12/12/2022
CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE* 👉🏾ni maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.
Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation Disorder (O.D).
*CHANZO CHA TATIZO*
Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka. Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na k**a zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.
*DALILI ZA CHANGO LA UZAZI*
👉kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi,
👉kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa,
👉kujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi pamoja na kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi
👉kurugika kwa mzunguko wa hedhi ni dalili nyingine ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa takriban siku 35,
👉kubadilikabadilika kwa siku za hedhi au kuwa na mzunguko mfupi wa hedhi chini ya siku 21
👉mwanamke kuwa na hasira kali anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi,
👉kupata michubuko kwenye sehemu zake za uke,
👉kuchukia kushiriki tendo la ndoa,
👉kupata uvimbe kwenye kizazi na mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
*MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE*
Yapo madhara mengi kwa mwanamke mwenye tatizo hili lakini kubwa, huwa ni vigumu kupata ujauzito na hata pale anaponasa ujauzito, huharibika na kutoka kwa rahisi na kushindwa kufurahia tendo la ndoa ambapo huwa vigumu sana kwa mwanamke mwenye tatizo hili kufika kileleni wakati wa tendo.
Kwa Tiba sahihi salama na ya kuaminika Tuwasiliane.
*📲simu:-0694530500
Wa/me+255694530500
*KUPONA KABISA TATIZO LA CHANGO NI WEWE TU KUAMUA LEO KUTUMIA HUDUMA ZETU KWA MATIBABU ZILIZOTHIBITISHWA KISHERIA*
.