Afya Health consultant
food supplements specialists

FAIDA ZA KUTUMIA DETOXILIVE01. MZUNGUKO WA DAMU(KISUKARI,PRESSURE & CHOLESTEROL)✓ Detoxilive Huboresha mzunguko wa Damu ...
28/02/2023

FAIDA ZA KUTUMIA DETOXILIVE

01. MZUNGUKO WA DAMU
(KISUKARI,PRESSURE & CHOLESTEROL)

✓ Detoxilive Huboresha mzunguko wa Damu mwilini, kuzibua mishipa midogo midogo ya Damu na hivyo kusaidia matibabu ya magonjwa ya Pressure na dalili Zake.
✓Husaidia kuzuia unyonywaji na kuongeza uyeyushwaji wa Mafuta, kupunguza glucose mwilini hivyo kusaidia matibabu ya Kisukari na cholesterol.
✓HUTIBU DALILI K**A
Ganzi, Maumivu ya Viungo, Kizunguzungu, Uchovu wa Mwili, Maungio kukak**aa nk.

02. MISHIPA YA FAHAMU (KUSAHAU, KUPOTEZA KUMBUKUMBU,MATATIZO YA MACHO)

✓Detoxilive huboresha utendaji kazi wa mishipa ya Fahamu, na usafirishwaji wa taarifa hivyo kutibu Tatizo la kusahau na Kupoteza kumbukumbu
✓Huboresha mishipa ya macho, Kuondoa ukungu machoni na kutibu Matatizo ya uoni (Kutokuona na Maumivu ya macho)
✓Hutibu Matatizo ya kichwa kuuma Mara kwa Mara.

03. SARATANI
✓Husaidia kuzuia na kutumika kwenye matibabu ya Saratani haswa ya Tezi Dume na Saratani ya Matiti.

04. UZAZI (MENOPAUSE NA NGUVU ZA KIUME)
✓Huboresha Nguvu za kiume na pia kusaidia Kuondoa Matatizo Wakati wa ukomo wa hedhi kwa wanawake (MENOPAUSE)

05. NGOZI NA NYWELE
✓Huboresha muonekano mzuri wa ngozi, Kuondoa free radicals

06. KUSAFISHA SUMU NA KULILINDA INI.

Dalili za Sumu Nyingi

✓Haja ndogo yenye Rangi (Mkojo wa Njano/kaawia)
✓Ngozi Kuharibika (kupauka na kukak**aa)
✓Kupoteza Hamu ya Kula/ kula kupindukia
✓Ganzi na mwili kuwaka moto.
✓Utokwaji wa Jasho usio wa Kawaida
✓Mwili kutoa Harufu
✓Mvurugiko wa Hedhi Wa Mara kwa Mara
✓Matatizo kwenye Mmeng'enyo wa Chakula
✓Kuugua Mara kwa Mara Haswa magonjwa ya Maambukizi (Infections)
✓Ukavu wa Macho
✓Uchovu Mwingi na Kushindwa kupumzika
✓Kuwa na Hasira Mara kwa Mara
NK

MUHIMU SANA KWA:
Mtu Yoyote Anayepata Dalili Tajwa 👆

WANAOSAFIRI MARA KWA MARA TUMIA BIDHAA HII NI MUHIMU SANA.

NOTE:ZIPO CHACHE.

DAR FREE DELIVERY NA
MIKOANI TUNATUMA.
USHAURI NA TIBA CALL/WHATSAPP 0756 846403 NOW.

IJUE FEMICARE NA MATUMIZI YAKEFemiCare – Feminine CleanserDawa maalum Kwa MwanamkeMWANAMKE:Katika maisha yake hupitia vi...
24/08/2022

IJUE FEMICARE NA MATUMIZI YAKE

FemiCare – Feminine Cleanser
Dawa maalum Kwa Mwanamke

MWANAMKE:
Katika maisha yake hupitia vipindi vikuu vitano (5) ambavyo Jamii nay eye binafsi ni muhimu kuwa makini sana.
1. Kuvunja Ungo
2. Tendo la Ndoa
3. Mimba
4. Uzazi
5. Kukoma kwa Hedhi

Hakika takribani katika hatua zote Mwanamke hutokwa na uchafu na damu, hii husababisha matatizo makubwa akipunguza umakini.
-Japo kuna sababu ambazo anaweza Kujitibu au kujikinga k**a, Vyoo vya Jumuiya, Nguo za ndani, Nguo za kubana sana, Kukaa sehemu moja muda mrefu, Tendo la Ndoa, na Uzazi wa Mpango.
: -Lakini Je, Inawezekana.?........... Ndio/ Hapana………………. Usijali kuna suruhisho hapa..!!

FEMI CARE:
UhuishaSeli kwa madini kutoka maliasili pamoja na OKO-HITECH baharini kwa kutumia mbinu za uchimbaji wa kiikolojia , madini machache yanayopatikana kutoka Ziwa kubwa la Chumvi USA, na mafuta ya asili ya muhimu ni kutoka kwenye mimea pia ina vitamini nyingi, amino acid, and vegatable antioxidative element.

Wataalamu wamethibitisha kuwa FemiCare ni Dawa nzuri na salama imeisha tumika tayari kwa miaka mia moja.

INAHUSIKA:
1. Inasaidia Uke kupambana na maambukizi.
2. Inaondoa majimaji machafu, harufu na miwasho
3. Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywere hasa sehemu za siri, vidudu kwenye mirija k**a utumbo, Vidudu vinavyo sambulia njia ya mkojo, Vidudu vya Fangasi na Vijidudu vingine hatari kwa sehemu za siri
4. Huweka uke safi na kuukinga na maambukizi
5. Husaidia kuhuisha Seli.

Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia mfululizo siku 7.

Wasiliana nasi 0756 846 403
WHATSAPP 0756 846 403

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
222

Telephone

+255674630753

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram