Thabith Personal Care

Thabith Personal Care TIBA NA USHAURI
๐Ÿ•ณMAGONJWA YA UZAZI

๐Ÿ•ณU.T.I
๐Ÿ•ณFANGASI
๐Ÿ•ณUVIMBE
๐Ÿ•ณSARATANI
๐Ÿ•ณUGUMBA
๐Ÿฆ PID

"Dr Thabith Afya ya uzazi"


Huduma za afya ya uzazi kwa wagonjwa karibu tukuhudumie


Karibu Afya yako furaa yako

10/11/2025

# # UGONJWA WA BAWASILI (HEMORRHOID)**

**Dalili, Madhara na Suluhisho Bila Upasuaji**

**Bawasili** ni hali ya kuvimba kwa mishipa midogo ya damu (vena) inayozunguka eneo la tundu la haja kubwa. Mishipa hii inapovimba, husababisha vimbe au vinyama kuota katika eneo hilo, na mara nyingine kupasuka na kutoa damu. Hali hii huweza kusababisha maumivu, usumbufu mkubwa na hata kuathiri maisha ya ndoa au afya ya akili.

---

# # # **AINA ZA BAWASILI**

1. **Bawasili ya Ndani** โ€“ Hutokea ndani ya tundu la haja kubwa.
2. **Bawasili ya Nje** โ€“ Huonekana k**a uvimbe au kinyama nje ya tundu la haja kubwa.

---

# # # **CHANZO CHA BAWASILI**

- Kukaa kwa muda mrefu bila kusimama (madereva, maofisini)

- Kutumia nguvu nyingi wakati wa kujifungua

- Kufanya ngono kinyume na maumbile

- Choo kigumu (constipation) mara kwa mara

- Kutumia vyoo vya kukaa bila kujisaidia kikamilifu

- Kunyanyua vitu vizito au kufanya mazoezi mazito

- Lishe duni isiyo na nyuzi nyuzi (fiber)

---

# # # **DALILI ZA BAWASILI**

- Kuwashwa mara kwa mara sehemu ya haja kubwa

- Maumivu makali wakati wa kujisaidia

- Kutoka damu wakati wa haja kubwa

- Kuota kinyama ndani au nje ya tundu la haja kubwa

- Kukosa hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kukaa vizuri, au kupungua nguvu za kiume

---

# # # **MADHARA YA BAWASILI**

- Upungufu wa damu kutokana na kutokwa na damu mara kwa mara

- Kudhoofika kwa mwili na kinga ya mwili

- Kukosa hamu ya tendo la ndoa au nguvu za kiume

- Kuathirika kisaikolojia (msongo, huzuni)

- Kupoteza uwezo wa kujizuia kujisaidia
- Hatari ya kupata saratani ya utumbo mpana

---

# # # **SULUHISHO SALAMA BILA UPASUAJI**
Watu wengi hupelekwa hospitali kwa ajili ya upasuaji wa bawasili, lakini ukweli ni kwamba ugonjwa huu mara nyingi hurudi tena hata baada ya upasuaji.

**Habari njema ni kwamba sasa kuna bidhaa asilia, salama na zenye nguvu ya kuondoa kabisa uvimbe wa bawasili bila haja ya upasuaji.** Bidhaa hizi husaidia:

- Kupunguza uvimbe kwa haraka
- Kuponya mishipa iliyopasuka
- Kupunguza maumivu na kuwashwa
- Kurudisha afya ya mfumo wa haja kubwa

-JE UNASUMBULIWA NA BAWASILI?**
Usikubali kuishi na maumivu au aibu. Wasiliana nasi 0684450076

MATIBABU YAKE:- Kwa Bahati nzuri msaada wa haraka kwa changamoto ya P.I.D upo umbali wa simu moja tu. Kwa dose ya P.I.D,...
16/08/2025

MATIBABU YAKE:-

Kwa Bahati nzuri msaada wa haraka kwa changamoto ya P.I.D upo umbali wa simu moja tu.

Kwa dose ya P.I.D, inaanzia 185,000/=, Dose kamili inatengemea ukubwa wa tatizo ilo Na Upo nalo kwa muda gani,

Nitumie Ujumbe whatsapp muda huu, kupata msaada wa haraka zaidi, ikiwemo Ushauri Na Tiba.

0684450076

Dr Thabiti

Fermicare Cleanser โ€“ nguvu ya asili kwa afya ya uke!Unasumbuliwa na:โŒ Fangasi sugu?โŒ Harufu mbaya ukeni?โŒ U.T.I zinazoru...
16/08/2025

Fermicare Cleanser โ€“ nguvu ya asili kwa afya ya uke!

Unasumbuliwa na:
โŒ Fangasi sugu?
โŒ Harufu mbaya ukeni?
โŒ U.T.I zinazorudi-rudia?
โŒ Maumivu ya tumbo la chini?
โŒ uchafu mzito unaonuka?
โŒ๏ธPID ukitumia na yuhnz.

โœ… Fermicare ndiyo suluhisho lako la haraka na salama!
โœ” Inasafisha, inatibu, na kulinda mfumo wa uzazi.
โœ” Salama kwa matumizi ya muda mrefu.
โœ” Matokeo huonekana ndani ya siku chache!

๐Ÿ’ฅ BEI YA OFA: TSh 61,800 tu!
๐Ÿ“ฆ Tunatuma popote ulipo โ€“ LIPA UKIWA UMEPOKEA!
โฐ OFA NI YA MUDA MFUPI โ€“ ikimalizika, imetoka! Nimetoa kopo 10 tu mikoa yote.

๐Ÿ“ฒ Agiza sasa kupitia DM / WhatsApp: 0684450076
๐Ÿ‘‡
Usikubali mwili wako uteseke โ€“ jipe tiba sahihi leo! ๐Ÿ’•

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU* ?๐Ÿ‘‡Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una fangasi ukeni k**a zifuatazo;1.Kuwa na miwas...
16/08/2025

UTAJUAJE K**A UNA FANGASI SUGU* ?๐Ÿ‘‡

Kuna dalili nyingi zinazoonyesha kuwa una fangasi ukeni k**a zifuatazo;

1.Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara

2.Vipele vidogo vidogo ukeni

3.Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya

4.Vidonda au kuwa na michubuko ukeni

5.Kutokwa na harufu mbaya ukeni

6.Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa au tumbo La chini

7.Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.

8.Kuwaka moto ndani na nje ya uke.

Je una dalili hizo? tuna tiba ZENYE UBORA kwa ajili ya Kukusaidia kutibu fangasi sugu na magonjwa Mengine Ya sehemu za siri
KWA MATIBABU NITAFUTE NIKUSAIDIE

0684450076

Moja ya madhara makubwa ya PID ni UGUMBA (infertility);Pelvic Inflammatory Disease (P.I.D)~Ni Maambukizi kwenye via vya ...
16/08/2025

Moja ya madhara makubwa ya PID ni
UGUMBA (infertility);

Pelvic Inflammatory Disease (P.I.D)~
Ni Maambukizi kwenye via vya Uzazi wa Mwanamke,

MADHARA MENGINE 7 YA P.I.D katika mfumo wa Uzazi ni:-

โœ”๏ธ Mimba kutugwa nje ya kizazi (Ectopic pregnancy).

~ Katika tatizo hili Tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi Yaani (ectopic pregnancy),

โœ”๏ธ Mimba kutoka (miscarriage ).

โœ”๏ธ Mirija ya uzazi kuziba.

โœ”๏ธ Kizazi kujaa maji maji.

โœ”๏ธ Husababisha uvimbe kwenye mayai (ovarian cyst).

โœ”๏ธ Hormonal imbalance.

โœ”๏ธ Saratani ya shingo ya kizazi
UTAJUAJE Una PID?

Hizi Hapa Dalili Kuu 10 Hatarishi za P.I.D:-

1๏ธโƒฃ Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa.

2๏ธโƒฃ Kuwashwa sehemu za siri.

3๏ธโƒฃ Uke kutoa harufu mbaya.

4๏ธโƒฃ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.

5๏ธโƒฃ Uke kuwa na ulaini sana.

6๏ธโƒฃ Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

7๏ธโƒฃ Kuvurugika Kwa hedhi.

8๏ธโƒฃ Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi.

9๏ธโƒฃ Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa.

๐Ÿ”Ÿ Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula.

MATIBABU YAKE:-

Kwa Bahati nzuri msaada wa haraka kwa changamoto ya P.I.D upo umbali wa simu moja tu.

Kwa dose ya P.I.D, inaanzia 185,000/=, Dose kamili inatengemea ukubwa wa tatizo ilo Na Upo nalo kwa muda gani,

Kumbuka dalili za PID hazitofautiani sana na dalili za magonjwa mengine kwasababu fangasi inaweza sababisha pid,uti inasababisha pid,utowaji ujauzito na njia za uzazi wa mpango na kushiriki ngono bila kinga hivyo bacteria wanapo ingia kwenye njia ya uzazi basi ndiyo PID yenyewe ilivyo

Nitumie Ujumbe whatsapp muda huu, kupata msaada wa haraka zaidi, ikiwemo Ushauri Na Tiba.

0684450076

Femicare Feminine Cleanser ni bidhaa ya usafi wa sehemu za siri kwa wanawake, inayotengenezwa na BF Suma.  Ina viambata ...
16/08/2025

Femicare Feminine Cleanser ni bidhaa ya usafi wa sehemu za siri kwa wanawake, inayotengenezwa na BF Suma. Ina viambata asilia k**a vile mafuta muhimu kutoka mimea, vitamini mbalimbali, na madini yanayosaidia kuboresha afya ya uke. Hapa kuna faida tatu kuu za kutumia Femicare:

1. Huondoa uchafu na harufu isiyo ya kawaida
Femicare husaidia kusafisha uke kwa kuondoa uchafu usio wa kawaida, harufu mbaya, na muwasho, hivyo kuweka sehemu ya siri safi na yenye harufu nzuri.

2. Huzuia na kupambana na maambukizi ya bakteria
Ina uwezo wa kuzuia ukuaji wa bakteria hatari, hivyo kusaidia kupunguza hatari ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTIs) na maambukizi mengine ya uke.

3. Hurejesha hali ya kawaida ya uke na kuongeza kinga
Kwa kutumia viambata vyake asilia, Femicare husaidia kurejesha hali ya kawaida ya uke kwa kuondoa ukavu na kuwasha, na pia kuimarisha kinga ya uke dhidi ya maambukizi.

31/07/2025

MWISHO WA PID NI KUACHA KUTOA MIMBA ๐Ÿ˜ญ.
Naandika huku ๐Ÿ˜ญ nalia maana najua ni ngumu et we unasemaje mpenzi msomaji

Ok any way acha niendelee na somo Aslimia 75% ya PID husababishwa na utoaji wa mimba abortion

Japo kuna Visababibishi vingine vya pid k**a

๐Ÿ“Œ1.Matumizi ya uzazi wa mpango ka mda mrefu
๐Ÿ“Œ2.mama alotoka kujiKujifungua anaweza pata maambukizo kwenye via vya uzazi
๐Ÿ“Œ3.Vipimo kwenye mlango wa uzazi
๐Ÿ“Œ4.Matumizi ya s*x toy
๐Ÿ“Œ5.Kujichua pia inapelekea infection maana vidole hubeba bacteria wengi sana
๐Ÿ“Œ6. Kuwa na historia ya U.T.I za mara ka mara

DALILI ZA PID
Dalili za PID zinatofautiana,zinaweza kuwa

๐ŸŒฑ1.Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au upande wa kulia
๐ŸŒฑ2.Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine una harufu isiyo ya kawaida
๐ŸŒฑ3.Kichefuchefu na kutapika
๐ŸŒฑ4.maumivu ya mgongo na nyonga
๐ŸŒฑ5.Maumivu wakati wa tendo la ndoa
๐ŸŒฑ6.Maumivu wakati wa kukojoa
๐ŸŒฑ7.Maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo

MAMBO YANAYOWEZA KUMUWEKA HATARINI MWANAMKE KUPATA PID

Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinamuweka mwanamke katika hatari ya
kupata PID ni k**a vifuatavyo

๐Ÿ“Œ1.Wanawake wenye magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana k**a kisonono na klaimidia wako hatarini sana kupata PID

๐Ÿ“Œ2.Wanawake ambao waliwahi kupata PID wako hatarini kupata tena

๐Ÿ“Œ3. Wasichana wadogo wapo hatarini kupata PID kuliko wazee.

๐Ÿ“Œ4.Wanawake wenye wapenzi wengi wako katika hatari ya kupata magonjwa ya zinaa na PID

Baadhi ya tafiti zinaeleza uoshaji wa uke unachangia kupata PID.
Kuosha uke( Douching) kunaweza pelekea kusukuma bakteria sehemu za juu za via vya uzazi na kuzuia kutoka kwa uchafu ambao mwanamke angeweza kutumia k**a ishara ya kwenda kuonana na wataalamu wa Afya mapema

MADHARA YA PID

Kutokea /kujirudia kwa PID kunaweza kusababisha
kutokea kuharibika mirija ya uzazi ambayo inaweza kupelekea
๐ŸŒฑ1.Ugumba
๐ŸŒฑ2.Mimba kutunga kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy)
๐ŸŒฑ3.Maumivu makali kwenye shingo ya kizazi
Kati ya wanawake nane (8) wanaougua PID mmoja(1) unakuwa mgumba

Whtsapp no: 0684450076, Thabith Personal Care

Femibiotics ni kirutubisho kinachosaidia kurekebisha usawa wa bakteria wazuri ukeni, kuboresha kinga ya mwili, na kulind...
12/06/2025

Femibiotics ni kirutubisho kinachosaidia kurekebisha usawa wa bakteria wazuri ukeni, kuboresha kinga ya mwili, na kulinda mfumo wa uzazi wa mwanamke.

โ–  Faida Kuu za Femibiotics:

1. Kurekebisha usawa wa bakteria: Husaidia kuongeza bakteria wazuri (probiotics) k**a Lactobacillus wanaolinda uke dhidi ya maambukizi.

2. Kupunguza maambukizi ya uke: K**a vile fangasi (Candida), bacterial vaginosis (BV), n.k.

3. Kuboresha kinga ya mwili: Inaimarisha uwezo wa mwili kujilinda dhidi ya vijidudu.

4. Kusaidia uzazi bora: Kwa kudhibiti mazingira ya uke kuwa bora kwa afya ya uzazi.

โ–  Mambo ya Kipekee kwenye Femibiotics:

โ—‹ Ina aina 7 za bakteria hai (probiotics).

โ—‹ Ina virutubisho vinavyolinda ukuta wa uke na mfumo wa uzazi.

โ—‹ Teknolojia ya "double-layer coating" huongeza ufanisi kwa kuhakikisha bakteria wanafika salama tumboni.

โ–  Inafaa kwa nani?

1. Wanawake wenye maambukizi ya uke ya mara kwa mara.

2. Wanawake wanaotumia au waliotumia antibayotiki.

3. Wanawake walioko kwenye hedhi au baada ya hedhi.

4. Wanawake wanaotafuta ujauzito au waliopo kwenye mchakato wa uzazi.

Tofauti na bidhaa nyingine (mf. FemiCare):

Femibiotics ni maalumu kwa urejeshaji wa usawa wa bakteria ukeni, wakati FemiCare inalenga zaidi usafi wa uke na kupunguza harufu mbaya.

0684450076

๐Ÿšซ UK'E WAKO MKAVU?Hii Ndio Sababu Unakosa Raha Ya Tendo, Na Uzazi Wako Unazidi Kuumia Kimyakimya ๐Ÿ˜ฐDada, ute ute ni kinga...
12/06/2025

๐Ÿšซ UK'E WAKO MKAVU?
Hii Ndio Sababu Unakosa Raha Ya Tendo, Na Uzazi Wako Unazidi Kuumia Kimyakimya ๐Ÿ˜ฐ

Dada, ute ute ni kinga yako ya kwanza kwenye uke.
Ukikauka = hamu Ya Tendo hupotea, Maumivu Makali Wakati Wa Tendo,
.. na Hali Hii Inaweza Kuashiria maambukizi au shida za uzazi k**a Kuvurungika Kwa Homoni Zako, P.I.D, fangasi, au uvimbe.

๐Ÿ‘‡๐Ÿพ FANYA Haya SASA โ€“ Uanze kuurudisha ute wa asili:

Tumia Juice/ Chai Hizi Ukiwa Nyumbani kwako๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

1. ๐Ÿซ– Chai ya tangawizi + mdalasini + asali

2. ๐Ÿ‰ Tikitimaji + karafuu

3. ๐Ÿ Nanasi + bamia

๐Ÿ’ฅ Lakini kumbuka: Hakuna ute k**a una stress, una fangasi au unakula ovyo!

๐Ÿƒ Kula mboga, parachichi ๐Ÿฅ‘, nafaka zisizokobolewa
๐Ÿšซ Achana na soda, chipsi, na sukari nyingi

โ— K**a tayari unashindwa kupata ute, una PID au homoni zimevurugikaโ€ฆ
UzaziRestore women kit ndio tiba yako ya dharura!

Utaipata kwa 185,000 ama anza na femicare 65,000
๐Ÿ“ฉ COMMENT Neno "UTE" upate tiba zetu

Usisubiri hadi uke wako uanze kukataa kila kitu โ€“ chukua hatua sasa! ๐Ÿ’”

โ€” Dr. Thabiti
๐Ÿ‘จ๐Ÿพโ€โš•๏ธ Mtaalam wa Uzazi wa Asili

0684450076

๐Ÿ›‘ Unashindwa Kubeba Mimba kwa Sababu Moja Tu: Unategemea Calendar!Dada yangu, hebu niambie ukweli...Kila mwezi unahesabu...
03/06/2025

๐Ÿ›‘ Unashindwa Kubeba Mimba kwa Sababu Moja Tu: Unategemea Calendar!

Dada yangu, hebu niambie ukweli...
Kila mwezi unahesabu siku zako kwa calendar na kuomba muujiza utokee? ๐Ÿ˜”

Halafu kila mwezi unaona hedhi inarudi?
Unajisikia kuchanganyikiwa? Kila mtu anakwambia โ€œsubiri tuโ€?

Let me be real with you...
Calendar peke yake haiwezi kukuonyesha siku zako za mimba kwa uhakika.
Ndiyo maana wengi mnaendelea kungojea kwa miezi โ€” hata miaka!

๐ŸŽฏ Ukweli ni huu:
Ovulation (siku ya yai kutoka) haifanyiki siku ileile kila mwezi.
Stress, lishe, usingizi, homoni, hata baridi โ€” vyote vinaweza kuchelewesha au kuharakisha yai kutoka.

Na ukikosea tu siku 1, unaweza kupoteza nafasi pekee ya mwezi huo kubeba mimba ๐Ÿ˜”

๐Ÿง  Kwa mzunguko wa kawaida wa siku 28:
Yai hutoka siku ya 14 kabla ya hedhi ijayo.
Lakini siku za hatari ni kati ya siku ya 11 hadi 17.

Kwa nini?
๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Yai linaishi masaa 12 hadi 24 tu
๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Mbegu za mwanaume zinaweza kuishi hadi siku 3 ndani ya mwili
Kwa hiyo mbegu ikishuka mapema na yai likatoka baadae = MIMBA!

๐Ÿฉบ DALILI UNAZOZIONA UKIWA KWENYE OVULATION:

๐Ÿ’ง Ute mweupe unateleza k**a yai
๐Ÿ”ฅ Mwili kuwa na joto ghafla
๐Ÿ’ฅ Maumivu chini ya tumbo au kiunoni
๐Ÿ’‹ Hamu ya mapenzi kuongezeka
๐Ÿ’ข Maziwa kuuma ukigusa

Dada, hizi dalili siyo za kupuuza.
Ni mwili wako unaopiga kelele: "Muda wa mimba ndo huu!"

๐Ÿšจ Lakini ukitegemea calendar tu bila kuelewa mwili wako...
Unaweza kuwa unajizuia kupata mtoto bila kujua ๐Ÿ’”

๐ŸŽฏ Sasa nifanyie hivi:

๐Ÿ“ฒ Nitumie ujumbe nikupangie ovulation yako binafsi kwa usahihi kabisa

Tumia nafasi hii kuelewa mwili wako na kuongeza nafasi ya kushika mimba โ€” bila kuumizwa tena na matarajio yasiyotimia ๐Ÿ™๐Ÿพ

0684450076

03/06/2025

Tunaita Kangaroo Care au kwa Kiswahili, kumuweka mtoto kifuani kwa mama (ngozi kwa ngozi) mara tu baada ya kuzaliwa.

WHO na watafiti wanasema โ€” hii sio kwa watoto njiti tu tena!
Kila mtoto anayezaliwa anatakiwa awekewe kifuani kwa mama dakika ya kwanza kabisa Baada Ya Kuzaliwa...

Kwa nini ni muhimu sana?

๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

โค๏ธ Humsaidia mtoto apate joto linalofanana na lile la tumboni โ€” hana baridi

๐Ÿ˜ท Humkinga na magonjwa ya haraka k**a homa na maambukizi

๐Ÿ’“ Hurekebisha mapigo ya moyo na kupumua vizuri

๐Ÿง˜๐Ÿพโ€โ™€๏ธ Hupunguza stress kwa mama โ€” anapata amani

๐Ÿ›ก๏ธ Mtoto anajisikia salama, analala vizuri

๐Ÿผ Husaidia mtoto kuanza kunyonya haraka

๐Ÿ’ž Hujenga ukaribu wa kipekee kati ya mama na mtoto

Na k**a mama huna nguvu, baba au mtu wa karibu kabisa anaweza pia kufanya Kangaroo Care โ€” mtoto apate faida zilezile.

Mama, hii ni dakika moja tu... Lakini inaweza kuamua afya ya maisha yote ya mwanao.

Usingoje ushauri hospitalini โ€” jiandae sasa.
Jua unachotakiwa kufanya mara tu unapojifungua.

๐Ÿง  Ungependa nikufundishe hatua 5 muhimu za kufanya hii Kangaroo Care kwa usahihi?

๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Comment โ€œNatakaโ€ au niandikie DM sasa hivi.

Usiache mtoto wako apoteze faida hii kwa sababu ya kutokujua.
Mimi ni Dkt Thabith Personal Care โ€” niko hapa kukusaidia, kila hatua ya safari yako ya uzazi. ๐Ÿค

K**a Umejifunza Kitu Usiache KuSave na Kushare na Mtu Mmoja Unayemjali Post Hii โ™ฅ๏ธ

Address

Mliman City
Arusha
4040

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thabith Personal Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram