Mbonde Afya

Mbonde Afya afya ya jamii

Fahamu Ovulation (kupevuka kwa yai ni nini), na namna ya kutambua siku zinazohusika nayo.Ovulation ni nini?Ovulation (ku...
22/01/2025

Fahamu Ovulation (kupevuka kwa yai ni nini), na namna ya kutambua siku zinazohusika nayo.

Ovulation ni nini?
Ovulation (kupevuka kwa yai) ni pale yai moja au zaidi yanaachiwa kutoka kwenye moja ya ovari(mifuko ya mayai) yako. Hii hutokea karibia na mwishoni mwa muda ambao una uwezo wa kupata mimba katikati ya mzunguko wako wa hedhi.
Kila mwezi, kati ya mayai 15 hadi 20 yanakua ndani ya ovari zako. Yai lililokua zaidi hutolewa na kusukumwa kwenye mirija yako ya uzazi (fallopian tubes) inayounganisha ovari zako na tumbo lako la uzazi. Mifuko yako ya uzazi sio kwamba inapokezana kutoa yai kila mwezi. Hili hutokea bila mpangilio maalumu.

Lini nipo kwenye uwezo wa kupata mimba?
Ili kupata ujauzito kwa njia ya kawaida, moja ya yai na mbegu kutoka kwa mwenza wako lazima vikutane kwenye mirija yako ya uzazi. Yai lako haliwezi kuwa hai kwa zaidi ya saa 24 baada ya kuwa kwenye ovulation. Kwa hiyo kukutana kwa yai na mbegu lazima kutokee ndani ya muda huu.
Kwa upande mwingine, mbegu za mwanaume huweza kuwa hai hadi kufikia siku saba. Wataishi kwa raha tuu kwenye uke, mfuko wa mimba, au kwenye mirija ya uzazi kwa muda wote huu.
Hii inamaanisha, sio lazima uhesabu muda sahihi kabisa ukiwa unaovuleti kuweza kupata ujauzito. Ki uhalisia una jumla ya siku sita kwenye mzunguko wako ambazo unaweza ukashika mimba. Kwa hiyo k**a ukifanya ngono katika kipindi hiki, yai lako lililopevuka tayari linaweza likakutana na mbegu yenye afya na kuchavushwa.

Ni wakati gani Ovulation inatokea?
Ovulation mara nyingi hutokea kati ya siku 12 hadi 14 kabla ya hedhi kuanza. Hii ni wastani tu wa makadirio, hivyo inaweza ikawa ni siku chache kabla au baada.

Kwa mfano, tuseme una mzunguko wa kawaida wa hedhi wa siku 28. Hesabu siku ya kwanza ya kuona hedhi yako k**a siku ya kwanza. Siku za wewe kuweza kupata mimba ni kati ya siku ya 10 hadi ya 15.

Vilevile, wanawake wengi wana mizunguko inayotofautiana. Ovulation inaweza kutokea wiki moja kabla au baada kutoka mwezi mmoja hadi mwingine.

Zipi ni dalili za Ovulation?
Utaanza kuziona dalili za kuwa kwenye ovulation karibu siku tano kabla ya kuovulate. Kujaribu kuelewa mzunguko wako kwa kutumia tarehe za mzunguko wako pekee haitakupa majibu sahihi. Hii ndio maana kuwa na uwezo wa kugundua dalili za mwili wako kipindi upo kwenye ovulation na una uwezo wa kupata ujauzito ni muhimu.
Dalili kuu na viashiria vya ovulation vinajumuisha:

• Mabadiliko ya ute kwenye mlango wa uzazi
• Kuongezeka joto la mwili
• Maumivu ya tumbo
• Maumivu ya maziwa yanapoguswa
• Kuwa na hamu ya mapenzi kuliko kawaida

Mabadiliko ya ute kwenye mlango wa uzazi
Ute wa mlango wa uzazi ni ute ute unauouna kwenye chupi au kwennye “toilet paper” unapokwenda kukojoa.
Mabadiliko ya ute wa mlango wa uzazi ni alama ya kuwa upo kwenye dirisha la kuweza kupata mimba. Baada ya hedhi kuisha ute wa mlango wako wa kizazi huongezeka kwa ujazo na hubadilika pia hali yake.

Mabadiliko haya yanaendana na kuongezeka kwa kiwango cha homoni ya “Oestrogen” kwenye mwili wako. Pia inaonesha umekaribia kuovulate.

Utakuwa zaidi kwenye uwezo wa kupata mimba k**a ute ute ule unakuwa k**a hauna rangi (clear), unateleza sana na unavutika. Utafanana k**a sehemu nyeupe ya yai ukilivunja. Huu ute ute huzisaidia mbegu kuwa na spidi zaidi wakati zinaogelea kuelekea kwenye mfuko wako wa kizazi. Huilisha na kuilinda mbegu inapokuwa inasafiri kuelekea kwenye mirija yako ya uzazi (fallopian tubes) kukutana na yai lako.

Maumivu ya tumbo
Mwanamke mmoja kati ya watano huwa anasikia kitu kinaendelea kwenye mifuko yao ya mayai (ovaries) wakati wa kipindi cha ovulation. Hii inaweza ikatokea k**a maumivu madogo madogo au maumivu yanayovuta na kuachia.
K**a ukizihisi dalili hizi katika kipindi kilekile kila mwezi, angalia ute ute wa mlango wako wa kizazi. Maumivu ya kipindi cha ovulation yanaweza yakawa ni njia ya kukuwezesha kutambua kuwa una uwezo wa kupata ujauzito.

Hisia za mapenzi
Hisia za mapenzi, kuwa muongeaji zaidi au kujitongozesha zinaweza kuwa ni dalili pia kuwa upo kwenye ovulation.
Unaweza ukaona hamu yako ya ngono ipo juu kabisa kipindi hiki. Unaweza ukatambua kwamba mwenza wako anakuwa karibu zaidi na matokeo yake anakupa umakini zaidi. Hili lina ushahidi wa kidaktari!
Unaweza usitambue, ila unaweza ukawa unaonesha dalili nyingine ukiwa kwenye siku za kuweza kupata mimba. Kumbuka mizunguko yako ya hedhi ya nyuma na unaweza ukakumbuka yafuatayo kutokea:

• Kuonekana na kujisikia vizuri: una uwezekano wa kujihisi una mvuto zaidi kimuonekano kadiri unavyokaribia ovulation. Unaweza ukawa unavutiwa na wengine zaidi pia katika kipindi hiki. Bila kutambua kwa mfano unaweza ukajikuta umechagua nguo zinazokuvutia na kuvutia wengine zaidi kimapenzi kwenye kipindi hiki.
• Manukato ya mwanamke: unanukia vizuri katika kipindi hiki. Harufu ya mwili wako ni nzuri na inavutia kimapenzi wanaume katika kipindi hiki. Unaweza ukahisi hakuna mtu yoyote anatambua upo kwenye ovulation, lakini harufu hizi zinaweza zikatoa siri.

Nitawezaje kuongeza uwezo wangu wa kupata mimba?
Jaribu kufanya tendo la ndoa kila baada ya siku mbili au tatu. Mbegu zenye uogeleaji mzuri zitakuwa sehemu husika siku yoyote ukiwa kwenye ovulation. Tendo la ndoa mara kwa mara kwenye mzunguko wako wote inakupa uwezo mkubwa wa kushika ujauzito.inshaAllah

Kufanya tendo la ndoa wakati mlango wa kizazi chako una ute, unateleza na upo kwenye hali ya kuzipokea mbegu itaongeza uwezo wako wa kupata ujauzito. Kwa wapenzi wenye uzazi salama, wana uwezo kati ya asilimia 20 hadi 25 wa kupata ujauzito kwa kila mzunguko wa hedhi.

Zaidi ya asilimia 80 ya wanawake chini ya miaka 40 ambao hufanya tendo la ndoa kwa kawaida bila kutumia uzazi wa mpango hupata mimba kila mwaka. Zaidi ya asilimia 90 ya wenza wapya hupata ujauzito ndani ya miaka miwili.

Wasiliana nami au whatsapp namba
0742998188 whatsapp
0618398188 calls
yapo Wahi tuwahi
0688448582 calls

: Zipo sababu nyingi Sana ambazo zinaweza kuongeza hatari ya Kupata ugonjwa wa kiharusi ambazo ni ;1.Kuwa na uzito mkubw...
11/01/2025

: Zipo sababu nyingi Sana ambazo zinaweza kuongeza hatari ya Kupata ugonjwa wa kiharusi ambazo ni ;
1.Kuwa na uzito mkubwa na unene kupita kiasi.

2.Kutokufanya mazoezi

3.Kunywa Pombe kupita kiasi

4.Matumizi ya madawa ya kulevya

5.Ulaji wa vyakula vya wanga na Mafuta mengi

6.Kuwa na Shinikizo la juu la damu/Presha ya kupanda

7.Uvutaji wa sigara kupindukia

8.Kuwa na kiwango kingi Cha Cholesterol kwenye Damu

9.Wagonjwa wenye kisukari

10.Kukosa usingizi usiku/Sleeping Apnea

11.Maradhi ya Moyo K**a vile Chembe ya Moyo, Shambulio la Moyo,

12.Historia ya Familia/Genetics

13.Maambuzi ya Uviko 19(Covid 19) kutokana na KUGANDA kwa damu kunakosababishwa na Infections. K**a una tabia mojawapo Kati ya hizi upo katika hatari ya Kupata stroke au Kiharusi. Chukua hatua mapema.

Wasiliana nami au whatsapp namba
0742998188 whatsapp
0618398188 calls au simu📞
By mbonde Afya yapo Wahi tuwahi

10/12/2024

Zoezi la kushikika mimba linategemea sana upevushwaji wa mayai (ovulation), wanawake WENGI hawazifahamu kabisa siku zao za hatari ni zipi, Naomba Leo ujifunze kitu hapa

Kuna kundi la Wanawake ambao siku zao za hatari huanza pamoja na siku ya hedhi, yaani siku anaanza kuona damu siku hiyohiyo yai lingine linaanguliwa wakati kiafya siku hii ni siku ya yai lingine kuanza safari ya kupevushwa,

Kuna kundi la Wanawake ambao siku anamaliza hedhi, siku hiyo hiyo anaingia siku za hatari,

Kundi lingine ni la Wanawake ambao siku zao za hatari huanza siku ya 4, 5, 6, 7, 8 na 9 toka siku ya kuona hedhi ( hasa wale wenye mzunguko wa siku 20/21)

Kundi lingine huànza siku ya 11 toka siku ya kuona hedhi (hasa wale wenye mzunguko wa siku 25/26)

Wengine siku ya 13/14 toka siku ya kuona hedhi (hasa wale wenye mzunguko wa siku 27/28-29)

Wengine siku ya 19-21 toka siku ya kuona hedhi (Hawa ni wale wenye mzunguko wa siku 31-45) na hawa ni wachace sana

Usiishi kwa kukariri kuwa Kila mwanamke anaanza siku za hatari siku ya 11-14 Toka aingie hedhi, hakikisha unajumlisha mizunguko isiyopungua minne kisha gawanya kwa idadi ya miezi ili kupata wastani wa mizunguko ya hedhi zako.

Kitu kingine, k**a hedhi yako ni ya kimamruki sana, yaani haitabiriki, kuwa na desturi ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara au Kila baada ya siku 1 hasa wakati wa alfajiri kwani kipindi hiki Homoni Huwa ziko juu hasa testosterone, Oestrogen na progesterone

MATIBABU YAPO WAHI TUWAHI
CALLS:0618398188
WHATSAPP:0742998188
Mbonde Afya or Matibabu_Ibrah

09/08/2024

VIDONDA VYA TUMBO

ni ugonjwa ambao hutokea baada ya kuwepo kwa vidonda kwenye kuta za utumbo wa mwanadamu. Ambavyo hutokana na kuzidi kwa tindikali yenye kazi ya kuyeyusha chakula kiingiapo mwilini .

VISABABISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO 1️⃣msongo wa mawazo
2️⃣matumizi ya pombe
3️⃣matumizi ya kahawa kwa wingi
4️⃣uzaifu wa mwili katika kuzalisha ute.

DALILI ZA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO

1️⃣kupata maumivu makali ya tumbo
2️⃣tumbo kujaa gesi
3️⃣kukosa hamu ya chakula
4️⃣uchovu wa mwili
5️⃣mwili kukosa nguvu
6️⃣kupelekea kutapika.

MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO

1️⃣kutapika damu na kuhara damu
2️⃣kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi
3️⃣kupelekea kansa ya utumbo k**a tatizo litachelewa kupatiwa matibabu mapema
4️⃣kifo k**a mgonjwa hatapata matibabu mapema.

*JITIBU LEO TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO KWA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU*

*USIOGOPE KUANZA DOZI LEO, NA SHUHUDA ZA WATU 120 WALIOPONA KABISA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO MWAKA HUU TANGU MWEZI 1 KWA WALIANZA DOZI YANGU YA VIDONDA VYA TUMBO* MAWASILIANO NA MSAADA ZAIDI NICHEKI.
Matibabu yapo Wahi tuwahi wasiliana nami
0688448582 au whatsapp namba 0742998188

Fahamu kiundhani zaidi kuhusu changamoto ya PID 👇🏽IJUE PID>Maana>sababu>madhara>Na matibabu🔹Pelvic Inflammatory Desease(...
09/07/2024

Fahamu kiundhani zaidi kuhusu changamoto ya PID 👇🏽
IJUE PID
>Maana
>sababu
>madhara
>Na matibabu

🔹Pelvic Inflammatory Desease(P. I. D) ni ugonjwa unaoshambulia via vya uzazi vya mwanamke yani ndani ya kizazi cha mwanamke huanza nje ya kizazi Kisha kusambaa hadi ndani ya nyumba ya uzazi

🔹PID Huweza kusababishwa Na mambo yafuatayo

(I)UTI sugu baada ya UTI kukomaa bacteria wake husambaa kutoka kwenye via vya mkojo mpaka kwenye via vya uzazi Kisha kusababisha PID

(II)Kujamiana Na mwanaume aliebeba vimelea vya PID ikumbukwe kuwa PID haimpati mwanaume ila mwanaume anaweza kuubeba ugonjwa huu kutoka kwa mwanamke mmoja kwenda kwa mwanamke mwengine.

(iii) Fungus sugu Pia Inaweza kuwa sababu ya ugonjwa huu kwababu fungus husababishwa Na uchafu hivyoo bacteria wanaoshambuli outer part ya uke huweza kusambaa mpaka ndani ya via vya uzazi na kusababisha PID kadri wanavyozaliana na kusambaa katika kizazi, hivyo kizazi kuwa na Funguses

(iv) Utoaji wa mimba hii Pia husababisha ugonjwa wa PID Kwasababu utoaji wa mimba hasa wa kienyeji huacha uchafu ndani ya via vya uzazi vya mwanamke ni ngumu sana huupuka ugonjwa huu baada ya kutoa mimba hasa kwa njia za kienyeji au matumizi ya dawa za kutoa ujauzito ambao hauwezi kusafisha kizazi baada ya mimba kutoka. Uchafu huvutia bacteria kuishi na kushambulia via vya uzazi.

(v) Usagaji Pia unaweza kukusababishia kuwa ktk hatari ya kupata ugonjwa Huu Kwasababu kitendo hichi huhusisha directly uke Na uke hivyoo ikitokea mmoja Kati ya Hawa Na maambukizi ya PID ni rahisi sanaa kupata ugonjwa huu

🔹Madhara ya PID ni mkubwa sana, ni ugonjwa unaoshambulia via vya uzazi vya mwanamke, hivyo hupelekea seli za mwili/kinga ya mwili kuwa chini na huweza kusababisha madhara yafuatayo
>>Cancer ya shingo ya kizazi
>>ugumba wa kudumu
>>kifo

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi tafadhali
0742 998 188 au 0688448582 (Mbonde Afya)
Piga simu Au WHATSAPP

SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEvisababishi ni1.punyeto2.Kukosaa chakula au mlo bora3.kula na kunywa vilevi hata mad...
07/07/2024

SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

visababishi ni
1.punyeto
2.Kukosaa chakula au mlo bora
3.kula na kunywa vilevi hata madawa ya kulevya.
4. Kazi nzito
5. Mawazo kuwaza sana kabla ya tendo.
6. Kukosa vyakula vya kuongeza hamu kwenye tendo.
Hormone na magonjwa tuweke kando lets talk about hizo external factors hapo juu.

dalili za nguvu za kiume kupungua
1.s***m kuwa ndogo yaani low s***m count.

2. Kuchojoa bao la kwanza dakika chini ya tano, au hata chini ya 10.

3. S***m kuwa k**a maji hii pia ni utasa yaani bao halina afya linatiririka k**a maji hata likae sehemu flat.

4.uume mdogo k**a wa mtoto yaani kibamia wakuu.

5. Kingine uume kuwa hausimami wima yaani legelege k**a sausage au kupinda right or left side ways.

6.Hata ukikohoa au ukifumwa uume unarudi yaaani unasinya na kuwa mdogo.

Matibabu yapo Wahi tuwahi 🍌🍉💊💉
Wasiliana nami au whatsapp
0688448582
0742998188

Ebu tupate elimu kidogoNini kinachofanya uume usimame? Kwa haraka unaweza kujibu ni msisimko. Naam, unaweza kuwa sahihi....
18/04/2024

Ebu tupate elimu kidogo

Nini kinachofanya uume usimame? Kwa haraka unaweza kujibu ni msisimko. Naam, unaweza kuwa sahihi. Lakini msisimko ni matokeo. Kuna kinachosababisha msisimko huo. Bila hicho, msisimko hauwezi kutokea.

Kila mwanaume anapaswa kuwa na jibu sahihi la swali hili, ili atakapoona tatizo ajuwe pa kuanzia na pa kumalizia. Hata k**a si kwa undani, Elimu ya kujijuwa jinsi mfumo wako wa mwili unavyofanya kazi ni mhimu sana kwa kila mtu na si kwa madakatari pekee k**a ilivyo dhana ya watu wengi.

Kutokuwa na chochote kichwani kuhusu miili yetu ndiyo sababu kubwa inayotufanya kuparamia madawa kiholela na hivyo kujidhuru badala ya kujitibu.

Kinachofanya uume usimame ni mzunguko wa damu. Na kabla hujaendelea kusoma tambua jambo moja mhimu; ''Asilimia 94 ya damu ni maji''. Hii ni kusema katika kila lita 10 za damu, lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Kwa kifupi maji ndiyo kila kitu mwilini na k**a bado unasubiri kiu ndipo unywe maji na tena unakunywa maji ya baridi ya kwenye friji, POLE SANA.

Mzunguko wa damu unaofanya kazi vizuri k**a inavyotakiwa na usio na hitilafu yeyote ni kipengele mhimu sana katika kusimama kwa uume wako. Kwanini?

Mzunguko wa damu ulio katika afya njema husambaza damu ya kutosha katika viungo vyako vyote vya mwili wako ikiwa ni pamoja na kwenye mishipa ya uume wako. Hii ni kwamba hata k**a utagusana na mwanamke hautaweza kufanya chochote k**a damu haizunguki katika viungo vyako inavyostahili. Tazama mtu aliyekufa, damu haizunguki, je anafanya chochote? Hata hivyo huo ni mfano wa juu zaidi.

Ina maana kwamba, chochote ambacho huzuia mtiririko wa damu kwenda kwenye uume kinaweza kuzuia kusimama kwa uume. K**a mishipa yako ya vena na ateri imeziba, mwili wako hautaweza kusimamisha uume. Hii ni kwa sababu uume hautapata damu ya kutosha.

Mara nyingi vena zilizoziba sababu ya mzunguko dhaifu wa damu ni sababu ya kushindwa kusimama uume kwa wanaume walio na umri zaidi ya miaka 60, wanaume wenye kisukari na pia wanaume wenye ateriosclorisis

Wasiliana nami au WhatsApp
Afya
0688448582
0742998188

01/01/2024

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbonde Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mbonde Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram