22/03/2025
MWANAMKE SOMA HII NII YAKO::
wanamke kupendelea kunywa maziwa ya mtindi Mara kwa Mara humsaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza kiwango kizuri cha bakteria wanaolinda uke usishambuliwe na fangasi au bakteria wabaya wanaosababisha shombo, miwasho na ukavu sana ukeni.
Amka asubuhi unywe angalau nusu lita ya maji kabla hujala chochote (k**a ukikamulia limau itakuwa poa sana).
Baada ya k**a nusu saa pigilia glass yako ya maziwa mtindi. Ukifanya hivi kwa wiki kadhaa lazima utaona jinsi gani hali ya uke wako inavyobadilika hata,
Muhimu zaidi endelea kujikinga na P.I.D kwa kujiwekea utaratibu mzuri hapo nyumbani kwako....
๐๐ฝ Chai yako iunde kiasili zaidi kwa kutumia viungo k**a iliki, mdalasini, tangawizi, mchaichai, mshona nguo, majani makavu ya mpapai, mlonge, majani ya limau, karafuu, n.k atleast upate vitatu au vinne kati ya hivi na unaweza usiweke sukari ukitumia asali k**a mbadala ni nzuri na utaipenda sana chai yako na kwa sababu ngano (mikate, chapati na mandazi) sio vitu vizuri kwako basi unaweza kuandaa mchemsho wako wa ndizi, au muhogo, au magimbi au hata mayai ili kuisogeza chai yako.
๐๐ฝ Kuhusu mlo wako, iwe mchana au usiku hakikisha hukosi tunda pembeni au mboga ya majani ni muhimu kwa ajili ya kuimarisha kinga yako ya mwili.
K**a unahisi P.I.D yako imekuwa ya muda na imeshakuwa sugu, tunazo dawa asili kwa ajili ya kusafisha mirija, kuondoa uchafu katika uzazi na kuongeza wingi wa homoni ili mzunguko wa hedhi uzidi kubalansi na mayai kupevuka kwa wakati.
k**a unahisi una tatizo lolote katika mfumo wako wa uzazi,bhas usisite kutupigia simu kwa Ushauri bureee,,,,baada ya kushauriana unaweza kuanza na vipimo au kuanza matibabu moja kwa moja
PACKAGE YA MFUMO MZIMA WA UZAZI NI, Tsh 383500/=
Dr. Aswai
Simu / WhatsApp 0743211302