Uzazi Unit03

Uzazi Unit03 This page is only for women and men reproductive health

20/06/2023

Hivi sababu ya Msingi kwa vijana wa kiume kuogopa kuoa ni ipi hasa? Uchoyo/ubinafsi?

๐—๐—˜, ๐—จ๐—ก๐—”๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—จ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—— , ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—ญ๐—”๐—ญ๐—œ(๐—ฃ๐—˜๐—Ÿ๐—ฉ๐—œ๐—– ๐—œ๐—ก๐—™๐—Ÿ๐—”๐— ๐— ๐—”๐—ง๐—ข๐—ฅ๐—ฌ ๐——๐—œ๐—ฆ๐—˜๐—”๐—ฆ๐—˜ )   ๐—ช๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—จ๐—š๐—จ๐— ๐—•๐—”...
26/05/2023

๐—๐—˜, ๐—จ๐—ก๐—”๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—จ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—— , ๐— ๐—”๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—ญ๐—”๐—ญ๐—œ(๐—ฃ๐—˜๐—Ÿ๐—ฉ๐—œ๐—– ๐—œ๐—ก๐—™๐—Ÿ๐—”๐— ๐— ๐—”๐—ง๐—ข๐—ฅ๐—ฌ ๐——๐—œ๐—ฆ๐—˜๐—”๐—ฆ๐—˜ ) ๐—ช๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—จ๐—š๐—จ๐— ๐—•๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐— ๐—ž๐—˜?

๐—๐—ฒ, ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฎ ๐—ฃ๐—œ๐——?
Kwanza kabisa PID ni neno la kiingereza ambalo kirefu chake ni Pelvic Inflammatory Disease, yaani magonjwa ya maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke. Huwa ni tatizo ambalo mara nyingi huwachanganya watu kwani yaweza kuwa ni maambukizi ya zinaa, k**a vile pangusa(Chlamydia) au Kisosono.

๐—ก๐—จ๐—ž๐—จ๐—จ: ๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ, ๐˜†๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฃ๐—œ๐——.๐—๐—ฒ, ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ฃ๐—œ๐——?

๐—ก๐—ฎ ๐—ถ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ, ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฃ๐—œ๐—— ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ:
โ€ข Una magonjwa ya zinaa na hayajatibiwa
โ€ข Una mpenzi zaidi ya mmoja au michepuko
โ€ข Kuwa na mpenzi mwenye wapenzi wengi
โ€ข Uliwahi kuwa na PID kabla
โ€ข Unatumia marashi au vipodozi sehemu za uke
Je, Unawezaje Kupunguza Hatari Ya Maambukizi Ya PID?

Njia pekee ya kujihadhari na magonjwa ya zinaa ni kutokufanya mapenzi au ngono. Ikiwa k**a unafanya ngono, basi unapaswa ufanye mambo yafuatayo ili kupunguza hatari ya maambukizi ya zinaa:
1. Kutumia kondom kila unapohitaji kufanya mapenzi
2. Kuwa na mpenzi ambaye tayari ameshapima na akaonekana hana maambukizi ya magonjwa ya zinaa

๐—๐—ฒ, ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ๐—ท๐—ฒ ๐—ž๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—จ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฌ๐—ฎ ๐—ฃ๐—œ๐——?

Hivi leo katika hospitali mbalimbali huwa hakuna vipimo maalumu kwa ajili ya kupima na kutambua PID kwa haraka. Vipimo na uchunguzi mara nyingi huambatana na maelezo ya kihistoria ya afya ya mwili wako pamoja na matokeo mengine ya vipimo. Unaweza ukashindwa kugundua kuwa una PID kwasababu dalili zako zinaweza zisionekane, au zikawa za kawaida tu k**a vile za UTI au fangasi,

MWANAMKE K**A SHIDA YAKO NI KUPATA UJAUZITO, UVIMBE,HEDHI HIELEWEKI? MMSOME MTAALAM WETU HAPA๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ unit-010743642571Kumekua...
10/04/2023

MWANAMKE K**A SHIDA YAKO NI KUPATA UJAUZITO, UVIMBE,HEDHI HIELEWEKI? MMSOME MTAALAM WETU HAPA๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

unit-01
0743642571

Kumekua na tatizo kubwa sana kwa dada na mama zetu kupata ujauzito bila ya wao kutambia vyanzo vya matatizo hayo. Mtu anaweza kua ndani ya ndoa zaidi ya miaka 5 hadi 10 lakini hawezi kutunga mimba kabisa.

Hebu tuondoe mila na desturi za kishamba kua kuna mkono wa mtu ndani yake na kupelekea kuchukiana bure.Hebu mwanamke wewe tazama sababu hizi za kisayansi ujue shida iko wapi acha kuzunguka wa Sangoma utamaliza mali zako bure bila sababu.

Matatizo ya mwanamke kutoyonga mimba yanachangiwa na sehemu zote mbili, yaani tatizo linaweza kua ni mwanamke mwenyewe kwa 40% mpaka 50%, mwanaume anaweza kua ni tatizo kwa 25%-40%. Kwahiyo ukigundua hili huwezi kuhangaika kwa Sangoma.

MWANAMKE ANAWEZA KUA YEYE MWENYEWE NI SABABU YA KUTOTUNGA MIMBA(40%-50%)
Sababu za mwanamke mwenyewe kua chanzo cha kutopata ujauzito ni pamoja na;
1.Kua na tatizo katika mfumo wa uivishaji mayai, kwahiyo mwanamke akiwa na tatizo hili sio rahisi kupata mtoto.
2.Matatizo k**a vile uvimbe tumboni na saratani ya shingo ya uzazi, hivi vyote huzuia kabisa mama kutunga ujauzito.
3.Makovu kwenye mji wa kutunga mimba, hii zaidi huwapata wanawake wanaopenda kutoa mimba hovyo.
4.Umri kua mkubwa, mwanamke kufikia umri kuanzia miaka 40 uwezo wa mwili wake kutengeneza mayai hupungua au kuisha kabisa.
5.Maambukizi katika nyonga(PIDs), mwanamke anapokua na mashambulizi ya maradhi kaika nyonga yake kupata mtoto hua ni tatizo.
6.Kuziba kwa mirija ya uzazi, hii ndio njia ambayo mayai hupita na kurutubiswa na hayimaye kua mtoto.

7.Matibabu ya saratani, mionzi ambayo hutumika kutibu saratani hua na uwezo wa kupenya na kuua mfumo mzima wa uzalishaji mayai, hivyo kupata mtoto yawezakua ni taabu.

MWANAUME ANAWEZA KUA NI SABABU KWA 25%-40%.

https://chat.whatsapp.com/JsgNOkl57AH9RUo8SUvE0L

*DARASA KWA WANAUME.*  *JE, TWAYAJUA VIZURI MADHARA YATOKANAYO MATUMIZI  YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME?* Kwanza ifa...
04/04/2023

*DARASA KWA WANAUME.*

*JE, TWAYAJUA VIZURI MADHARA YATOKANAYO MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME?*

Kwanza ifahamike kabisa kua dawa hizi hazina uhusiano wowote na uzalishaji wa mbegu za mwanaume, mbegu ya mwanaume uzalishaji wake ni mchakato wa muda kidogo wala sio dakika kadhaa ambazo mtu atafanya tendo la ndoa.
Hizi ni dawa ambazo hufanya kazi ya kusisimua misuli ya mwili wa mwanaume ili kuyaongezea maumbilule yake uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Pamoja na hayo yote ni hatari zaidi kwa makundi ya wanaume wafuatao kutumia dawa za kuongezea nguvu za kiume.
โžกWenye shinikizo la damu
โžกWenye matatizo ya moyo
โžกWenye matizo ya macho na maskio
โžกUmri wa miaka 50 na kuendelea
โžกUmri chini ya miaka 18
โžกUgnjwa wa kisukari
โžกWenye kinga ndogo ya mwili
โžกWenye matizo ya pumu

Hayo ni makundi ya wanaume ambao wanaweza kujiweka katika hatari kubwa sana na hata wakati mwingine kopoteza maisha kutokana na matumizi ya dawa hizi za kuongeza nguvu za kiume.
Tunaposikia kua mwanaume amefia nyumba ya kulala wageni ghafla wakati alikua mzima wa afya, katika vitu ambavyo ni lazima vichunguzwe ni pamoja kujua ikiwa marehemu alikua akitumia dawa za kuongeza nguvu za kiume au dawa zozote zile.

MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.
1.Kuumwa kichwa.
2.Msumivu ya misuli ya mwili
3.Kuhisi kizunguzungu
4.Maumivu makali ya mgongo
5.Kupanda kwa shinikizo la damu
6.Macho kupoteza uwezo wa kuona
7.Maskio kupoteza uwezo wa kusikia
8.Kushindwa kumudu tendo la ndoa mpaka utumie dawa
9.Kuishiwa nguvu kwa wagonjwa wa kisukari pale ambapo mtu sukari hushuka kwa kasi bila kutambu
10.Mapigo ya moyo kwenda mbio
11.Mwili kudhoofika

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 06:00 - 08:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255682659994

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi Unit03 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Uzazi Unit03:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram