08/06/2022
TANGAZO LA KAZI(BIASHARA)
Vijana wengi wanajitambua na wanahitaji kazi Lakini wamekosa muongozo sahihi wa Maarifa ya kiutendaji yanayoendana na teknolojia ya kisasa katika kufanyia kazi zao.
Wanahitajika vijana watano wenye Elimu kuanzia kidato cha Sita na hadi Chuo. Utafundishwa bure coarse fupi ya mwezi mmoja namna ya kufanya mauzo kwa njia ya Kidigitali kupitia internet ya smartphone yako. Kisha utaunganishwa moja kwa moja kwenye kazi ,kibiashara zaidi.
K**a unajitambua na upo sirias
Tuma ujumbe neno FURSA YA BIASHARA kwenda whatsapp namba +255748667520 au Piga Simu usaidiwe.