20/01/2022
UVIMBE KWENYE KIZAZI ( FIBROIDS)* (0689 162599)
Fibroid Ni uvimbe ambao hutokea ndani ya kizazi, ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi ( ukutani mwa kizaz) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi *AINA TATU ZA UVIMBE* ( *FIBROIDS)*
1.Submucosal fibroids ( ndan ya kizazi)
2.Intramural fibroids ( ndani ya nyama ya kizazi)
3.Subserosal fibroids (nje ya kizaz)
*CHANZO CHA UVIMBE*
☑️ Kutopata ujauzito kwa muda mrefu
☑️Kutoa mimba
☑️ Upungufu wa lishe mwilini
☑️Kufa kwa cell, ambapo cell hizo zinapokufa husababisha tatizo la kuvuruga homons na hatimaye kupelekea vimbe kwenye mfumo wa uzazi
☑️ Kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu, mwanamke anapofikisha umri wa miaka 25 - 30 bila kushiriki tendo la ndoa yupo kwenye hatar ya kupata fibroids *WATU WALIO KATIKA HATARI* *YA KUPATA UGONJWA HUU*
🥊Mwanamke ambaye hajawahi kupata mtoto hadi anafikia umri mkubwa
🥊Miaka kuanzia kubalehe hadi hedhi inapokoma
🥊Unene
🥊Kuingia hedhi mapema
*DALILI ZINAZOASHIRIA KUWA MWANAMKE ANATATIZO LA* *UVIMBE*
☑️ Maumivu makali wakati wa hedhi
☑️Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
☑️Maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa
☑️Kupata hedhi zisizokuwa na mpangilio
☑️Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
☑️Kupata maumivu makali ya kiuno wakati wa hedhi
☑️Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi ☑️Kutokwa uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lakini ni mwingi na mweupe
*UVIMBE UNAPOKUWA MKUBWA HUWA NA DALILI HIZI(MADHARA)*
🥊Kukojoa mara kwa mara, hii hali inatokea kwa sababu uvimbe hukandamiza kibofu cha mkojo
🥊Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
🥊Miguu kuvimba
🥊Kupungukiwa damu
*NI KWA NJIA ZIPI UVIMBE KWENYE KIZAZI UNAWEZA KUSABABISHA KUKOSA MTOTO?*
☑️ Fibroids zikikua Sana hukandamiza mishipa ya kupitishia mayai kutoka kwenye ovar
☑️Pia Fibroids huzuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi
☑️ Fibroids huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitishia mayai
*NOTE:Ukifanyiwa operation, usizani uvimbe umeisha unaota pembeni hadi utakapoweka vichocheo sawa* *Uvimbe unatibika kabsa tena* *bila upasuaji* Karibu kwa Tiba na Ushauri. 0689162599