10/09/2021
Kuhusu Chakula cha Wanandoa au lishe ya wanaume na wanawake (Forever Multimaca)
:
Ni kirutubisho ambacho kazi yake kubwa ni kuweka sawa mfumo wa hormone za uzazi (s*x hormones) kwa wanaume na wanawake pia. Pia huimarisha misuli ya uume kwa wanaume na hivyo kuimarisha nguvu za kiume.
Kuvurugika kwa hormones (Hormonal Imbalance) kwa wanawake na pia wanaume ni miongoni mwa matatizo makubwa yanayosumbua afya ya uzazi wa mwanaume na mwanamke.
:
🎯Forever Multimaca ni Kirutubisho Chenye kiwango kikubwa cha nutrients zinazosaidia kujenga na kuimarisha ufanisi wa mwili hasa katika mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume na mwanamke.