Mifugocare

Mifugocare MATIBABU, CHANJO NA UZALISHAJI WA NG'OMBE KWA NJIA YA CHUPA(Artificial insermination)
No: 0745164738

Artificial insermination
29/11/2024

Artificial insermination

MAMBO MUHIMU KUHUSU UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA Ng'ombe wa maziwa ni ng'ombe wanafungwa maalumu kwajili kuzalisha maziw...
14/12/2022

MAMBO MUHIMU KUHUSU UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA

Ng'ombe wa maziwa ni ng'ombe wanafungwa maalumu kwajili kuzalisha maziwa na wanauwezo wa kutoa maziwa kuliko ng'ombe wengine.

Ng'ombe huwa anashika mimba baada miezi 12 ila muda sashihi wa kupandisha ni miezi 18- 24 na jamii ya ng'ombe , chakula pamoja na mazingira.

Ng'ombe huwa anaingia joto mara moja kwa mwezi (Kila baada ya siku 18 hadi 21)

Mkulima anatakiwa kufahamu ishara/dalili zote za ng'ombe mwenye JOTO.

Ng'ombe anatakiwa kupandishwa masaa 12 baada ya kuonesha dalili za joto.

K**a Ng'ombe atashika mimba hatarudi kwenye joto baada ya siku 21, hivyo unakuwa matumaini kuwa ng'ombe wako ana mimba.

Ukaguzi wa mimba unafanyike miezi mitatu tangu siku aliyopandishwa.

Kipindi cha ujauzito kwa ng'ombe ni siku 275-285.

Ng'ombe huingia joto tena baada ya kuzaa ni siku 30-55, na anatakiwa kupandishwa tena baada ya siku 60 tangu kuzaa.

Ng'ombe anapo zaa anatakiwa kukamuliwa kwa miezi 10 (sawa na siku 305).

Ng'ombe anaekamululiwa na ana mimba, unatakiwa kuacha kumkamua huyo ng'ombe pale tu mimba yake inapofika miezi 7.

Muda mzuri wa kumwachisha ndama kunyonya ni miezi 2-4.

Instagram: mifugocare

Simu:
+255 745164738

Email:
bernardtito2@gmail.com

13/12/2022

Address

Dar_es_salaam

Telephone

+255755250634

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mifugocare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mifugocare:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram