Mjengaji Afya

Mjengaji Afya Natoa Elimu Na Ushauri Kuhusu
Magonjwa Yanayosababishwa na
Mtindo Wa Maisha.

( Non Communicable Diseases )
Contact Me Now +255657744363
Located: Tanzania , Dar es salaam πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡Έ

28/03/2026

πŸ‡΄πŸ‡²

28/03/2026

Homa ya ini inaweza kufanya tumbo kuvimba kwa sababu ini likiharibika linaanza kushindwa kufanya kazi zake vizuri, hasa kwa wagonjwa wa Hepatitis B au Hepatitis C.

Sababu kuu za tumbo kuvimba:

1. Maji kujikusanya tumboni (Ascites)
Ini likidhoofika hushindwa kudhibiti maji mwilini, hivyo maji hukusanyika tumboni na kulifanya livimbe.

2. Kupungua kwa protini ya albumin
Ini hutengeneza albumin, protini inayosaidia maji kubaki ndani ya mishipa. Ikiwa albumin imepungua, maji hutoka kwenda tumboni.

3. Shinikizo kuongezeka kwenye mishipa ya damu ya ini

Damu inaposhindwa kupita vizuri kwenye ini, husababisha maji kusukumwa tumboni.

4. Ini kuwa na kovu (cirrhosis)
Ini likiwa na makovu mengi, kazi zake hupungua sana na tumbo huanza kuvimba.

Dalili za hatari zinazoweza kuambatana:

πŸ’¦ miguu kuvimba
πŸ’¦ kupumua kwa shida
πŸ’¦ tumbo kuwa gumu
πŸ’¦ kukosa hamu ya kula

Cirrhosis ni hatua ambayo mara nyingi husababisha uvimbe mkubwa wa tumbo.

USHAURI:
Ni Muhimu Kuishi Mtindo Bora Wa Maisha Na Kufanya Checkup Za Mara Kwa Mara
Kwa Usalama Wa Afya Yako

NUTRITIONIST: Mr Anord
Contact: 0657744363

28/03/2026

Njia za kuongeza CD4

1. Kutumia dawa kwa usahihi kila siku
Kwa mwenye HIV/AIDS, dawa za ARV husaidia CD4 kuongezeka taratibu.
2. Kula lishe bora
β€’ Matunda
β€’ Mboga za majani
β€’ Mayai
β€’ Samaki
β€’ Maharage
β€’ Karanga
3. Kupata usingizi wa kutosha
Mwili hujijenga vizuri unapopumzika.
4. Kuepuka stress nyingi
Mawazo mengi hushusha kinga ya mwili.
5. Mazoezi mepesi mara kwa mara
K**a kutembea, kukimbia polepole, au Walking.
6. Kunywa maji ya kutosha
7. Kuepuka pombe na sigara
Hivi hudhoofisha kinga ya mwili.
8. Kutibu maambukizi mapema
Magonjwa ya mara kwa mara hupunguza CD4.
9. Kufuatilia afya hospitalini mara kwa mara
Kupima CD4 na viral load husaidia kujua maendeleo.
10. Kuwa na mtazamo chanya wa maisha 😊
Afya ya akili nayo ina mchango mkubwa.

By The Way
Kuna Virutubisho Muhimu Unaweza Kutumia Na CD4 Zikapanda Mapema

Nitafute: +255657744363
NUTRITIONIST: Mr Anord.

Address

Kimara Stop Over
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjengaji Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mjengaji Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram