Ramson Health Care

Ramson Health Care Tunatoa Huduma Za Kitaalamu Za Vipimo Na Matibabu Ya Magonjwa Sugu Pamoja Changamoto Za Afya Ya Uzazi Kwa Wanawake Na Wanaume.

Pia Tunafanya Massage Kwa Wenye Changamoto Ya Maumivu Ya Viungo.

BAWASIRI TIBA BILA YA UPASUAJI.  BAWASIRI/HEMORRHOIDSBawasiri ni Uvimbe Wa Mishipa Iliyondani Ya Karibu Na Sehemu Ya Kut...
01/09/2025

BAWASIRI TIBA BILA YA UPASUAJI.

BAWASIRI/HEMORRHOIDS

Bawasiri ni Uvimbe Wa Mishipa Iliyondani Ya Karibu Na Sehemu Ya Kutokea Haja Kubwa Au Kwenye Puru Ya Chini, (Puru Maana Yake Kikundu). Bawasiri Huathiri Mfumo Wa Mmeng'enyo Wa Chakula Hasa Utumbo Mpana.

DALILI ZA BAWASIRI
1.Kupata Muwasho Katika Eneo La Juu La Haja Kubwa.

2.Kujitokeza Kwa Kinyama/Uvimbe Eneo La Haja Kubwa.

3.Kupata Maumivu Makali Wakati Wa Kujisaidia.

4.Kupata Choo Chenye Damu.

5.Kupata Maumivu Ya Tumbo Au Kiuno Hasa Bawasiri Inapofika Hatua Mbaya.

MADHARA YA BAWASIRI
1.Upungufu Wa Damu Mwilini.

2.Kutokwa Na Kinyesi Bila Kujitambua.

3.Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo la Ndoa.

4.Kupungukiwa Nguvu Za Kiume.

5.Kupata Kansa Ya Utumbo Mpana (Colorectal Cancer).

Habari Njema...

Tunalo Suluhisho La Kudumu La Tatizo La Bawasiri Bila Ya Kufanya UPASUAJI Na Utarudi Kwenye Hali Yako Ya Kawaida.
-
Ili Kupata Suluhisho La Changamoto Yako Fika Clinic Yetu 👇
-

GCAT HEALTH CARE INTERNATIONAL CLINIC KUTOKA CHINA.
-
✔️Kumuona Daktari Ni BURE.
✔️ Ushauri Wa Kitaalamu Ni BURE.
✔️ Vipimo Ni Tsh30,000/= Tu
✔️Hakuna Foleni Wahi Sasa.
✔️Tiba Ya Msingi Ni Kwa Tibalishe Au Dawa Asili Na Huzingatia Chanzo Cha Tatizo.
-
Kwa Maelezo Zaidi
Tupigie Au WhatsApp
☎️+255682139879
📍Dar es Salaam, Tanzania
-
Muhimu 👉 Usitumie Dawa Bila ya Kufanya Vipimo.
-
NB; Tangazo Hili Halitakuwa Online Mda Wote Chukua Hatua Mapema Kabla Halijaondolewa.
-
Tafadhali Bonyeza Link>>> https://wa.me/255682139879 Au Bonyeza Neno WhatsApp Hapo Chini Kuja Kuweka Appointment (Miadi) Sasahivi.

22/07/2025

>>[Umekuwa Ukiteseka Na Magonjwa Sugu Na Changamoto Za Afya Ya Uzazi Kwa Muda Mrefu ?
-
[Soma Hii Kwa Makini]
-
Tunakuretea OFA Ya Vipimo Vya Kisasa Kwa Mwili Mzima(Full Body Checkup) Pamoja Na Ushauri Kutoka Kwa Madaktari Bingwa.
-
Huduma Zetu Ni Za Daraja La Kwanza(First Class) Na Zinajumuisha Uchunguzi Kamili Wa Afya Zetu.
-
✔️Kumuona Daktari Ni BURE.
✔️Ushauri Wa Kitaalamu Ni BURE.
✔️VIpimo Ni Tsh30,000/=Tu.
✔️Hakuna Foleni Wahi Sasa!
✔️Tiba Ya Msingi Ni Kwa Tibalishe Au Dawa Asili Na Huzingatia Zaidi Chanzo Cha Tatizo.
-
Huduma Zetu Ni Za Uchunguzi Na Matibabu Kamili Ya Changamoto Zifuatazo...
✅ Sumu Mwilini. ✅Bawasiri, Macho Na Meno.
✅ Presha. ✅Nguvu Za Kiume, Ngiri.
✅ Kansa. ✅Mifupa na Viungo ,Ngozi.
✅ Kisukari. ✅Vidonda Vya Tumbo, Typhoid
✅Stroku. ✅Miguu Kufa Ganzi.
✅Allegy, Pumu. ✅Moyo, Figo Na Ini.
✅ Tezi Dume. ✅Kinga Mwili CD4
✅Kupunguza Unene, Uzito Na Matumbo.
✅P.I.D, U.T.I, Fungus Sugu, Uvimbe, Ukavu Ukeni, Mimba Kutoka, Kutokwa Na Uchafu Ukeni, Mirija Ya Uzazi, Hamu Ya Tendo, Kutoshika Mimba Hormones Imbalance N.k
-
Kwa Maelezo Zaidi.
Tupigie Au WhatsApp
☎️+255682139879
📍Dar es salaam, Tanzania.
-
Tafadhali Bonyeza Link>>> https://wa.me/255682139879 Au Bonyeza Neno WhatsApp Hapo Chini Kuweka Appointment (Miadi) Sasahivi.

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

0682139879

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramson Health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram