01/01/2023
UHUSIANO KATI YA NGUVU ZA KIUME NA UZITO MKUBWA /ULIOPITILIZA.⤵️
🔘Hamna siri namna ambavyo wanaume wanaingia gharama za ziada kutokana Na unene/uzito uliozidi, ambao umeibeba furaha ya ndoa, yaani urijali wa wanaume.
Kutokana Na tafiti mbalimbali za afya ya uzazi, Uzito/Unene uliozidi unahusishwa na athari Zifuatavyo;
1)Uzalishaji mdogo wa Homoni za kiume (Testosterone).
Homoni hii ndio hukontroo uwepo wa sauti ya bezi, misuli (muscles), ukuaji wa sehemu ya kiume na afya ya moyo. Hivyo, kwa asili ya mwanadamu, upungufu wa homoni ya kiume huathiri tendo la ndoa kisaikolojia na kimwili.
2) Uwezo mdogo wa ogani ya kiume (uume) kusimama.
Hapa tafiti zinaonesha, mtu mnene hata akipewa homoni ya testosterone ya kutosha bado tatizo hili huwepo.
🔘Kwa sababu, mafuta yaliyo kwenye kitambi ndio haswa yanayohusishwa na tatizo la kusimama kwa sehemu ya kiume. Kushindwa kusimama kwa uume, hupelekea kupoteza hamu na tendo la ndoa, Na kumfanya mwanaume kuwa busy na mambo mengine.
3) Uzalishaji mdogo wa mbegu zenye afya.
-nyama katikati ya mapaja, hufanya korodani ziwe kwenye joto kubwa zaidi ya 35C ambalo sio salama kwa Uzalishaji wa mbegu. Na hii ndio sababu ya korodani kutokuwepo ndani mwili wa binadamu ambao joto lake ni 37C. Hivyo huning'inia nje, kupata joto sahihi, chini ya 35C ambalo ndio linatakiwa ktk utengenezaji wa mbegu zenye afya.
Hatari ya uchache wa mbegu na uwezo mdogo wa kuogelea wa mbegu hufanya tendo la ndoa lisiwe fanisi, yaani kushindwa kutungwa kwa mimba.
4) Tezi dume (Prostate cancer)
Katika umri wa uzeeni, tafiti zinaonesha wanaume wanene zaidi ya inchi 40 kiunoni, wameonesha kuwa kwenye hatari zaidi ya kupata tezi dume, Na kansa yake.
Kiuhalisia, kupunguza uzito ni jambo jema zaidi kwa wanaume ili kuepuka gharama kubwa zaidi ya pesa. Namaanisha kuvunjika kwa ndoa au uaminifu (chepuka) Na dharau katika ndoa. Tuna product ambayo ipo kwa ajili ya kukusaidia kupungua uzito.
TIBA NA USHAURI : sasa waweza kuwasiliana nasi kupitia
WhatsApp +255 744 732 651
Call & Messages +255789102728