16/06/2022
*UGONJWA WA NGIRI/HERNIA NA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME.*
Ugonjwa huu mara kwa mara huwapata wanaume, ni ugonjwa ambao umeisha wakumba wanaume wengi sana. Na kujikuta wanakosa Tiba zaidi ya Oparesheni. *VISABABISHI VYA NGIRI*
Kuna sababu nyingi zinazopelekea mtu apate ugonjwa wa NGIRI.
📍Ukosefu wa protini mwilini
📍ajali
📍Kazi ngumu
*DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA.
* -Kubana tumbo hasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
-Kupiga mingurumo tumboni
-Kujaa gesi tumboni
-Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
-kupata haja ngumu k**a ya mbuzi
-kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa
-maumivu makali ya mgongo au kiuno
-Uume kusinyaa na kunywea k**a wa mtoto
-Kuvimba kwa karodani ama korodani kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)
*JINSI UGONJWA WA NGIRI /HERNIA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME.
* K**a ngiri bado ni changa haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume.
Hata hivo hernia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume.
-Huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume au korodani
-upasuaji wa NGIRI unaweza sababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini.
Tunavyo virutubisho vitakavyo kusaidia kutatua hii changamoto ya hernia bila kufanyiwa upasuaji Mawasiliano📞 Whatsapp/SMS/Call +255753356121 &
+255620501290