Hemorrhoids cure

  • Home
  • Hemorrhoids cure

Hemorrhoids cure Tunawasaidia watu wenye tatizo la ugonjwa wa bawasiri kuondoa na kuzuia tatizo hilo bila KUJIREJEA.

14/07/2025
Je, umechoswa sana na kununua madawa ya gharama kubwa ili kutibu bawasiri bila mafanikio yeyote!?Je, bado hujajua kwanin...
07/07/2025

Je, umechoswa sana na kununua madawa ya gharama kubwa ili kutibu bawasiri bila mafanikio yeyote!?

Je, bado hujajua kwanini bawasiri yako inaendelea kujirejea kila baada ya kupona!?

Na je unahitaji kujua zaidi kuhusu changamoto yako ya ugonjwa wa bawasiri!?

Basi hii program ni kwaajili yako ….!

Programs hii imekusanya elimu kuhusu ugonjwa wa bawasiri kwa njia ya vitabu na mafunzo kwa sauti…!

Kupitia program hii nimejaribu k kuelezea yote unayohitaji kujua kuhusu ugonjwa wa bawasiri na vipi unaweza ukajitibu pasi na kujirejea…..

Kwenye program hii utapata

1. Nakala mbili za maandishi (vitabu /e- books ) kuhusu changamoto ya bawasiri na tiba zake…

2. Masomo kwa njia ya sauti (recorded audio classes) kuhusu bawasiri maana, chanzo, dalili na tiba zake…

Bonuses

3. Free consultation.

4. Mazoezi tiba ya bawasiri (Physiotherapy package)

Kupata program hii: utalipia
Tsh 10,000/= tu lipia kwa lipa namba ya
1. Voda M-pesa: 54594668
2. ⁠ Mixx by Yas : 22285652

Majina ni Naahir herbs and products

Kisha nitumie ujumbe wa muamala wako whatsapp 0757470056 au tupigie Kupata program hii…!

📢 *Fahamu nukta muhimu kuhusu ugonjwa wa bawasiri ili uwezepata tiba sahihi ya bawasiri.* *Bonus:*1. Utapa darasa za sau...
21/04/2025

📢 *Fahamu nukta muhimu kuhusu ugonjwa wa bawasiri ili uwezepata tiba sahihi ya bawasiri.*


*Bonus:*
1. Utapa darasa za sauti bure kuhusu bawasiri
2. Free consultation
3. Mazoezi tiba ya bawasiri (physiotherapy)

💸 *Sasa Tsh 3000/= (limited offer)*

📍Ubungo kibangu

🌍 Naahir herbs and Products

☎️ : +255 757 470 056

wa.me//+255757470056

Eid Mubaarak.!
31/03/2025

Eid Mubaarak.!

Moja ya jambo muhimu ambalo mtu anatakiwa kujua ili aweze kupata tiba sahihi ni kujua na kuhakikisha ugonjwa upi unasumb...
30/09/2024

Moja ya jambo muhimu ambalo mtu anatakiwa kujua ili aweze kupata tiba sahihi ni kujua na kuhakikisha ugonjwa upi unasumbua (yaan exactly anaumwa nini)...

Kwa upande wa ugonjwa wa bawasiri (hemorrhoids) kuna magonjwa mengi sana ambayo hufanana na bawasiri lakini sio bawasiri..

Na watu wengi hushindwa kutofautisha kati ya bawasiri na magonjwa yanayofanana na bawasiri.....

Hivyo hupelekea mgonjwa kuanza kutibu aidha ugonjwa tofauti na bawasiri kwa kudhania ni bawasiri, au kupewa tiba ya magonjwa mengine tofauti ili kutibu bawasiri..!

Hapo juu kwenye picha (swipe left) nimejaribu kuonesha baadhi ya magonjwa yenye kufanana na bawasiri ambayo huwasumbua watu wengi na kwa muda mrefu kwa kule kudhania ni bawasiri..!

Miongoni mwa hayo magonjwa ni re**al prolapse, a**l fistula, re**al cancer, HPV,...

Kujifunza zaidi tupigie au whatsapp us 0757470056

Tufollow instagram



# tanga

20/07/2024
*Offer offer offer*Mara zote watu wanaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu (Desk workers,office workers, Driver) na tayar...
20/07/2024

*Offer offer offer*

Mara zote watu wanaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu (Desk workers,office workers, Driver) na tayari anasumbuliwa na bawasiri hupata shida sana na ukosefu wa amani wakati wakufanya kazi zao.

Hivo hivo kwa wanawake baada ya kujifungua (post pregnancy) huweza kupata bawasiri ambayo hupelekea kushindwa kukaa kwa amani.

Hivo basi k**a wewe ni mmoja katika hao (unabawasiri sugu na inakufanya unashindwa kukaa kufanya kazi zako) hii ofa ni kwaajili yako.

Nimekuandalia hii package ya products zetu zitakazo kusaidia kutatua shida yako ya bawasiri na kufanya uwe na amani wakati wa kufanya kazi zako.

Hii package imekusanya product tano (5) tofauti:

(Phytodetox kwajili ya kufanya detoxification + Bawasiri cure herbal ya kunywa+ ya mvuke + ya kupaka+ pillow ya kukalia maalumu itakayokuwezesha kukaaa kwa muda mrefu zaidi  bila kuhisi maumuvi ya haja kubwa)

Detoxification itakusaidia

1. Kuzibua mishipa ya damu 

2. Kuondosha sumu kwenye damu

3. Kusafisha mfumo wa chakula

4. Kutibu matatizo ya autoimmunity

Hapa nataka watu wawili tu niwape ofa hii ya dose ya bawasiri sugu na pillow ya kukalia wakati wa kufanya kazi zako.

Gharama yake ni Tsh 300,000/=  (18100ksh) ila kwa atakae hiitaji full package  atalipia Tsh 200,000/= (11000ksh) tu

K**a unahitaji nione WhatsApp 0757470056

salumu mustapha

IG

     @ Naahir_herbs and_products 

0757470056

,

Eidkum mubaaraka..!!
09/04/2024

Eidkum mubaaraka..!!

Pata punguzo la asilimia 30 - 45 kwa kila product zetu.OHSO Salumu mustapha 0757470056
27/03/2024

Pata punguzo la asilimia 30 - 45 kwa kila product zetu.

OHSO Salumu mustapha

0757470056

*Offer offer offer*Mara zote watu wanaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu (Desk workers,office workers, Driver) na tayar...
11/03/2024

*Offer offer offer*

Mara zote watu wanaofanya kazi za kukaa kwa muda mrefu (Desk workers,office workers, Driver) na tayari anasumbuliwa na bawasiri hupata shida sana na ukosefu wa amani wakati wakufanya kazi zao.

Hivo hivo kwa wanawake baada ya kujifungua (post pregnancy) huweza kupata bawasiri ambayo hupelekea kushindwa kukaa kwa amani.

Hivo basi k**a wewe ni mmoja katika hao (unabawasiri sugu na inakufanya unashindwa kukaa kufanya kazi zako) hii ofa ni kwaajili yako.

Nimekuandalia hii package ya products zetu zitakazo kusaidia kutatua shida yako ya bawasiri na kufanya uwe na amani wakati wa kufanya kazi zako.

Hii package imekusanya product tano (5) tofauti:

(Phytodetox kwajili ya kufanya detoxification + Bawasiri cure herbal ya kunywa+ ya mvuke + ya kupaka+ pillow ya kukalia maalumu itakayokuwezesha kukaaa kwa muda mrefu zaidi  bila kuhisi maumuvi ya haja kubwa)

Detoxification itakusaidia

1. Kuzibua mishipa ya damu 

2. Kuondosha sumu kwenye damu

3. Kusafisha mfumo wa chakula

4. Kutibu matatizo ya autoimmunity

Hapa nataka watu wawili tu niwape ofa hii ya dose ya bawasiri sugu na pillow ya kukalia wakati wa kufanya kazi zako.

Gharama yake ni Tsh 300,000/=  (18100ksh) ila kwa atakae hiitaji leo  atalipia Tsh 250,000/= (15000ksh) tu

K**a unahitaji nione inbox na nafasi ni kwa watu wawili tu.

salumu mustapha

Bawasiri_cure_program_1

0757470056

Miongoni mwa kinga na njia muhimu sana ya kuzuia kupata bawasiri na maumivu ya mgongo upande wa chini na kati kwa watu w...
20/02/2024

Miongoni mwa kinga na njia muhimu sana ya kuzuia kupata bawasiri na maumivu ya mgongo upande wa chini na kati kwa watu wanaofanya kazi za kukaa chini kwa muda mrefu (Desk workers) ni kwa kutumia  Donut pillow.

Si hivyo tu k**a tayari unabawasiri au maumivu ya mgongo  na inapata maumivu wakati wa kufanya kazi zako za kukaa basi pia unahitaji Donut pillow kuzuia maumivu hayo.

Donut pillow hutumiwa na wa watu wenye matatizo tofauti tofauti au hutumika na mtu ambaye yupo katika risk ya kupata shida tofauti tofauti zinazosababishwa na kukaa.

Pillow hizi hutumika kuzuia na kuondosha shida za matatizo k**a

1. Bawasiri (Hemorrhoids)

2. Matatizo ya mgongo (Pack pain)

3. Matatizo ya kiuno (Tailbone)

4. Baada ya mama kujifungua (Post pregnancy)

5. Baada ya kuufanya upasuaji wa maeneo ya tumbo (post surgery)

6. Michubuko katika njia ya haja kubwa (Fissures)

7. Matatizo ya mshipa wa nyonga (Sciatica)

Whatsapp us now 0757470056 kupata Donut pillow yako sasa kwa Tshs 100,000/= (KSH 6000) ili uweze kufanya kazi zako kwa usalama na kwa amani zaidi.

Sio kila pillow ni kwajili ya kukalia ili kuweza kuzuia matatizo ya Bawasiri na mgongo jaribu donut pillow sasa...!

OHSO salumu mustapha
Bawasiri cure program 1
0757470056





Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hemorrhoids cure posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram