Afya Ya Mzunguko Wa Damu

Afya Ya Mzunguko Wa Damu Umoja Wangu

24/09/2022
16/09/2022
12/09/2022

https://wa.me/message/JZHS6K5PHCBPC1
Tezi dume nini ..ni tezi inayopatikana kwa mwanaume tu.
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..

Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.👇
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi

2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.

3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani

4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.

5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo

6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.

7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana.

Name:Dokta Emmanuel James Mwawela
Company:Doctor
Mobile:0624 080 900
Mobile:0769 080 908
Work:emmanuelmwawela77@gmail.com
Notes:Afya Binafsi
https://wa.me/message/JZHS6K5PHCBPC1

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ya Mzunguko Wa Damu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Ya Mzunguko Wa Damu:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram