Afya99

Afya99 �Suluhisho la Maradhi ya Moyo,Kisukari,uzito mkubwa na kiharusi/Stroke,uzazi, vidonda Nk
��Ushauri,Elimu na TIBALISHE
� DAWALISHE(Tiba yauhakika)

UMEWAHI KUSIKIA KUHUSU FIBROIDS"(UVIMBE KWENYE VIA VYA UZAZI)Mpaka sasa wataalamu wanashindwa kuelewa nini haswa kinachi...
17/08/2022

UMEWAHI KUSIKIA KUHUSU FIBROIDS"(UVIMBE KWENYE VIA VYA UZAZI)

Mpaka sasa wataalamu wanashindwa kuelewa nini haswa kinachi sababisha uvimbe huo kutokea kwenye mfuko wa kizazi.

Lakini inajulikana kua kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kufanya na kupelekea wanawake kupata uvimbe moja wapo ni

-:mabadiliko ya homoni

▪︎Kutozaa kabisa

▪︎Kuwahi kuvunja ungo(kuvunja ungo kabla ya miaka 10)

▪︎Uzito mkubwa hasa ukiwa na uzito mkubwa wakati wa ujana.

▪︎Kula sana nyama nyekundu

▪︎Uvutaji wa sigara na unywaji pombe kupita kiasi hasa bia.

🤏 uvimbe huu huambatana na kuvuja damu sana wakati wa hedhi .

Matibabu yake yanaweza kua kwa njia mbili upasuaji au kutumia dawa

Lakini mala nyingi ukifanyiwa upasuaji huwa unaludi tena na,zipo dawa zinaweza kuyeyuusha uvimbe kunakua hakuna haja ya upasuaji.

Pia tiba lishe inasaidia sana kuyeyusha hizi vimbe
Zungumza nasi afya99 .

One family one way to make the world happier and healthier place. Afya99

Whatsapp +255764338612

K**a unasumbuliwa na Vidonda vya tumbo na umetumia madawa mengi bila kupona Tupigie simu kwa namba 0764338612 upate Dawa...
06/08/2022

K**a unasumbuliwa na Vidonda vya tumbo na umetumia madawa mengi bila kupona Tupigie simu kwa namba 0764338612 upate Dawalishe ambayo Inakausha Vidonda vya tumbo na kuondoa gesi tumboni.

Kwenye Kitunguu saumu Kuna Allicin ambayo Inalainisha damu na kutanua mishipa ya damu ndio maana kinasaidia kushusha pre...
25/07/2022

Kwenye Kitunguu saumu Kuna Allicin ambayo Inalainisha damu na kutanua mishipa ya damu ndio maana kinasaidia

kushusha presha ya kupanda. Vilevile
Kitunguu saumu ni Antibiotic ya asili ambayo inaondoa Infections kwenye Moyo na kwenye damu kwa ujumla, Mfano wale ambao wanaosumbuliwa na Fangasi sugu au UTI Sugu wanaohitaji kupata Allicin iliyopo kwenye Kitunguu saumu.

Vilevile Garlic inabalance probiotics na Kuboresha mfumo wa usagaji chakula.

Faida kamili ya Garlic huwezi kuipata kwa kutafuna, kumeza punje au kuunga kwenye Mboga.
Leo nimekuandalia Garlic katika viwango vya kitabibu, zipo katika mfumo wa tablets na zimefanyiwa Coating ili kuzuia Acids ya tumboni isiharibu Allicin iweze kuingia kwenye damu na kufanyakazi.

Ukiwa na uhitaji wa hivi virutubisho vinavyotoka na kitunguh swaumu zungumza nasi
Whatsapp +255764338612.

Address

Makumbusho, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255764338612

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya99 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram