30/11/2021
afya_leo2 _
-0714495668
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – Chanzo, Dalili na tiba
UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.
Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwaga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;
Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Kisukari
Kuwa na mawazo na wasiwasi
Matumizi ya madawa mbalimbali
Umri hasa wazee
Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
Kuwa na tatizo la kibofu
Tabia za kujichua kwa mda mrefu
Kutopata usingizi kamili
Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa .Nazo ni
Kuwahi kufika kileleni
Kukosa hamu ya mapenzi
Kushindwa kurudia tendo la ndoa
Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine
Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
Balansi usito wako
Usivute sigara
Punguza au acha kunywa pombe
Punguza mawazo
Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi
Kunywa maji ya kutosha
TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda mrefu kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.
🔥Tuna dawa ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendekea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.
MAWASILIANO
0714495668
KARIBUNI SANA