10/11/2025
Usingizi kwa watoto wenye usonji/autism ni changamoto kubwa sana moja ya mbinu ambayo unaweza kumsaidia mtoto ni pamoja na
hakikisha kila siku jioni unapata muda angalau lisaa limoja toka na mtoto mkafanye mazoezi ya kukimbia na kutembea itamsaidia sana kupata utulivu.
neuro-rehab care
/usonji