AfyaMedical

AfyaMedical JM pharmaceutical tunatoa ushauri pamoja na tiba dhidi ya magonjwa yote sugu yanayowakumba na kuwasumbua wa Tanzania!!

DALILI ZA MTU ALIYE PUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME Ukosefu nguvu za kiume katika karne hii ya ishirini na moja imekuwa ni tati...
22/06/2022

DALILI ZA MTU ALIYE PUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME

Ukosefu nguvu za kiume katika karne hii ya ishirini na moja imekuwa ni tatizo kubwa ikilinganishwa na kipindi cha zamani, halikadharika tatizo hili limekuwa likisababisha kuendelea kwa michepuko kila kukicha hata kupelekea ndoa na mahusiono mengi ya kimapenzi kufa.

Na maana halisi ya upungufu wa nguvu za kiume ni; Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.

Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa. Baade mwanamke baada ya huona hali hiyo huamua kwenda kwa mwanaume mwingine ambaye ana uwezo wa kukidhi matakwa yake ya kimapenzi husasani swala zima la tendo la ndoa.

Mwanaume aliyepungukiwa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo.

1. Uume kusinyaa na kuwa k**a wa mtoto

2. Uume kurudi ndani

3. Uume kusimama ukiwa legelege

4. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa.

5. Kushindwa kurudia raundi nyingine kwa uharaka baada ya raundi ya kwanza.

Kwa tiba na ushauri 0757119504

kukoma hedhi (menopause), elimu na virutubisho.Kukoma hedhi au kwa kitaalamu menopause ni hali ya kawaida inayomtokea ki...
04/06/2022

kukoma hedhi (menopause), elimu na virutubisho.

Kukoma hedhi au kwa kitaalamu menopause ni hali ya kawaida inayomtokea kila mwanamke. inatokea pale kupata hedhi kunapofikia kikomo na hivo uwezo wa kupata mimba au ujauzito kushuka na kukoma kabisa. Hatua hii hutokea pale mwanamke anapofikisha umri wa miaka 50 na kuendelea.

Kwa wanawake wengine hali hii hutokea pia kabla ya hapo kuanzia miaka 40. Na inaweza kutokea kutokana na ushauri wa madactari ama kufanyiwa upasuaji mdogo. Mfano mifuko ya mayai(ovaries) na mfuko wa mimba (uterus) inapoondolewa kutokana na athari ya magonjwa mbalimbali k**a saratani.

Pale mwanamke anapofikia umri wa kukoma hedhi basi huanza kuona dalili zifuatazo

1.Joto kupanda mara kwa mara na kupata jasho jingi
2.Ukavu kwenye uke
3.Kubadilika badilika kwa mpangilio wa hedhi
4.Kuongezeka uzito na
5.Msongo wa mawazo na kubadilika kwa mood yako.

Kuna njia nyingi za namna ya kupambana na dalili mbaya za kukoma hedhi. Kuna njia za mda mrefu na njia za mda mfupi. Njia nzuri na kuepusha madhara yanayotokana na kukoma hedhi ni kuekebisha lishe yako na kufanya mazoezi ya viungo. Kwa kuzingatia lishe waliyokula mababu zetu hapo zamani basi utapunguza madhara ya kukoma hedhi k**a kuongezeka uzito na kutokwa na jasho jingi hasa kipindi cha usiku.

Tambua kwamba Menopasue/kukoma hedhi siyo ugonjwa
K**a tulivoona hapo juu pale mwili wa mwanamke unapokoma kutengeneza homoni za estrogen na progesterone ndipo hedhi yako itakoma. Wanasayansi huenda mbali zaidi na kuwaanzishia wahanga wa tatizo hili program ya kurudisha homoni hizi kwa kuwawekea homoni zilizotengenezwa maabara.

Kitendo hiki hufahamika zaidi k**a hormone replacement therapy. Njia hii inatazama ishu ya kukoma hedhi k**a ugonjwa wakati ni suala la kawaida kabisa linalomkuta kila mwanamke. Ukweli ni kwamba kitu chochote kilichotengenezwa kwa mkono wa binadamu hakitafanya kazi sawa na kitu kilitengenezwa halisi kwa ajili ya kazi fulani kwenye mwili. Ndio maana madhara ya kuwekewa homoni hizi ni makubwa zaidi.

Zifuatazo njia za asili unazoweza kutumia ili upunguze adha zinazotokana na kukoma hedhi.
Kwanza kabisa k**a huna uhakika k**a umeingia katika kipindi cha kukoma hedhi nenda hospitali. Mwambie daktari wako akufanyie kipimo cha FSH, kifupi cha follicle stimulating hormone. Kipimo hichi kinagundua iwapo tezi ya pituitary inaonesha k**a ovari zako hazifanyi kazi inavotakiwa na hivo kuna uzalishaji mkubwa wa FSH.

K**a uliwahi kufanyiwa upasuaji wa kufunga kizazi basi huna haja ya kufanya hiki kipimo. Kwa sababu tayari wewe umeshakoma hedhi na uzalishaji wa FSH utakuwa juu zaidi. Pale FSH inapokuwa nyingi basi kuna uhakika mkubwa kwamba tayari umeanza kukoma hedhi. Kisha baada ya hapo utaingia kipindi cha post-menopause. Ni pale ambapo utakoma kupata hedhi mfululizo kwa mwaka mzima.

Kumbuka mwanzo tumesema menopause siyo ugonjwa na kitu cha kawaida, lakini matokeo yake unaweza kuyabadili kwa kurekebisha lishe na mtindo wako wa maisha na ukafurahia Maisha yako.

Tumia virutubisho/supliments k**a
Virutubisho vya mafuta ya samaki(fish oil) yenye Omega 3 , vyenye ubora wa hali ya juu, kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika.

Zinc supliments
Kwa wanawake, Madini ya Zinc yanahusika katika ukuuaji wa yai (oocyte). K**a mwanamke atakuwa na upungufu wa zinc, yai halitakomaa vizuri na utolewaji wa yai (ovulation) utazuiliwa , na kusababisha ugumba. Kiwango cha zinc cha kutosha kunamwezesha mwanamke kutumia estrogen na progesterone vizuri.

Soy power
Vidonge hivi vilivyotengenezwa kiasili kwa kutumia viambata vya mimea ya Glycine, Radiz Paeoniae Alba Eztractum na Ganoderma husaidia: kuongeza ufanyaji kazi wa mfuko wa mayai (ovaries), kuzuia Saratani ya matiti na kuimarisha afya ya mifupa kwa wanawake waliokoma hedhi.(menopause).

2.Hakikisha mlo wako unakuwa na kiasi sawa cha vyakula vya mafuta yale mazuri, kwa wingi ikifuatiwa na protini na kisha matumizi ya wanga na sukari kwa kiasi kidogo sana

3.Epuka matumizi ya vyakula na vinywaji vilivyosindikwa maana huongeza kiasi cha homoni ya estrogen.

4.Hakikisha unakuwa na ratiba nzuri ya kufanya mazoezi
ili kurekebisha kiwango cha insulin na hivo kusaidia kubalansi kiwango cha estrogen.

5.Pata vitamin D ya kutosha,

miili yetu ina uwezo wakutengeneza vitamin D kutoka kwenye mwanga wa jua, hivo hakikisha kila siku unapata mwanga wa jua walau nusu saa mpaka saa 1 ili kuuwezesha mwili kutengeneza Vitamin D ya kutosha. Tafiti zinaonesha kuwa Vitamin D husaidia kupunguza athari za zinazotokana na kukoma hedhi k**a kutokwa na jasho jingi usiku bial kumeza vidonge.

6.Kupunguza uzito husaidia kurekebisha na kupunguza athari za menopause k**a kubadilika kwa joto la mwili: Tafiti zinasema kwamba wanawake wanaopunguza uzito ama walio kwenye program za kupunguza uzito wana uafadhali katibu 33% zaidi ya kupunguza athari za menopause kuliko wanawake wengine. Kutokana na kwamba swala la kupunguza uzito huchukua muda mrefu nashauri ujijengee tabia ya kurekisha uzito wako kabla hujafikia kipindi cha menopause.

Hitimisho
Ni matumaini yetu kwamba utaanza kurekebisha sasa mtindo wako wa maisha ikiwemo lishe , ili uweze kupunguza athari za kukoma hedhi. Kwa ushauri huduma ya virutubisho na maswali,

Wasiliana nasi kupata dawa ili kutibu maudhi ya kukosa hedhi k**a maumivu kwenye tendo, ukavu ukeni na kukosa hamu ya tendo kwa gharama ya Tsh 90,000/= tu

UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono. Ug...
04/01/2021

UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)
Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono. Ugonjwa huu husababisha na bakteria na huathiri sehemu za mirija ya mkojo (urthra) puru ama koo.

DALILI ZA UGONJWA WA GONORIA (GONORRHEA)
Kwa wanaume
1.Maumivu wakati wa kukojoa
2.Kutokwa na usaha kwenye kichwa cha uume
3.Maumivu ama kuvimba kwa korodani moja

Kwa wanawake
1.kutokwa na uchavu ukeni
2.Maumivu wakat wa kukojoa
3.Kutokwa na damu wakati wa hedhi isiyokuwa ya hedhi ama baada ya kukutana kimwili
4.Maumivu ya tumbo
5.Maumivu ya nyonga

Nitafute inbox na eleza dalili za ugonjwa wako wowote ule ulionao na unakusumbua niweze kukupa ushauri na tiba..!!!!@ "m...
03/01/2021

Nitafute inbox na eleza dalili za ugonjwa wako wowote ule ulionao na unakusumbua niweze kukupa ushauri na tiba..!!!!@ "mfamasia juma"

Kwa wenye matatizo sugu k**a PID na UTI na wametumia ciprofloxacin, Azithromycin na bado pcef(ceftriaxone injection siku...
03/01/2021

Kwa wenye matatizo sugu k**a PID na UTI na wametumia ciprofloxacin, Azithromycin na bado pcef(ceftriaxone injection siku tano mfululizo) lakini tatizo la UTI bado lipo na linazidi kukuumiza nitafute kwa namba @ 0757119504 "mfamasia juma" nikupe ushauri na tiba

.UGONJWA WA UTIUTI ni kifupisho cha Urinary Track Infection. Ni ugonjwa unaoshambulia katika mfumo wa mkojo, hususan kib...
03/01/2021

.UGONJWA WA UTI
UTI ni kifupisho cha Urinary Track Infection. Ni ugonjwa unaoshambulia katika mfumo wa mkojo, hususan kibofu, figo na mirija ya urethra. Ugonjwa huu umekiwa ukiwapata sana wanawake kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Baadhi ya takwimu zinaonyesha kuwa kati ya watu 5 mmoja ana UTI.

Maambukizi ya ugonjwa huu yanapatikana hasa chooni. Pia huenda ugonjwa huu ukaenezwa kupitia kuingiliana kimwili na utaratibu mbovu wa kujisafisha baada ya kukidhi haya. Ugonjwa huu umekuwa ukiwapata zaidi watu ambao wanatumia vyoo vya shirika yaani vyoo vinavyotumiwa na watu wengi.

Ugonjwa wa UTI umekuwa ukisababishwa na bakteria kwa kiasi kikubwa. Bakteria aina ya E.coil ambao wanapatikana kwenye utumbo mkubwa wamekuwa wakisababisha UTI kwa kiasi kikubwa kuliko bakteria wengine. Pia fangasi (fungi) na virusi huweza kusababisha UTI japo kwa kiwango kidogo.

Mtu anaweza kuchukuwa tahadhari dhidi ya ugonjwa huu kwa,;-
1.Jisafishe kutokea mbele kuelekea nyuma baada ya kukidhi haja kubwa (kwa wanawake). Hii husaidia kuzuia bakteria wanaotoka kwenye utumbo mkubwa wasipate nafasi ya kuingia kwenye njia ya haja ndogo.
2.mwaga maji kila uingiapo chooni kwaajili ya nkujisaidia. Kitendo hiki kitaondosha vijidudu vilivyopo pale chini.
3.Jisafishe sehemu za siri kabla ya kuingiliana na baada.
4.Hakikisha unakwenda kutoa haja ndogo (kukojoa) baada ya tendo la ndoa. Kitendo hiki kitasaidia kuondosha vijidudu vilivyoingia wakati wa tendo.
5.Nenda katoe haja ndogo haraka sana baada ya kuhisi.
6.Kunywa maji mengi zaidi. Husaidia kuondowa vijidudu kwa njia ya mkojo.
7.Vaa nguo za ndani za pamba, kavu na zisizobana.nguo za mpira na zinazobana husababisha jasho (majimaji) sehemu za siri. Majimaji haya husaidia bakteria kukuwa na kuishi hivyo wanaweza kuathiri njia ya mkojo.

Ugonjwa wa UTI una dalili nyingi na huenda nyingine zikafanana na dalili za malaria. Miongoni mwa dalili hizi ni;-
1.Maumivu wakati wa haja ndogo
2.Kutowa mkojo mchafu. Mkojo unawea kuwa na rangi sana, ua k**a wa mawingu

FANGASIFangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili. Fangasi ni hatari sana, kwani wanaweza kusaba...
03/01/2021

FANGASI
Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili. Fangasi ni hatari sana, kwani wanaweza kusababisha madhara makubwa ya kiafya na kiakili k**a wasipitibiwa mapema. Kuna aina nyingi za fangasi ambao wanaweza kuathiri mwili wa binadamu.

Wapo fangasi ambao wanaonekana kwa macho na wengine hawawezi kuonekana. Kuna mamilioni ya aina hizi za fangasi, katika hawa kuna kuna mamia ya aina za fangasi ambazo huweza kumfanya mtu kuumwa. Miongoni mwa maradhi yanayoweza kusababishwa na fangasi ni pamoja nna:
1.Aleji
2.Mapele na maruturutu kwenye ngozi na vidole
3.Maambukizi ya mapafu k**a pneumonia ambayo hufanana na mafua au kifua kikuu
4.Maambukizi kwenye mfumo wa damu
5.Kupata ugonjwa wa meningitis huu ni ugonjwa unaoathiri ubongo pamoja na ugwe mgongo.

MAENEO AMBAYO FANGASI WANAISHI
Fangasi huweza kuishi kwenye maeneo mengi k**a
1.Kwenye udongo
2.Hewa
3.Kwenye mimea
4.Kwenye ngozi za watu
5.Na ndani ya miili ya watu

AINA ZA FANGASI
Fangasi wamegawanyika katika makundi mengi. Na wamekuwa wakisababisha maradhi mblimbali na katika sehemu mbalimbali za miili yetu. Hapa nitakutajia aina za fangasi hawa k**a ifuatavyo:-

1.Fangasi wa kwenye kucha.
Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu. Jina la kitaalamu la fangasi hawa ni onychomycosis. Wanakifanya kidole kivimbe, na kupoteza rangi yake ya asili. Kidole kinaweza kuwa na mipasuko. Fangasi hawa wanaathiri zaidi kwenye vidole vya miguu kuliko vya mikono. Fangasi hawa hawana maumivu lamda k**a wataathiri zaidi.

Dalili za fangasi hawa:-
?Kucha kuwa na utandu mweupe au njano
?Kidole kuwa kigumu na kuvimba
?Kupasuka kwa vidole

Fangasi hawa tunaweza kuwapata kwenye mazingira yetu, wanaingia kupitia mipasuko kwenye miguu ama kwa namna nyingine. Kila mtu anaweza kupata fangasi hawa ila kuna watu wapo hatarini sana yaani ni rahisi kupata fangasi hawa.

Watu walio hatari kupata fangasi hawa
Watu hawa ni k**a:-
?Mtu mwenye majeraha kwenye kucha ama aliyefanyiwa upasua

16/10/2020

K**a unatatizo la kupata maumivu makali kipindi cha hedhi na mvurugiko wa siku zako nipigie simu namba 0757119504 upate tiba kamili

Address


Telephone

+255692710008

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaMedical posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AfyaMedical:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram