06/05/2022
Je wewe ni bibi harusi mtarajiwa mwenye hamu ya kupunguwa uzito?
K**a jibu ni ndio ningependa kuongea na wewe.
Kwa jina naitwa Jane Mlay,
Ninawasaidia mabibi harusi watarajiwa (brides to be) kupunguza uzito na kujenga shape nzuri ya miili yao kabla ya harusi.
Nataka kuandaa darasa la bure kwaajili yako la namna ya kuweza kupunguza uzito haraka ili uweze kujenga shape nzuri ili gauni yako ya harusi ikufit vizuri siku ya harusi yako.
K**a upo na nia hiyo (interested) naomba ucomment namba yako ya simu ya watsapp hapa chini au nitumie ujumbe wa watsapp kwenda namba +255657461124
Kisha nitawasiliana na wewe kwa kukupigia simu ili kuelewa vizuri kuhusiana na changamoto uliyokuwa nayo ili niweze kukuandalia darasa bure kabisa katika group la watsapp
Ni mimi mwenye kujali afya yako
Jane Mlay
Mkurugenzi GetFit With Jane