01/09/2025
** JE, Unajua kuwa miili Yetu Haiwezi Kuzalisha vitamini c
yenyewe?
Binadamu Tunahitaji Kupata Vitamini C Mara Kwa Mara Na Muhimu kwa kazi nyingi mwilini.
MWILI WAKO unahitaji vitamini c kila siku ili kuendelea kuwa na Kinga imara na afya bora.Na wewe je? Una Utaratibu wowote wa kuhakikisha mtoto wako anapata
Vitamini C Kila Siku? Sio kwa mtoto tu hata kwa mtu mzima.
Virutubisho vyangu vina aina zote za vitamins na madini na ni rahisi mtoto kutumia na kuvipenda.
Na k**a mtoto changamoto yoyote k**a kukosa hamu ya kula, kutoongezeka uzito,mtoto kuumwa mara kwa mara nk. Basi hapa atapata solution la kudumu.
Karibu tukuhudumie WhatsApp or call 0763983981.