17/10/2025
Timu ya programu ya Nilax ilikutana na Madam May na Madam Stella, wajumbe wa bodi ya Tanzania, kwa kikao cha tafakari kuhusu namna ya kuboresha huduma zetu kwa wateja na wauguzi wetu. Pia tulijadili miradi mipya ya kuimarisha huduma za home-based care. 💙✨