Paraprofessional Animal Health Service

Paraprofessional Animal Health Service providing animal health and production serveices to minimize livestock cost and increase profit at reciprocated rates.

A deal made by the highest bidder is on charts...
26/03/2024

A deal made by the highest bidder is on charts...

08/02/2023
Hatukuishia hapo, huduma nyingi nyingine tunatoa ikiwemo, ushauri wa kitaalam ilikuongeza tija katika ufugaji.0743407404...
09/09/2021

Hatukuishia hapo, huduma nyingi nyingine tunatoa ikiwemo, ushauri wa kitaalam ilikuongeza tija katika ufugaji.

0743407404
0716164979

Za leo?Poleni na majukumu ya kila siku.Ninawakumbusha kuwa tunatoa huduma za mifugo on call. Unatupigia simu tunakufikia...
09/09/2021

Za leo?
Poleni na majukumu ya kila siku.
Ninawakumbusha kuwa tunatoa huduma za mifugo on call. Unatupigia simu tunakufikia popote ulipo Dar es salaam.

Huduma za uhimilishaji.
Chanjo za poultry.
Kuchunguza na kutibu magonjwa ya mifugo.
Na kwa wale watakao hitaji huduma za kuhasi mbwa na paka pia tuna refer at a clinic level.

Namba ni...
0743407404
0716164979

11/04/2019

Tunatoa chanjo za aina yote tukianzia kwa ng'ombe hadi kwa kuku, tunafanya upasuaji na utoaji vizazi kwa mbwa na paka, tunatoa huduma za uhimilishaji kwa ng'ombe sambamba na huduma zote za afya na lishe kwa ng'ombe wa maziwa, pia ushauri juu ya ufugaji wenye tija, na huduma nyingine nyingi zihusishazo afya na uzalishaji mifugo.

10/01/2019

Reminder...
All livestock keepers should do direct, close, and frequent surveillance of their farm animals. This will enhance to a prompt diseases diagnosis in case of animal health but also justifing accurate levels of production in case of production.

Ukumbusho...
Wafugaji wote mnatakiwa kufanya ukaguzi wa moja kwa moja, karibu na mara kwa mara kwa wanyama mfugao. Hii itaongeza uharaka wa utambuzi wa magonjwa iwapo katika maada ya afya ya wanyama mfugao lakini pia kuhalalisha usahihi wa viwango vya uzalishaji iwapo katika maada ya uzalishaji wa mifugo.

All this to bring about productivity in the field of livestock keeping.
Yote hii ilikuleta ufugaji wenye tija katika uwanja wa ufugaji.

Address

Hameedallyamour@gmail. Com
Arusha
464700392013

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paraprofessional Animal Health Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram