kumbukumbu
☑️
Huboresha mishipa ya macho, kuondoa ukungu machoni, na kutibu matatizo ya uoni hafifu.
☑️
Hutibu matatizo ya kichwa kuuma mara kwa mara
☑️
Huboresha na kuongeza nguvu za kiume.
☑️
Husaidia kutibu na kuzuia saratani ya tezi dume.
☑️
Huboresha afya na muonekano wa ngozi hivyo kuzuia kuzeeka kwa ngozi.
☑️
Huondoa sumu aina zote mwilini.
☑️
Huondoa sumu(detoxification) kwenye ini na figo.
☑️
Hubalance tatizo la mvurugiko wa homoni kwa wanawake.
☑️
Hutibu homa ya ini “Hepatitis B”... usipange kutokutumia Detoxilive supplement.

04/04/2024

🔰_NGUVU ZA KIUME NI NINI?_
🔊Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa wakati muafaka; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe. Kwa ujumla vipengele vyote hivyo, ndivyo ukamilifu wa nguvu za kiume. Na ndiyo maana ya nguvu za kiume.

✍🏻Kuna watu huwa hawajitambui k**a wana tatizo la kuishiwa nguvu za kiume, na hatimaye tatizo huwa kubwa zaidi. Wengine wakisema, “Mimi niko sawasawa tu ila nakosa hamu ya tendo la ndoa,” na kadha wakadhaa. Ukweli wa mambo ni kwamba:

🪫K**a unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.

🪫K**a uume hausimami barabara, una upungufu wa nguvu za kime.

🪫K**a uume unasimama kwa muda mfupi na kulegea, una upungufu wa nguvu za kiume.

🪫K**a uume wako hulegea muda mfupi tu baada ya kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.

🪫K**a unafika kileleni muda mfupi tu baada kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
K**a unashindwa kufika kileleni una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.

🪫K**a unasikia
maumivu wakati uume unaposimama, una tatizo la kuishiwa nguvu.
za kiume.

🪫K**a unashindwa kutoa mbegu (shahawa), una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.

🔊Iwapo moja ya matatizo hayo yatakutokea, fahamu ya kwamba, una UPUNGUFU wa nguvu za kiume, na hivyo sasa ni muda muafaka wa kutafuta matibabu sahihi bila
kuchelewa. Unapoanza kujitibu mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, unakuwa umejitengenezea fursa pana ya kupona. Lakini, chelewa chelewa…. utakuta mwana si wako! Piga simu wasiliana nasi kupitia📞0672050765📲

_*Do you wish for a more comfortable and fresh feeling throughout the day? ??????????♻️🧘‍♀️.*_Femicare Feminine Cleanser...
28/03/2024

_*Do you wish for a more comfortable and fresh feeling throughout the day? ??????????♻️🧘‍♀️.*_Femicare Feminine Cleanser is a rebirth of woman solution! Made with natural ingredients, it cleanses, stops irritation, helps maintain a healthy virginal environment, and eliminates abnormal discharges. Imagine feeling confident and comfortable all day long. Femicare helps prevent unpleasant odors and reinforces your natural defenses against infections and discomfort. Ready to feel fresh and confident every day? Give Femicare Feminine Cleanser a try! It’s a gentle and effective way to maintain optimal feminine health. 📞call 0672050765📲

11/11/2023

📞 CALL 0672050765☎️

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nutraceticals medicines Bf suma. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram