04/10/2024
FAHAMU UGONJWA WA STROKE AU KIHARUSI
Stroke (Kiharusi) ni tatizo linalotokea ghafla kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu kwenye eneo fulani la ubongo husitishwa ghafla au kupungua na hivyo kusababisha eneo hilo la ubongo kukosa damu na virutubisho muhimu na seli za eneo hilo kuanza kufa
Tatizo hili pia linaweza kutokea pale mishipa ya damu ya kuelekea kwenye ubongo kuziba au mishipa ndani ya ubongo kupasuka. Seli za ubongo zikianza kufa kwa kukosa damu na shughuli zote zinazoendeshwa katika ubongo kusimama, mfano kumbukumbu na utashi
Lakini kiharusi pia ni ile hali ya kiungo kupoteza utendaji kazi wake kwa sababu ya neva za fahamu kuathiriwa. Hizi ni dalili chache za kiharusi au stroke nazo ni
1. Kuchanganyikiwa
2. Mtu kupata shida ya kuongea na kuelewa anachoambiwa
3. Maumivu ya kichwa na kupoteza fahamu
4. Ganzi katika viungo vya uso, mikono na miguu na hasa vikiwa vya upande mmoja wa mwili
5. Kupata shida ya kuona kwa jicho moja au yote
6. Kupata shida ya kutembea, kizunguzungu, kupepesuka mwili
SABABU ZA HATARI ZINAZOWEZA KUPELEKEA STROKE (KIHARUSI)
1. Umri. Mtu anapozeeka hatari ya kupata kiharusi huongezeka zaidi
2. Jinsia. Wanawake wako katika hatari kubwa ya kuwa na kiharusi tofauti na wanaume
3. Kiharusi kilichopita ikiwa tayari mtu amepata kiharusi, hatari ya kupata tena kiharusi kingine ni kubwa
4. Historia ya familia. Ikiwa mtu katika familia kuna historia ya watu kupata stroke basi hatari ya kupata kiharusi ni kubwa
5. Uvutaji sigara, madawa ya kulevya na vilevi
6. Shinikizo la damu au kuganda kwa damu
7. Cholesterol nyingi
8. Ugonjwa wa moyo
9. Unene kupita kiasi
10. Ugonjwa wa kisukari
MADHARA YA STROKE
Stroke (Kiharushi) inapokua sugu dalili zake hugeuka kuwa maradhi, mfano kupata ulemavu, kupooza kabisa, kupoteza kumbukumbu na utashi
SULUHISHO
Bidhaa za stemcell ni suluhisho kwa ugonjwa wa Stroke (Kiharushi) maana zina uwezo wa kuzalisha seli mpya katika mwili na kuondoa seli mfu na hivyo kurekebisha mfumo wote wa ubongo, Neva na mifupa iliyoathiriwa
Maelezo zaidi au ushauri tafadhali wasiliana nasi namba 0748103769