23/10/2024
ZINGATIA HAYA UWEZE KUSHIKA MIMBA:
1. Uwepo wa Yai la mwanamke,lenye ubora, yaani a good quality O**M
2. UPEVUSHAJI YAI, OVULATION, lazima uwepo maana hapa ndipo yai hutoka kwenye mfuko wa mayai na kuingia kwenye mrija kwa ajil ya kukutana na mbegu ya kiume.
3. Mirija yenye uwezo wa kupitisha yai na mbegu za kiume, patent fallopian Tubes,mirija ikiziba mbegu ya kiume na Yai la k**e Haviwezi Kukutana
4. Hormones ziwe zinapanda na kushuka kwa uwiano,yaan balanced hormones,eg siku ya ovulation ili ovulation itokee laazma LUTENAIZING HORMONE IWE JUU. .
5. Mbegu ya kiume yenye ubora (ubora wa muonekano yaani mbegu yenye Kichwa, mkia na kuweza kuogelea na kutembea kwa kasi kufikia Yai na kuweza kurutubisha Yai).
6. Mwanamke Awe na mazingira mazuri kwenye VAGINA,Yaan Va**na PH iwe conducive na isiwe TOO ACID maana inaua mbegu za Kiume
6. Mwanamke awe na OVULATION MUCUS,ute unaotoka siku za hatari TU,ute mzuri k**a ute mweupe wa yai,
Unavutika katikati ya Mikono k**a KAMBA,utafiti unaonesha kuwa huu ute una vitundu vidogo vidogo Kupitisha mbegu za kiume
..na kuzilinda ili zisafiri salama mpaka kwenye kizaz,kisha kwenye mirija.
7. mfuko wa uzazi yaan Uterus wenye uwezo wa kupandikiza yai lilirorutubishwa yaan IMPLANTATION itokee na pia kizazi kiwe na uwezo wa Kuitunza mimba mpaka Mimba ifike miezi 9.
Mwanamke mwenye UVIMBE kwenye kizazi au vijidudu,Infection k**a PID,ENDOMETRITIS,
Anaweza pata mimba ikatoka kirahis.
Maeneo yote hayo yakiwa Vizuri, Mwanamke anapata MIMBA, KIRAHISI ZAIDI, na UWEZEKANO WA MIMBA kutoka unakuwa mdogo sana .
Ikiwa Upo kwenye Changamoto Hii, haushiki mimba Nitumie Ujumbe whatsapp 📨 inbox.
0692173223
Kwani nina Dawa nzuri sana sana na ushauri wa kitaalamu sana kuhusu Uzazi kijumla.