06/11/2021
*PID*
Huu ni uambukizo katika via vya uzazi. Hutokea pale ambapo bakteria hupanda na kushambulia via vya uzazi vya mwanamke k**a tumbo la uzazi, mirija ya fallopian au mifuko ya mayai yenyewe “ovaries” kupitia katika njia ya uke au kupitia mifumo ya damu.
Dalili za PID zinaweza kuwa za ghafla au kuja taratibu sana, na baadhi ya wanawake wanakuwa hawana dalili yoyote mpaka wanapopata shida kubeba ujauzito au kuwa na maumivu yasiyoisha ya nyonga.
DALILI.
PID inaweza kujificha na ikawa ngumu kuigundua. Na baadhi ya wanawake hawawi na dalili yoyote. Isipokuwa dalili zinapojitokeza.
01. Maumivu ya kawaida au makali hasa chini ya kitovu na kwenye nyonga.
02. Majimaji yasiyokuwa ya kawaida kutoka ukeni na wakati fulani yanakuwa na harufu.
03. Kutoka damu wakati au baada ya kufanya mapenzi “sex” au katikati ya hedhi kabla ya mzunguko kuisha.
04. Kupata maumivu wakati wa kufanya mapenzi.
05. Homa zisizoeleweka na mwili kuhisi baridi mara kwa mara.
06. Maumivu wakati wa kukojoa au kupata mkojo kwa shida.
SABABU (CAUSE)
Bakteria aina nyingi husababisha ugonjwa huu japo sababu sababu kubwa ni GHONORRHEA NA CHLAMYDIA ambayo ni magonjwa ya zinaa.
Sababu nyingine inaweza kuwa kuzaa, mimba kuharibika, kutoa mimba na kuumwa UTI inayojirudia rudia.
MADHARA
PID ambayo haijatibiwa inaweza kutengeneza makovu au malengelenge ya usaha kwenye viungo vya uzazi.
Hali hiyo inaweza kuleta uharibifu wa kudumu katika via vya uzazi.
PID iliyokomaa husababisha Mwanamke Kushindwa kushika ujauzito na ikiwa akishika Basi ujauzito huo hua katika hatari ya kuweza kutoka/kuharibika
MATIBABU YAKE
TUMIA YUNZHI NA FEMICARE KWA MUDA WA SIKU 30 MPAKA 90 (MWEZI MMOJA MPAKA MIEZI MITATU)
DOSE YA MWEZI MMOJA NI 165,000/= TU.
PIGA SIMU KUPATA HUDUMA MAHALA ULIPO
AU FIKA OFISINI ZETU ZILIZOPO MIKOA MBALIMBALI
KARIBUNI SANA
+255____
0718044002