18/01/2024
CELLULAR NUTRITION
Miili yetu imetengenezwa kwa mabillion ya cell (chembehai)
*Cell👉🏽Tissue👉🏽Organ👉🏽System👉🏽Organism*
👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼Huu mtiriko una maana kubwa mno
Seli zikiungana zinatengeneza tishu(misuli, mishipa, damu)
Tishu zinatengeneza ogani ( k**a Moyo, figo, ini, ngozi n.k)
Ogani zinatengeneza mifumo mbalimbali (k**a mfumo wa uzazi, mmeng'enyo wa chakula, upumuaji, utoaji taka mwilini n.k)
Hivi tunavyoonekana kwa nje (wewe kiumbe) chanzo kabisa cha mimi na wewe kuwepo ni chembehai (cell)
Cell ndo maisha yetu yanapoanzia ina maana cell ikiharibiwa kila kitu kimeharibika, ogani na mifumo yote inashindwa kufanya kazi..
Sasa kile kiini kinachotoka kwenye nafaka kamili ndo chakula cha cell. Mafuta kutoka kwenye nafaka kamili ndo yanalainisha ukuta wa cell(cell membrane inakuwa permeable) kuruhusu virutubisho kuingia mwilini, kufanya kazi na uchafu kutoka. Sisi hatupati kile kiini cha nafaka kamili hivyo ukuta wa cell (cell membrane) unakuwa mgumu tunachokula kinaingia kidogo, virutubisho vingi haviingii mwilini hata uchafu hautoki kwa wakati. Ndio maana unaweza kula asubuhi, mchana, na jioni lakini unakaa hata siku tatu hakuna haja kubwa,🙆🏽♀️ unaamka asubuhi umechoka balaa(uchovu sugu) unameza dawa nyingi hazifanyi kazi, hakuna hamu ya kula n.k Changamoto imeanzia kwenye cell.
Sasa tre en en imetengenezwa kwa kiini cha nafaka kamili.
Kiini cha
✅ Mchele
✅ Soya na ngano
Kiini hiki kina mafuta yanaitwa lipids na sterols ambacho ndo chakula sasa cha cell.😘😘 Mafuta haya ndo yanafanya ukuta wa cell uwe laini
NINI INACHOENDA KUFANYA TRE EN EN MWILINI
1. Kulainisha ukuta wa cell chochote unachokula kiingie mwilini kifanye kazi vizuri na uchafu utoke kwa wakati
2. Kutoa sumu mwilini
3. Kubalance homoni
4. Huondoa uchovu sugu
5. Husaidia kupata choo kwa wakati na kinakuwa laini bila maumivu
6. Huondoa maumivu mwilini
7. Husaidia mmeng'enyo wa chakula
8. Hufanya ngozi iwe na ung'avu asilia/hutakatisha ngozi
👆👆
JIFUNZE KUHUSU BIDHAA YA TRE EN EN 0693 210 331