28/08/2022
# SABABU 10 ZINAZOSABABISHA TATIZO LA MGOLO👇👇👇-0654929204
1. Kuwa na Kinyesi kigumu (Constipation)
2. Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo
3. Kuharisha (Kuhara) mara kwa mara
4. Kuvimbiwa
5. Kuwa mnene au mzito
6. Kuwa mjamzito
7. Kuingiliwa nyuma kimaumbile
8. Kutokula vyakula vyenye nyuzinyuzi
9. Kuinua/Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara
10. Kunyoosha wakati wa haja kubwa
# ZA UGONJWA WA BAWASIRI
# na dalili za bawasiri kawaida hutegemea aina ya Bawasiri
# YA NJE
Hizi ziko chini na nje ya ngozi karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa. Ishara na dalili zinaweza kujumuisha:
1. Kuwasha katika maeneo yaliyozunguka sehemu ya haja kubwa
2. Maumivu au usumbufu
3. Kuvimba kuzunguka sehemu ya kutolea haja kubwa
4. Mara nyingine yaweza Kuvujadamu au k**a michubuko
5. Kutokwa na kinyama baada ya kwenda haja.
# YA NDANI
Bawasiri ya ndani iko ndani ya sehemu ya kutolea haja. Kawaida huwezi kuziona au kuzihisi, na mara chache husababisha usumbufu. Lakini kukaza au kuwasha wakati wa kupitisha kinyesi kunaweza kusababisha:
1. Kutoa haja/kinyesi chenye damu na maumivu yasiyo makali. Unaweza kuona kiasi kidogo cha damu nyekundu kwenye haja yako.
2. Maumivu na muwasho sehemu ya haja
TIBA YAKE IPO KWA TUMIA VIRUTUBISHO MAALUMU BADALA YA KUFANYIWA UPASUAJI BALI UNAPONA BILA UPASUAJI KWA MUDA WA SIKU 15 HADI 30 TU.