subira -afya-products

  • Home
  • subira -afya-products

subira -afya-products mimi nasaidi wanawake waliopo kwenye ndoa wenye changamoto ya uzazi kushika ujauzito bila kutumia muda mrefu.

UTI ni hatari sana yaani inaweza kukupelekea hata ukawa mgumba... imagine huyu hapati ujauzito kwa sababu tu ya UTi
08/04/2025

UTI ni hatari sana yaani inaweza kukupelekea hata ukawa mgumba... imagine huyu hapati ujauzito kwa sababu tu ya UTi

DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada...
25/09/2024

DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada ya muda huona *madhara makubwa* yanayogharimu afya zao za uzazi.

Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo *hupaswi kuzipuuza* pale zinapokutokea.👇

1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,

2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,

3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,

4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,

5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,

6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

8. Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,

9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,

10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
bila kukata zaidi ya siku 7 na
kuendelea,

11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,

13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,

14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,

15. Uke kuwaka Moto.

*USHAURI NA TIBA*
*K**a unapata baadhi ya dalili tajwa usisite kuwasiliana nani kwa tiba na ushauri wasiliana nasi:0757411779

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when subira -afya-products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram