Dr.habelnoah

Dr.habelnoah unaswali changamoto uliza jambo jema katika maisha ni kuuliza ili kujifunza

29/12/2025

Faida za parachichi katika kuzuia uotaji wa vipele kwenye ndevu

Wanaume wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele mara tu baada ya kunyoa ndevu zao.

Mbaya zaidi asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakishindwa kujua nini cha kufanya ili kuondoa tatizo hilo ambalo pia huharibu muonekanano wa mhusika.

Hapa napenda kukueleza kuwa tunda la parachichi nalo huweza kuondoa tatizo hilo au kupunguza madhara kwa mtu mwenye shida hiyo.

Jambo la kufanya ni kupata tunda hili fresh kisha limenye na baadaye kulisaga halafu utalitumia mara tu baada ya kunyoa ndevu zako kwa kupaka rojorojo hilo la parachichi sehemu zote za kidevu yaani hii unaweza kuiita 'after shave ya asili'.

Tunda hili la parachichi linauwezo wa kuondoa tatizo hilikutokana na kuwa mafuta mazuri kwa ngozi ambayo pia husaidia kufanya ngozi kuteleza na kuwa laini na yenye afya.

BY DR.HABELNOAH
MESIC HOSPITAL
ARUSHA

Faida za parachichi katika kuzuia uotaji wa vipele kwenye ndevuWanaume wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kutokwa...
29/12/2025

Faida za parachichi katika kuzuia uotaji wa vipele kwenye ndevu

Wanaume wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele mara tu baada ya kunyoa ndevu zao.

Mbaya zaidi asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakishindwa kujua nini cha kufanya ili kuondoa tatizo hilo ambalo pia huharibu muonekanano wa mhusika.

Hapa napenda kukueleza kuwa tunda la parachichi nalo huweza kuondoa tatizo hilo au kupunguza madhara kwa mtu mwenye shida hiyo.

Jambo la kufanya ni kupata tunda hili fresh kisha limenye na baadaye kulisaga halafu utalitumia mara tu baada ya kunyoa ndevu zako kwa kupaka rojorojo hilo la parachichi sehemu zote za kidevu yaani hii unaweza kuiita 'after shave ya asili'.

Tunda hili la parachichi linauwezo wa kuondoa tatizo hilikutokana na kuwa mafuta mazuri kwa ngozi ambayo pia husaidia kufanya ngozi kuteleza na kuwa laini na yenye afya.

BY DR.HABELNOAH
MESIC HOSPITAL
ARUSHA

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
21/11/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

21/11/2025

GOOD MORNING

Sema asante Mungu
21/11/2025

Sema asante Mungu

20/11/2025

Sijui nani kawatuma sijajua ni nani aliyewatuma kusambaza uongo ili mjinufaishe lakini hata ndumba za waganga mnazotumia haziwezi fanya kazi kwa Mungu wa kweli

20/11/2025

Sijui nani kawatuma sijajua ni nani aliyewatuma kusambaza uongo ili mjinufaishe lakini hata ndumba za waganga mnazotumia haziwezi fanya kazi kwa Mungu wa kweli πŸ™

19/11/2025

Nitatoa sadaka na nitafanya mfungo wa siku 3 k**a unajua unahusika na kuharibu kazi Mungu atakulaani yeye atajua adhabu gani atakupa nitakua shahidi wa anguko lako haya maneno hayatapita bure Amini nawambieni

19/11/2025

Watu tuwe busy tunahudumia watu wenye matatizo halafu kuna wengine wanakaa kuongea uongo kuniharibia kazi sijawahi kujua watanzania wana roho
Mbaya kiasi hicho

19/11/2025

πŸ©ΌπŸ©ΌπŸ©ΌπŸ¦ πŸ©ΊπŸ“–πŸ–ŒοΈ

πŸ©ΌπŸ©ΌπŸ©ΌπŸ¦ πŸ©ΊπŸ“–πŸ–ŒοΈ
19/11/2025

πŸ©ΌπŸ©ΌπŸ©ΌπŸ¦ πŸ©ΊπŸ“–πŸ–ŒοΈ

Watoto wa elfu 2000 hawawezi kutuelewa
18/11/2025

Watoto wa elfu 2000 hawawezi kutuelewa

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.habelnoah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category