Afyakwanza

Afyakwanza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afyakwanza, Ilala, Dar es Salaam.

28/08/2022

SULUHISHO LA TEZI DUME .BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA .



KUTANUKA KWA TEZI DUME

Kutanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo husababishwa na Ugonjwa wa Saratani (Kansa). Huwa ni Jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee, miaka inavyoenda ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo, mkojo kutoka polepole.

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

1. Kukojoa mara nyingi nyakati za usiku 3-9

2. Kulazimika, Mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka.

3. Mkojo kutiririka polepole, hukatika katika na hutumia nguvu kubwa

4. Mkojo kushindwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa

5. Mkojo kuendelea kutoka kidogo kidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani kuloa.

6. Kibofu hakiishi mkojo

MATATIZO YALETWAYO NA TEZI DUME KUTANUKA

1. Mkojo kushindwa kutoka kabisa

2. Madhara kwenye kibofu cha mkojo na figo

3. Maambukizi ya mawe kwenye kibofu na figo.

MATIBABU

DR FATUMA. (+255 67 269 4934) tunayo package maalumu itakayokusaidia kuondoa Uvimbe bila kufanyiwa upasuaji. Katika package hii tutakupatia dawa ambayo itaenda kuondoa Uvimbe kabisa na kuimarisha Kinga yako ya mwili. Pia kukupa dawa ambayo itaenda kutibu tezi dume na kurejesha Afya ya tezi dume.

MAWASILINAO

Wasiliana nasi kwa simu namba
+255 67 269 4934 tukuudumie. Popote ulipo tutakuhudumia.

PIA TUNATOA ELIMU BURE KUPITIA GROUP LETU LA WHATSAPP gusa link hii kujiunga

👇🏿
https://chat.whatsapp.com/KXCYGYPxaQ35HDlwxDOgqk

25/08/2022

JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA ???

-maumivu makali kwenye magoti
-magoti kushindwa kujikunja
-kusikia milio ya magoti kusagana
-kushindwa kuinama
-kusikia ganzi kwenye miguu
-mifupa kusagana
-maumivu kwenye maungio (joints)
-kiuno kuuma
-mgongo kuuma
-pingili za vidole kuvimba (gout)

SABABU KUU INAYO SABABISHA CHANGAMOTO HIZI NI K**A !

-Ajali
-Uzito ulipindukia
-kutumika kwa viungo kupitia kiasi mfano wanamichezo
-Historia ya familia
-Umri (30+)

JE UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU BILA SULUHU YA UHAKIKA ?

JE ULIFANYIWA UPASUAJI NA KUWEKEWA VYUMA ILA BADO MAUMIVU NI MAKALI SANA NA MIFUPA BADO INASAGANA ?

HUNA HAJA YA KUHANGAIKA TENA TUNAYO SULUHU YA VIRUTUBISHO AMBAVYO VITAONDOA KABISA CHANGAMOTO YAKO YA MUDA MREFU YA MIFUPA NA HAITOJIRUDIA TENA :

Wasiliana nasi kupitia
0756 352 945
……
Pia TUNATOA ELIMU BURE kupitia group letu la whatsapp kusa link hii kujiunga
👇🏿
https://chat.whatsapp.com/KXCYGYPxaQ35HDlwxDOgqk

KARIBU TUKUHUDUMIE .ASANTE

Health/beauty

Address

Ilala
Dar Es Salaam
12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afyakwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram