Jali afya yako

Jali afya yako afya yako ndio maisha yako

DALILI 9 ZA HOMA YA INI ✓Manjano✓Mkojo mweusi✓Kutapika Mara kwa Mara✓Homa Kali na za Mara kwa Mara✓Kukosa hamu ya kula✓K...
28/07/2024

DALILI 9 ZA HOMA YA INI

✓Manjano

✓Mkojo mweusi

✓Kutapika Mara kwa Mara

✓Homa Kali na za Mara kwa Mara

✓Kukosa hamu ya kula

✓Kuharisha

✓Maumivu ya tumbo hasa ubavu wa kulia

✓Mwili kuchoka

✓Maumivu ya viungo

MADHARA YA HOMA YA INI ( hepatitis B )

• Saratani ya Ini

• Figo zote kufeli ( ini Kushindwa kufanya kazi zake )

• Kifo

HATUA NNE ZA KUTIBU HOMA YA INI 100%

• Homa ya ini inaweza kutibiwa kwa kutumia virutubisho lishe pekee hivyo hukinza na virus

1. KUONGEZA KINGA ZA MWILI
Virutubisho lishe pekee ndivyo vinaweza kukuongezea Kinga za mwili ( body immunity )

2. KUZUIA ONGEZEKO LA VIRUS
Virutubisho hivi husaidia kuongeza steroids ambazo hupambana na virus

3. KUFANYA VIRUS KUWA DORMANT
Kawaida virus anaweza kubadilika kuwa kiumbe kisicho hai kwa kutumia kiwambo chake ( Cell membrane with protein coat ) hali hii hupelekea urahisi wa kuviondoa virus hivyo kwa PHAGOCYTOSIS

4. PHAGOCYTOSIS
Hii ni hatua ya mwisho ambayo virusi vya hepatitis B huondolewa mwilini kwa kutumia Kinga za mwili, na hivi ndio huondolewa baada ya kuwa dormant ( non living state ) na hapa mtu hutoka kuwa POSITIVE Hadi NEGATIVE kwa kipindi Cha miezi sita mfululizo ya matumizi ya dose uhakika 100%

Wasiliana nami kwa 0753558895
🇰🇪 🇿🇲 🇹🇿 🎗

HIZI NI FAIDA ZA KUTUMIA DETOXje, unajua maisha tunayoishi tunakula vyakula vyenye sumu ambavyo huongeza sumu mwilini?Je...
19/07/2024

HIZI NI FAIDA ZA KUTUMIA DETOX

je, unajua maisha tunayoishi tunakula vyakula vyenye sumu ambavyo huongeza sumu mwilini?

Je unajua faida ya product ya detox?

✅Huondoa sumu mwilini.

✅Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu

✅Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda INI na FIGO

✅Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilini, baada ya kula hutumiwa Kuzuia kuota vitambi.

✅Inaondoa sukari iliyozidi mwilin Na ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (presha)

✅Huondoa hali ya uzee wa sura na mwili kabla ya wakati

✅Ina ondoa URIC ACID ilioyozidi mwilini

✅Huondoa maumivu ya viungo hasa kwenye maungio kwani unasawazisha kiwango cha uric acid.

✅Inaimarisha UTENDAJI KAZI MZURI na kuzuia madhara kwenye FIGO,INI,KONGOSHO,mapafu.

✅Inaleta usingizi Mzuri sana.

✅Huondoa hali ya uchovu uchovu usio na sababu.

ZIPO ODA CHACHE, WEKA ODA YAKO MAPEMA .....

DELIVERY TANZANIA NZIMA.

PIGA SIMU ULETEWE ULIPO
0753558895

*MAUMIVU YA KICHWA MARA KWA MARA SASA* *BASI* . Mara nyingi Watu hupata shida ya *maumivu ya kichwa mara kwa mara shida*...
13/06/2024

*MAUMIVU YA KICHWA MARA KWA MARA SASA* *BASI* .
Mara nyingi Watu hupata shida ya *maumivu ya kichwa mara kwa mara shida* kubwa ikiwa ni mzunguko wa damu unakuwa haupo vizuri. Sasa tumekuletea kahawa isiyo na kaffein ambayo ni *kiboko katika kuondoa maumivu* ya *kichwa* . Licha ya kazi hiyo mahsusi hufanya kazi zifuatazo.
➡️Kuongeza uwezo wa kuona yaani (improve eyesight).
➡️Inaongeza uwezo wa kufikiri kwa sababu inahusika na ubongo, pia inaongeza uwezo wa kukumbuka.
➡️Ni nzuri sana kwa wanaopata usingizi wa mang'amun'gamu (kukosa usingizi).
➡️inaongeza ufanisi wa utendaji kazi wa moyo.
➡️inahuisha seli na kufanya ngozi ing'ae na kuondoa mikunjo usoni.
➡️Inaimarisha kinga za mwili.
➡️Inaongeza nguvu za kiume.
➡️Ina ubora wa hali ya juu kulifanya figo kuchuja sumu vizuri.
➡️Inaongeza uwezo wa kutoa sumu mwilini hivyo inapunguza uzito kwa wale wanaotaka *kupungua* .
➡️inaongeza nguvu mwilini kwa wale wenye miili lege lege au kuhisi uchovu ni kiboko ya *kuondoa uchovu.*
➡️Inaondoa mafuta kwenye mishipa na mshipa wa fahamu

Unahitaji nipigie 0753558895

Antrodia herbal medicine ni Uyoga Tiba kwa asili, na umekuwa ukitumika kutibu magonjwa mbalimbali kwa Wazawa wa nchi ya ...
27/05/2024

Antrodia herbal medicine ni Uyoga Tiba kwa asili, na umekuwa ukitumika kutibu magonjwa mbalimbali kwa Wazawa wa nchi ya Tawain huko Mashariki ya Mbali (Barani Asia).

Wenyeji wana ufahamu mimea huu k**a mmea wa bahati (fungus of fortune).

Kwa tafiti za kisayansi za kina zimeonyesha Antrodia (Uyoga) huu una uwezo Mkubwa wa kupandisha mfumo wa Kinga za mwili kwa kuzalisha T Lymphocyte, hizi ni aina za chembe chembe Nyeupe za mwili ambazo ni maalum kwa kutukinga na magonjwa.

Moja ya kazi ya Kinga hii ni kupambana na bacteria au virus pale wanapo jaribu au kuingia mwilini na kutaka kusababisha magonjwa.

Afya ya Ini (Liver Health)
Mwaka 1773 Traditional Chinese medicine baada ya tafiti, Antrodia ilionyesha Kuwa na uwezo wa kudhibiti na kutibu Ini lililo jeruhiwa na Pombe ,Virusi wa homa ya Ini B na C , Kuzidi kwa Kinga Mwili na kupelekea Uvimbe wa Ini (Inflammation) ,kwa kutumia Viambata jenga vilivyomo ndani yake, Mfano Antioxidant iliyobeba antcin A, H, B, C, K na nk.

ANTRODIA ina kiwango kikubwa cha polysaccharides nutrient ambayo ina uwezo wa kupambana na kirusi cha homa ya Ini B.
Pia ina Kiwango kikubwa cha viambata k**a malleic /succinic acid ambavyo hupambana na kirusi kinacho sababisha homa ya Ini C Kwa kudhibiti chemikali ya kujizalishia kirusi huyu.

Afya ya Moyo (Heart Health)
Antrodia pia imeonyesha Kuwa na kiwango kikubwa cha kiambata kinachoitwa Adenosine.
Ambacho kinauwezo wa kutanua mishipa ya Damu ya Moyo (coronary artery) ambayo huchochea kuongeza usambazaji wa damu kwenye Misuli ya Moyo.

Pia huzuia Mgando wa Damu usio Afya, hutukinga na kuk**aa kwa mishipa ya damu , huenda kinyume na uzalishaji wa usio Afya wa adrenaline HORMONE ambayo huusishwa na Shinikizo la Damu.

Faida nyingine za Uyoga huu (Antrodia) ni
Hutibu kuharisha na maumivu ya Tumbo.
Hutibu miwasho ya Ngozi,
Hutibu ugonjwa wa Kisukari,
Ugonjwa wa Lupus
Hupambana na kukukinga na Saratani.

Matumizi ya chakula Tiba hupunguza mlundikano wa sumu mwilini na kuufanya Mwili wako utende kazi kwa ufanisi wa hali ya juu, na kupunguza kasi ya kuchakaa kwa Cell's zako.

Kwa Upatikanaji wa Uyoga huu na Ushauri wa Kitabibu na Tiba
Wasiliana nasi kwa #
0753558895

𝐕𝐘𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐕𝐘𝐀 𝐔𝐏𝐔𝐍𝐆𝐔𝐅𝐔 𝐖𝐀 𝐍𝐆𝐔𝐕𝐔 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐔𝐌𝐄.Fahamu Sababu za tatizo hili;🌿 Ujichuaji/Punyeto (𝗠𝗮𝘀𝘁𝘂𝗿𝗯𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻).🌿 Kitambi au Uzito...
27/03/2024

𝐕𝐘𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐕𝐘𝐀 𝐔𝐏𝐔𝐍𝐆𝐔𝐅𝐔 𝐖𝐀 𝐍𝐆𝐔𝐕𝐔 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐔𝐌𝐄.

Fahamu Sababu za tatizo hili;

🌿 Ujichuaji/Punyeto (𝗠𝗮𝘀𝘁𝘂𝗿𝗯𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻).
🌿 Kitambi au Uzito kupita kiasi na unene uliozidi (Mafuta mengi mwilini).
🌿 Ukosefu wa mazoezi.
🌿 Ulaji Holela Holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi.
🌿 Uvutaji wa Sigara, unywaji wa Pombe au utumiaji wa kemikali.
🌿 Kuwa na Msongo wa mawazo.
🌿 Kuwa na tatizo kwenye kibofu cha mkojo.
🌿 Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali kali za kutibu maumivu.
🌿Magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, kisukari, presha, magonjwa ya moyo, Bawasiri, Tezi dume n.k hupelekea tatizo hili.
🌿 Umri hasa kwa wazee.
🌿Utumiaji wa Madawa ya kuboost Nguvu za kiume.
0753558895 /0656001321

✍️Virutubisho hivi vimekuwa msaada kwa wanawake wengi kila aliyenitafuta na kuanza kutumia amekuwa akileta mrejesho baad...
22/06/2022

✍️Virutubisho hivi vimekuwa msaada kwa wanawake wengi kila aliyenitafuta na kuanza kutumia amekuwa akileta mrejesho baada ya siku 3 tu na kupona kabisa ndani ya siku 15
-ikiwa umekuwa muhanga usisite kunitafuta .
👉Unaitumia ndani ya siku 14 asubuhi na usiku .
👉matokeo ni uhakika ndani ya siku 3 tu hii ni kipenzi cha wanawake wote waliotumia wanamatokeo mazuri .K**a huumwi itumie kujikinga na maambukizi ya sehemu nyeti inafaida nyingi hapo nimeandika chache .

👉Huduma yangu unaipata Dar es salaam/Arusha

Mikoani tunatuma

Nipigie /sms/wsp/kupata huduma hii ;0753558895
Tafadhari Soma maelekezo kabla ya kupiga simu 🙏

Ushauri Ni bure karibuni

DETOXILIVE ni bidhaa muhimu sana Kwa kila BINADAMU kutokana na kazi zake MWILINI hasa katika organs muhimu K**a vile Fig...
17/02/2022

DETOXILIVE ni bidhaa muhimu sana Kwa kila BINADAMU kutokana na kazi zake MWILINI hasa katika organs muhimu K**a vile Figo ,Ini ,Mapafu ,Kongosho ,Ubongo na nk , Tunatumia SIMU, EAR PHONE n.k vinavyozalisha mionzi isiyo salama kwa afya zetu, vyakula ,Vinywaji na Madawa yenye kemikali na Sumu lakini hatuli vitu vinavyo toa sumu mwilini habar njema ni kwamba DETOXILIVE ni suluisho
HIZI NI BAADHI ZA FAIDA ZA DETOXILIVE
🔹Huondoa sumu mwilini.
🔹Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu
🔹.Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda INI na FIGO
🔹Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilin, baada ya kula hutumiwa Kuzuia kuota vitambi,
🔹 Inaondoa sukari iliyozid mwilin Na ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (presha)
🔹Huondoa hali ya uzee wa sura na mwili kabla ya wakati
🔹Ina ondoa URIC ACID ilio zidi mwilini
🔹Huondoa maumivu ya viungo hasa kwenye maungio kwan hubalance kiwango cha uric acid
🔹Inaimarisha UTENDAJI KAZI MZURI na kuzuia madhara kwenye FIGO NA INI
MAWASILIANO
0656001321

Unaifahamu BAWASIRI?
15/09/2021

Unaifahamu BAWASIRI?

Usogope kusema unabawasiri kwakuwa itakupelekea kansa ya utumbo mpana.Njoo tuzungumze nikupatie tiba usipuuzie
15/06/2021

Usogope kusema unabawasiri kwakuwa itakupelekea kansa ya utumbo mpana.Njoo tuzungumze nikupatie tiba usipuuzie

Je unatumiaje fursa unazo zipata?1) unapuuzia2) unahisi NI utapeli?3) unahisi hutoweza?4) au unafananisha na fursa nying...
29/04/2021

Je unatumiaje fursa unazo zipata?

1) unapuuzia
2) unahisi NI utapeli?
3) unahisi hutoweza?
4) au unafananisha na fursa nyingine?

Unakosea Sana tumia fursa ulizonazo na unazoshirikishwa usiwe mwepesi wa kuogopa kujalibu Mambo, wote walio fanikiwa wali thubutu, umepewa mamlaka wewe ni mshindi na utashinda tu, ungana nasi kwenye hii fursa kwa mtaji mdogo kabisa wa elfu 46000, make ur life better with good health and wealth
Call/Whatsapp 0656001321/0783900997https://chat.whatsapp.com/CODVdTN5Ej4KBYeCvq3Uru

WhatsApp Group Invite

Kutunza uke na kulinda afya ya uke ni jambo la muhimu sana kwa mwanamke.Kutokwa na harufu mbaya ukeni ni kiashiria kwamb...
31/03/2021

Kutunza uke na kulinda afya ya uke ni jambo la muhimu sana kwa mwanamke.

Kutokwa na harufu mbaya ukeni ni kiashiria kwamba unaumwa na hauko sawa.

Hali hii inaweza kuathiri heshima ya mwanamke na pia mahusiano na mwenza wake.

Harufu mbaya ukeni kwa kiasi kikubwa husababishwa na bacteria wa vaginosis japo siyo kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la kunuka uke.

Ni kawaida kwa mwanamke kupata harufu ukeni kutokana na hali ya uke kujisafisha kutoa vimelea wabaya.

Lakini pale harufu inapokuwa kali sana mfano wa harufu ya shombo ya samaki basi ujue kuna tatizo kubwa.

Kutokwa na harufu mbaya ukeni huwa inaambatana na dalili zingine k**a kuwasha na kuchomachoma na kutokwa na majimaji au uchafu k**a mtindi Ukeni.

Miongoni mwa sababu kuu ya kupata harufu mbaya ukeni ni ukuaji wa bacteria wa vaginosis.

Ukiwa na dalili hizi jua kuwa unashambuliwa na bacteria hao.

🖊️ Uke kutoa maji maji mazito au mepesi yenye rangi ya njano au brown yenye harufu mbaya.

🖊️ Maumivu kwenye maeneo ya kiuno au nyonga.

🖊️ Unaweza usipate au ukapata maumivu ya kichwa.

🖊️ Uke wako unaweza ukawa unawashwa.

🖊️ Pia Ukuaji wa bacteria wa vaginosis ndani ya uke wanaweza kupelekea mimba kutoka, kujifungua kabla ya wakati na kuongezeka kwa hatari ya kupata magonjwa mengine ya ngono.

🖊️ Kutokwa na uchafu unaoambatana na harufu kali mfano wa harufu ya samaki wabichi.

Je, wewe ni mwanamke mwenye tatizo hili la kutokwa na harufu kali ukeni na ungependa kuondokana nalo❓

K**a jibu ni NDIYO basi tuma inbox au DM neno harufu kupata msaada zaidi.

tupigie 0656001321/0783900997

* JINSI YA KUJIKINGA NA FANGASI ZA SEHEMU ZA UKENI.Fangasi zinaweza kuzuiliwa kwa kiasi kikubwa na ni endapo tu mtu mwen...
24/03/2021

*
JINSI YA KUJIKINGA NA FANGASI ZA SEHEMU ZA UKENI.
Fangasi zinaweza kuzuiliwa kwa kiasi kikubwa na ni endapo tu mtu mwenyewe ukiamua kujilinda.

Fanya yafuatayo ili kujiepusha na fangasi

1) ACHA KUPIGA UKE DEKI: nawakumbusheni tena kinadada mnafikiri kwamba ili kujiweka msafi sehemu za siri ni lazima UINGIZE KIDOLE UKENI.

Mimi nawaambia ukweli na naomba mnielewe kwamba UKE unajisafishaga wenyewe na huna haja kupiga deki kwani ukipiga deki utakua umeharibu ulinzi Wa uke wako na ukishaharibu ulinzi huo unakua rahisi kupata fangasi na ndo kwanza utanuka uke k**a ulikua hujui.

2) Acha matumizi ya madawa kiholela hasa dawa za UTI,kikohozi ,tumbo nk ,dawa hizo ni k**a flagly,amoksilini,cipro nk.

Matumizi holela ya dawa hizi husababisha uharibifu Wa ulinzi Wa uke ambapo kunawaachia mwanya fangasi kushamiri.

3) usivae nguo za ndani ambazo ni mbichi au hazijakauka vizuri.

Nguo za ndani zianikwe nje na zipasiwe vizuri.

4) acha kutumia sexy toys ya aina yeyote

5) Punguza unene.punguza kilo zako angalau kwa asilimia 10.

6) Acha ngono zembe

7) acha kushea nguo za ndani

MUHIMU
K**A UNAPATA FANGASI ZA MARA MARA NAKUOMBA PIMA YAFUATAYO
1) KISUKARI
2) HIV
3) FIGO NK
Ikumbukwe pia fangasi wakati Wa ujauzito inaweza kusababisha mimba kutoka au kujifungua kabla ya muda.

Dawa nzuri yakutumia wew Mwanamke wa karne hii nikula vyakula vyenye VIRUTUBISHO kwa wingi mwilini.

Tumia FEMICARE kujiweka Safi mdaote na kufanya uke wako uwe na hali ya kujitibu wenyewe.

Shirikisha kina Dada wengine ujumbe huu!

Una swali? Contacts +255656001321📲

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255783900997

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jali afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram