AFYA YA UZAZI

AFYA YA UZAZI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YA UZAZI, Dar es Salaam.

karibu katika ukursa huu tunahusika na kutatua changamoto mbalimbali za afya ya uzazi wa mwanamke kama vile:
*PID,UTI sugu, fungus sugu
*kutoshika mimba/mimba kuharbika
*uvimbe kwenye kizazi (fibroids)

Tambua rangi ya damu yako ya hedhi na nin humaanisha.
30/07/2022

Tambua rangi ya damu yako ya hedhi na nin humaanisha.

30/07/2022
Je ungependa kufahamu chanzo na madhara ya hormone imbalance na jinsi ya kuepukana nayo k**a mwanamke??K**a ndio soma kw...
30/07/2022

Je ungependa kufahamu chanzo na madhara ya hormone imbalance na jinsi ya kuepukana nayo k**a mwanamke??
K**a ndio soma kwa making makala hiii

HORMONE IMBALANCE
Ni Hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo ktk mwili hivyo kuifanya mabadilko ktk mwili.
Hii husababishwa na kutokuwepo kwa usawa ktk hormone zifuatazo: ESTROGEN, PROGESTERONE na TESTOSTERONE.

SABABU ZA HORMONE IMBALANCE.
- Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
- utoaji wa mimba
- Uwepo wa sumu na taka mwili
- Msongo wa mawazo
- Upungufu wa lishe
- umri mkubwa

MADHARA

*Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
*Uvimbe
*Maumivu makali wakati wa tendo
*Mimba kuharbika mara kwa mara

29/07/2022

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA YA UZAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram