MuyoApp

MuyoApp Muyo App, Saidika Kidigitali

22/01/2024
MAALUM KWA WANAWAKE Kuna changamoto ya mawasiliano linapokuja swala la kumsahihisha mwanaume. Wanawake wengi wanashangaa...
08/02/2023

MAALUM KWA WANAWAKE

Kuna changamoto ya mawasiliano linapokuja swala la kumsahihisha mwanaume. Wanawake wengi wanashangaa kwa nini wanaweza kutumia maneno makali au ya dharau na kejeli lakini mwanaume asibadilike, na mwisho wa siku ni k**a anaendelea na tabia yake.

Sikia hii, MWANAUME hasahihishwi au kukosolewa kwa kutumia lugha mbaya ya ukali au kejeli. Mfano mwanajme ni mchafu ukamwambia " mwanaume gani unakuwa mchafu namna hii, hivi umelelewaje kwenu wewe" au mwanaume gani hujitambui hujali mkeo!

Kauli k**a hizo zinamfanya mwanaume azidishe tabia yake inayokukera kwa sababu ndio njia pekee ya kukuonesha kwamba hapendi kauli zako. Kwa hiyo k**a una mpango mwanaume wako abadilike chunga mdomo wako TUMIA LUGHA NZURI laini ya k**e na MHAMASISHE kwa shukrani anapofanya kitu ambacho ungependa awe anafanya kila siku.

Bro M***a Kisoma
0753 469525
Masomo zaidi yako kwa website www.muyo.co.tz na pia unaweza kupakua Muyo App kwenye Playstore.

08/02/2023

NGUVU YA KUPENDA HAIKO SAWA KWA WOTE

Kuna mtu anaweza kumpenda mwanaume au mwanamke ambaye kwa kweli kwa mtazamo wako hana sifa hata moja ya kupendwa au kustahili kuwa kwenye mahusiano, lakini mwenzio ameweza sababu amejaaliwa nguvu hiyo. Usiwe mwepesi kumshauri mtu kwenye chaguo lake kabla hujajua nguvu ya upendo aliyonayo maana kuna watu wamebarikiwa kupenda visivyopendeka, NGUVU YA UPENDO NI KITU CHA AJABU SANA! Unaweza kushangazwa namna mwanamke yupo tayari kukosana na ukoo mzima kwa ajili ya mpenzi wake, ama namna mtu anaacha maisha ya kifahari kwa ajili ya kumfuata mpenzi wake uswahilini.
Bro M***a Kisoma
0753 469525
Www.muyo.co.tz

08/02/2023

KAMUHEMUHE KA KUCHUMBIWA NA WENGI KASIKUPOTEZEE MWELEKEO

Kuna wakati mahusiano yako yanapofikia pazuri ambapo posa inakaribia kuletwa au tayari na jamaa amejipanga kuleta mahari unashangaa ndio yule mwanaume uliyekuwa unamuota ndotoni ametokea mubashara anakutaka. Unachukua maamuzi ya kimuhemuhe ya kuvunja mahusiano yako ili ufaidi mtu mpya, maskini kumbe hizo no mbinu za bwana devo ( shetani) kukuharibia maisha. Mshirikishe Mungu kwanza, usikurupuke, usiwe mwenye kunia mambo yanayozidi uwezo wako! Nakuombea hekima.

Bro M***a Kisoma
0753 469525
Www.muyo.co.tz
Pakua Muyo App inapatikana Playstore

Muyo app and website offer advice and tips on love, marriage, finances and spirituality. The app is easy to use and the website is full of articles and resources. The app and website are free to use, so why not try them out today?

08/02/2023

Kusema kwamba unampenda ni jambo moja, lakini kuthibitisha kwa vitendo ni jambo jingine. Fanya la kwanza kwa bidii lakini usipofanya la pili ujie la kwanza linafutika kirahisi kichwani na moyoni, bila vitendo utaonekana mwongo tu hata k**a ni kweli unampenda kutoka moyoni.

Bro M***a Kisoma
0753469525
Pakua App ya Muyo inapatikana Playstore

08/02/2023

Akili nzuri ya mwanamke haiwazi harusi ( sherehe) bali inawaza majukumu ya ndoa ( maisha baada ya arusi) . Badala ya kuanza maisha ya ndoa kwa madeni, hebu fikiria kufanya sherehe kadiri ya uwezo wako maana sisi tutakaowashangilia arusini hatutakuwepo mtakapokuwa mnalala njaa.
Bro M***a Kisoma
0753 469525

Muyo app and website offer advice and tips on love, marriage, finances and spirituality. The app is easy to use and the website is full of articles and resources. The app and website are free to use, so why not try them out today?

08/02/2023

DAKA HII ITAKUSAIDIA MWANAUME!

Brother ukitaka kuchelewa malengo yako, ukitaka kutawanya pesa zako basi endelea kuwa na mahusiano na wapenzi wengi! Ila k**a unataka maisha yenye mwelekeo k**ata mmoja maanisha na enda naye katika hali zote, mtafanikiwa!
Bro M***a Kisoma
0753 469525

Muyo app and website offer advice and tips on love, marriage, finances and spirituality. The app is easy to use and the website is full of articles and resources. The app and website are free to use, so why not try them out today?

16/01/2023

Usifiche maumivu yako! Pakua Muyo App ukutane na wataalam watakaokusaidia kulabiliana na changamoto zako za stress

16/01/2023

Hivi unajua kwamba wataalam wa Muyo App wanaweza kukupa msaada wakati wowote ule?
Pakua Aplikesheni kwenye Playstore sasa!

11/01/2023

The hardest test in life is the patience to wait for the right moment !

10/01/2023

Unapoanzisha mahusiano mapya unazingatia mambo gani muhimu?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MuyoApp posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram