Vicentelife

Vicentelife Bidhaa lishe ndo suluhisho pekee linalotatua changamoto yako ya afya uloibaini na hata ilokosa matib

BAWASIRI HUATHIRI KISAIKOLOJIA, UPUNGUFU WA DAMU, UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
06/09/2022

BAWASIRI HUATHIRI KISAIKOLOJIA, UPUNGUFU WA DAMU, UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Jiji.co.tz✓ More than 624 Vitamins & Supplements in Tanzania for sale ❤ Price starts from ➔ TSh 15,000 in Tanzania ➔ choose and buy Vitamins & Supplements today! ❤

FAHAMU KUHUSU BAWASIRI, KARIBU TUZUNGUMZE KUHUSU SULUHISHO LAKE THABITIhttps://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1📲0627780216Ba...
04/09/2022

FAHAMU KUHUSU BAWASIRI, KARIBU TUZUNGUMZE KUHUSU SULUHISHO LAKE THABITI

https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1

📲0627780216

Bawasiri NI ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine kwenye njia ya haja kubwa na kusababisha kutoka kinyama au uvimbe. Inakadiriwa kuwa karibu 50% ya watu wazima wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri WA miaka 30-40

DALILI ZA BAWASIRI
🍗ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
🍗 kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
🍗kutoka uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
🍗 kujitokeza kinyama katika eneo la tundu la haja kubwa
🍗choo kigumu k**a cha mbuzi
🍗 kutoka damu wakati WA kupata haja kubwa

MATATIZO YA BAWASIRI
♦️ kupata Upungufu wa damu
♦️ kupata tatizo la kutoweza kuhimili Choo
♦️ Hupungunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa
♦️ kuathirika kisaikolojia
♦️kukosa morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu makali

SULUHISHO
Tunafahamu watu wengi husumbuka na hili tatizo la BAWASIRI tumekuandalia program ambayo unapochukua jukumu la kuitumia inakupa manufaa mengi muhimu kwa afya yako. KARIBAu

https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1

📲+255627780216

Urijali katika tendo NI hitaji la kila mwanaume anaejithamini kwa.https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1. 👉🏼♦️ kuongeza ha...
18/08/2022

Urijali katika tendo NI hitaji la kila mwanaume anaejithamini kwa.https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1. 👉🏼♦️ kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la NDOA kwa mwanaume ♦️kufungua mishipa midogo ya kwenye uume hivyo humfanya mwanaume kukaa mda mrefu kwenye tendo na kumridhisha mwenza wako

Mifupa Bora ya kesho inahitaji lishe Bora ya Leo.  https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1.      Disc iki bulge inakandamiz...
13/08/2022

Mifupa Bora ya kesho inahitaji lishe Bora ya Leo. https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1. Disc iki bulge inakandamiza mishipa ya fahamu au nerves Maumivu yake ni makali mno K**a mishipa ya fahamu ikikandamizwa kwa muda mrefu tatizo la ganzi hutokea au hali ya kuhisi vitu vinachomachoma kwenye eneo husika lililo athiriwa Mara nyingi maumivu huegemea upande mmoja tu K**a unavyoona kwenye picha nerve imekandamizwa na huo mshipa ndio unasambaza maumivu,usisubiri mpaka kufika kwenye ganzi Kuna sababu nyingi zinazo sababisha disc kuvimba ikiwemo ajali pamoja na uzito mkubwa Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi. https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1

Mifupa Bora ya kesho inahitaji lishe Bora ya Leo.  https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1.  Disc iki bulge inakandamiza mi...
13/08/2022

Mifupa Bora ya kesho inahitaji lishe Bora ya Leo. https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1. Disc iki bulge inakandamiza mishipa ya fahamu au nerves Maumivu yake ni makali mno K**a mishipa ya fahamu ikikandamizwa kwa muda mrefu tatizo la ganzi hutokea au hali ya kuhisi vitu vinachomachoma kwenye eneo husika lililo athiriwa Mara nyingi maumivu huegemea upande mmoja tu K**a unavyoona kwenye picha nerve imekandamizwa na huo mshipa ndio unasambaza maumivu,usisubiri mpaka kufika kwenye ganzi Kuna sababu nyingi zinazo sababisha disc kuvimba ikiwemo ajali pamoja na uzito mkubwa Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi. https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1

Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi Leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili Yao.  https://wa.me/mess...
09/08/2022

Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi Leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili Yao. https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1 Baini hili kwa KUZINGATIA dalili zifuatazo♦️ matatizo ya ngozi; miwasho,chunusi, vipele♦️kuwa na Uzito wa kupindukia♦️kutopata choo, kukosa Choo, tumbo kujaa gesi♦️mvurugiko WA hedhi♦️kukosa usingizi, kuhisi kuchoka Sana. 📲CHUKUA HATUA EPUKA homa ini, maambukizi ya figo. Karibu kwa ushauri na TIBA THABITI. https://wa.me/message/XOXM5YHKCQ65D1

Zingati Haya Kuimarisha Misuli Yako Ya Uume..1.Punguza uzito mkubwa na kitambi.Kitambi na uzito ni adui wa afya yako, si...
03/08/2022

Zingati Haya Kuimarisha Misuli Yako Ya Uume..
1.Punguza uzito mkubwa na kitambi.
Kitambi na uzito ni adui wa afya yako, si tu katika tendo la ndoa, kitambi ni chanzo cha uume kuwa mfupi. wingi wa mafuta mingi mwilini huziba misuli yako ya uume..
2.Mazoezi ni muhimu kwa uume kulegea..
Watu wengi wanashindwa kusimamisha uume na kwa sababu tu mwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbalimbali. mazoezi husaidia kusukuma damu kwenye njia za uzazi.
3. Punguza msongo wa mawazo
Matatizo ya kisaikologia k**a msongo wa mawazo huathiri uwezo wako wa kufanya ngono kwa uzuri na kukupelekea heshima ya ndoa kupungua, hivo hakikisha unabalansi kazi za kimaisha zisiathiri tendo la ndoa.

4..Punguza Vyakula Vya Ngano na Sukari...
Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika. Vyenye vionjo vya sukari, rangi na ladha katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako. Hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume.
5.Tumia virutubishi na Tiba asili zenye ubora
Hakikisha mwili wako unaupa madini ya msingi k**a zinc,chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi. Madini haya ndiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki kwani huwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwango kizuri na kuimarisha mwili wako.
Lakin habar njema ni kwamba tuna bidhaa bora za virutubisho lishe ambavyo vitakusaidia kutibu tatizo lako la nguvu za kiume , naomba TUWASILIANE kwa simu namba 0627780216
WHATSAPP ili uweze kupata SULUHISHO la KUDUMU

SABABU MADHARA YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU Mawasiliano     📲0627780216https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxa...
18/07/2022

SABABU MADHARA YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU

Mawasiliano
📲0627780216
https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxad3tyJTD

💎Sababu, madhara ya kukosa choo ‘Constipation’ Tatizo la kukosa choo (constipation) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi sana katika dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha tatizo hili na vipi kuliondoa tatizo hili na wengine wamekuwa wakilipuuzia bila kujua madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na tatizo hili. kukosa choo hutokea pale mtu anakula vizuri lakini unakata siku tatu hadi nne bila kupata choo.

♦️Ukiona unakula kutwa mara tatu na unakaa siku mbili hadi tatu huendi chooni au unatoa choo kigumu k**a mbuzi hilo ni tatizo kwako.

♦️ Tafiti zinaonyesha mtu anaweza kupoteza maisha k**a atakosa choo kwa siku tano hadi saba mfululizo. Watu wengi hulidharau tatizo hili lakini linamadhara makubwa tofauti na wanavyofikiria.

♦️Zipo sababu za kukosa choo, k**a ifuatavyo::

🩸 Kupenda kula saana vyakula vilivyokobolewa k**a vile ugali wa sembe, mikate.

🩸 Ukosefu wa mbogamboga za majani na matunda ya faiba k**a machungwa huongeza tatizo hili, kila mtu unatakiwa kula matunda aina mbili na mboga za majani aina mbili kila siku.

🩸 Matumizi makubwa ya pombe na sigara.

🩸 Unywaji mdogo wa maji, Kila mtu anapaswa kunywa maji kwa kiwango cha chini lita 3 kila siku na usinywe maji wakati unakula, kunywa maji nusu saa kabla au baada ya kula.

🩸 Matumizi mabaya ya madawa. Mfano dawa za presha, aleji n,k.

🩸Kuugua kisukari au ugonjwa wa misuli. Kansa ya utumbo mpana.

💎Yafuatayo ndiyo madhara yatokanayo na kokosa choo;

♦️ Unaweza kuugua saratani ya utumbo mpana.
♦️Unaweza kupata tatizo la tumbo kujaa gesi.
♦️ Figo yako inaweza isifanye kazi vizuri.
♦️ Unawezasababisha magonjwa ya moyo.
♦️ Unaweza pata tatizo la kukak**aa mishipa ya damu ambapo utasababisha miguu kuwaka moto na ganzi miguuni au mikononi
♦️ Unawezasababisha magonjwa ya ini
♦️ Unawezapata kisukari
♦️ Kuongeza lehemu (cholesterol)nying kwenye damu Vitambi visivyo tarajiwa na nk

💎☑️Zipo njia nyingi ambazo hutumika kuondoa tatizo hill Ila njia njema na nzur ni ile yenye uwezo wa kutoa mafuta yalio zid kwenye mwili kuondoa kitambi na Kuongeza nyuzi nyuzi kwa wingi mwilin Vitu hivyo vyote unaweza kuzipata katika matunda

♦️ Pia Ipo bidhaa maalumu yenye mchanganyiko wa matundo na mboga mboga hiyo inaweza kuondoa hilo tatizo bila kuacha madhara katika mwili

👉🏼👉🏼Kumbuka vyanzo vingi vya magonjwa huanzia tumboni ivyo tafuta suluisho LA tatizo hili ili kujikinga na magonjwa mbali mbali

♦️ Kwa ushaur zaidi unaweza kuwasiliana nasi Tupo
Dar es salaam
Dodoma
Arusha
Morogoro
Mawasiliano
📲0627780216
https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxad3tyJTD
KARIBU

17/07/2022

♻️ VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Mawasiliano
📲0627780216
https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxad3tyJTD

♨️Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi.

♨️Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

💎Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume

♦️- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini

♦️- Uwepo wa sumu nyingi mwilini

♦️- Kutokufanya mazoezi

♦️- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

♦️- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
♦️- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

♦️- Msongo wa mawazo ( Stress )

♦️- Magonjwa ya zinaa

♦️- Umri mkubwa

♦️- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

♦️- Historia ya Familia (Kurithi)

♦️- Sababu za kimazingira (Ethnicity)
*kwasababu yoyote Ile, kwa stage yoyote uliyofikia, karibu tukuhudumia na kukupatia tiba juu ya kutanuka kwa tezi dume AU k**a unapitia changamoto yoyote ya uzazi kwako mwanaume....... Karibu tukuhudumiee*

Mawasiliano
📲0627780216
https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxad3tyJTD

♻️ VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKAMawasiliano  📲0627780216https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxad3tyJTD♨️Tat...
16/07/2022

♻️ VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Mawasiliano
📲0627780216
https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxad3tyJTD

♨️Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi.

♨️Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

💎Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume

♦️- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini

♦️- Uwepo wa sumu nyingi mwilini

♦️- Kutokufanya mazoezi

♦️- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

♦️- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
♦️- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

♦️- Msongo wa mawazo ( Stress )

♦️- Magonjwa ya zinaa

♦️- Umri mkubwa

♦️- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

♦️- Historia ya Familia (Kurithi)

♦️- Sababu za kimazingira (Ethnicity)
*kwasababu yoyote Ile, kwa stage yoyote uliyofikia, karibu tukuhudumia na kukupatia tiba juu ya kutanuka kwa tezi dume AU k**a unapitia changamoto yoyote ya uzazi kwako mwanaume....... Karibu tukuhudumiee*

Mawasiliano
📲0627780216
https://chat.whatsapp.com/IIFgj9wVgwq4Wxad3tyJTD

MADHARA MAKUBWA YA PUNYETO KWA MWANAMKE. https://chat.whatsapp.com/FDIcpyOEbaN8tvXoyNRzpCMaana ya punyeto kwa mwanamkeSa...
07/07/2022

MADHARA MAKUBWA YA PUNYETO KWA MWANAMKE.

https://chat.whatsapp.com/FDIcpyOEbaN8tvXoyNRzpC

Maana ya punyeto kwa mwanamke
Sababu
Vihatarishi ,madhara yake Na TIBA kwa waloathirika

💎 Punyeto kwa wanawake ni nini?

Punyeto ni hali ya mtu kujichezea nyeti zake na sehemu nyingine za mwili na kujiridhisha. Ni njia za kutumia mbadala wa mwanaume ili kujimaliza hamu zake za mapenzi.

Punyeto kwa wanawake hufanyika katika njia tofauti kulingana na maamuzi au upeo wa elimu ya muathirika (mfanyaji)

Baadhi yao huchezea uke na kujiridhisha, wengine hutumia vifaa vyenye maumbile yanayofanana na uume k**a vile midoli (d***o), tango, karoti, biringanya ndefu, ndizi na kadhalika.
Lakini pia wapo ambao hutumia mashine maalum za umeme zenye kutetema (vibration) ambazo huzitumbukiza ndani ya uke na kisha kuiwasha kwa ajili ya kumsisimua.
K**a unafahamu njia nyingine zaidi unaweza kutuambia, 0621585468(kwa lengo la kujifunza)

💎. Visababishi vya punyeto kwa wanawake
Kwanini wanawake hujichua? (punyeto)
Sababu ni nyingi ambazo hupelekea mwanamke hujikuta amekuwa mraibu wa kujichua. Kutokana na utafiti wangu ambao nimeufanya hapa nitakupa sababu 5 tu kubwa.
♦️. Vishawishi (makundi)
♦️ Kutokuridhishwa na wapenzi wao
♦️. Upweke
♦️. Utandawazi / Teknolojia
♦️ Kuzidiwa na hisia za mapenzi

💎 Vihatarishi / vichochezi vya kujichua kwa mwanamke

♦️. Kuangalia picha za ngono
♦️. Kujichezea kwa muda mrefu bila sababu
♦️. Kusoma makala au kutazama video zinazo hamasisha jambo hilo kwa kuamini kuwa halina madhara.

💎. Madhara ya punyeto kwa mwanamke
Hapa ndipo haswaa somo letu lilipo. Je unayafahamu madhara ya mwanamke / msichana kujichua?

Madhara haya lazima mojawapo likutokee k**a ikiwa umeingia katika tabia hiyo.

Madhara yaweza kukukutokea baada ya muda mrefu au muda mfupi;-

♦️. Kutojua thamani ya mwanaume.

K**a una uwezo wa kujimaliza haja zako mwenyewe bila ya mwanaume kuna haja gani ya kuwa naye? Hapo utajiona kuwa wewe ndiye kila kitu na mwanaume wa nini?
Hii itakupelekea hata kutokuona umuhimu wa ndoa au mahusiano. Umri unakwenda mwisho wa siku unajikuta unazeeka bila mtoto wala mume.
'Shauri yako'

♦️. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Hapa ni kwa wale wanaojichua lakini ana mpenz wake au mume wake. Mchezo huu ukisha kukolea basi unakuwa huna hisia za karibu na mumeo.
Kuna muda unafika hamu yako inakuwa ni kwa vile vifaa ambavyo ndivyo hukuridhisha k**a tulivyoviorodhesha hapo juu.
'Sasa mtu mzima ukiona tango unalitamani una akili kweli?'

♦️. Maumivu ukeni
Maumbile ya mwanaume ni tofauti na vifaa wanavyotumia wanaopiga punyeto. Vifaa vile ni vigumu na vikubwa wakati mwingine kuliko maumbile halisi ya mwanaume.
Msuguano unakuwa mkubwa na usio rasmi kiasi cha kusababisha mauviu baadaye hisia zako zikishaisha.
'Unalijua tango wewe? Kwanini uke usiume?'

♦️ Uke kulegea
Hii inataka kufanana na nukta nambari tatu hapo juu. Lakini hapa ni uke kulegea na kupoteza mvuto.
Kutokana na madude hayo wanayotumia hao akina dada, hupelekea kutanuka sana kwa mishipa ya uke na hatimaye kuzidi kiwango cha uume halisi.
'Hapo utasikia yule kaka ana kibamia'

♦️. Msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo na fadhaa huja pale ambapo wanawake wenzako wanasifu kuhusu kazi nzuri za wanaume wao, hapo ndipo utajiona mkosaji na kutamani aridhi ipasuke uingie ndani.

'Ni pale unapofikiria kuwa mumeo ni tango na karoti'

♦️. Uchovu
Nguvu unayoitumia ni kubwa kwasababu wewe ndiye mwanaume na wewe ndiye mwanamke (unajiridhisha mwenyewe).
Hii husababisha uchovu mwingi na endelevu katika maisha ya kila siku hasa kwa wanaojichua kwa zaidi ya mara moja kwa siku.

♦️. Kupoteza uwezo wa kufikishwa kileleni
Kutokana na kuathirika kisaikolojia na madude ya kutengeneza basi unajikuta mwanaume hata afanyeje hawezi kukuridhisha.
Unamsubiri amalize tu haja zake kisha unazunguka zako nyuma au uwani kisha unamaliza mchezo wako.
'Uraibu huu ni m baya sana'

♦️. Mikosi na laana kwa Mungu
Unatumiaje chakula kukitumbukiza sehemu za siri? Hii ni laana ya wazi wazi na husababisha mikosi katika maisha.
Mungu hadhihakiwi ndugu yangu, kuliko kutumia vyakula heri uchonge mtu wako ujiumize mwenyewe upate maradhi .
MWANAMKE USIONE AIBU, LONGA NASI 0621585468 SMS,wasap,call, texts, UPATE HUDUMA YA DAWA LISHE ASILIA, KUONDOA MADHARA YOTE YA KUJICHUA NA KUKUONGEZEA HAMU YA TENDO UWAPO NA MWENZA WAKO.

Mawasiliano
📲0627780216

TUNATIBU PIA MAGONJWA MENGINE K**A
♦️,Fangas sugu,
♦️ UTI sugu.
♦️, PID
♦️, mvurugiko wa homoni,kukosa hedhi au kuipata kwa mda mrefu
♦️vidonda vya tumbo, bawasiri,choo kigumu,tumbo kujaagesi Na MENGINE MENGI.

Mawasiliano
📲0627780216

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vicentelife posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Vicentelife:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram