23/11/2022
Part 01: HIVI HAPA NI VYAKULA 5 BORA KATIKA KUNENEPESHA NA KUREFUSHA UUME. _________________________________________________ Kwa wale walio na saizi ndogo ya uume, Kile ambacho watu wengi hawajui ni njia ya "asili" ya kuongeza uume kutoka inchi 5 hadi 7.5 zinazohitajika na hiyo inajumuisha pia upana wake. DR.LISHE leo nimekuletea vyakula 5 vinavyosaidia kuongeza ukubwa wa uume wako. 1. VITUNGUU. Utafiti unaonyesha kuwa vitunguu ni vizuri kwa kuleta mzunguko wa damu mwilini hadi moyoni na kwenye viungo vya mwili k**a vile kwenye uume. Zaidi ya hayo, matumizi ya vitunguu husaidia kuzuia damu kuganda(blood clottings). Lakini kile ambacho watu hutambua mara chache ni kwamba vitunguu husaidia sio tu mtiririko wa damu kwa moyo, lakini pia kwa mtiririko wa damu kwenye uume na kusaidia kupeleka virutubisho muhimu vya uume na kuufanya kukua na kuongezeka. 2. NDIZI MBIVU. Kulingana na tafiti nyingi, wanaume walio na moyo wenye afya wanaweza kuongeza ukubwa wa uume wao kwa inchi kadhaa kutokana na kutokuwa na
Part 02: HIVI HAPA NI VYAKULA 5 BORA KATIKA KUNENEPESHA NA KUREFUSHA UUME.
_________________________________________________
4. SANGARA(samaki).
K**a nilivyogusia vitunguu, hata sangara(samaki) ni vyakula ambavyo hutoa mtiririko mzuri wa damu na vimethibitishwa kuwa vinasaidia kuimarisha uume na misuli yake.
Samaki aina ya sangara amebeba kwa wingi Omega 3 na mafuta mengine mazuri ambayo husaidia kuleta mtiririko wa damu mzuri kwenye uume na afya ya mwili kwa ujumla.
5. TIKITI MAJI.
Matikiti maji yana kiasi kikubwa cha-citrulline amino acid, ambayo husaidia katika kuongeza ukubwa wa uume.
Tunda hilo hubadilishwa kuwa asidi ya amino ya L-arginine ambayo huchochea utengenezaji wa nitriki oksidi, na kuongeza mtiririko wa damu kwenye uume.
Inasaidia katika kupanua mishipa ya damu ya uume na kuunenepesha.
Matumizi ya mara kwa mara ya tikiti maji inaweza kukusaidia kwa urahisi mwanaume kupata inchi zaidi ya ukubwa wa uume wako